Apologise lady
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 5,980
- 3,115
lakn mwisho wa siku itajulikana tu
Lakini kaka mwakyembe ameifanyia Kyela??
lakn mwisho wa siku itajulikana tu
Lakini kaka mwakyembe ameifanyia Kyela??
kaifanyia mengi tu. Kama umeme toka ipinda mpaka matema, katengeneza barabara toka jiapanda lusungo hadi busona kuelekea matema. Japo ana mabaya yake lakn hata mazur anayo
Mkutano wa mgombea Ubunge wa CCM Kyela Harrison mwakiembe ulivunjika kwa vurugu na kusababisha police kupiga mabomu ya machozi .
Chanzo cha vurugu hizo inadaiwa ni wafuasi wa CCM kung'oa mabango ya mgombea Urais wa CHADEMA kupitia UKAWA Edward Lowassa ndipo vijana wa UKAWA walipochukia na kuamua kuwafuata mkutanoni alikokua Mwakiembe wakati akizindua kampeni zake.
Laana ya damu za Watanzania waliopoteza maisha kwa ajili ya rushwa, ujinga na ufisadi wa ccm inawaandama. Hasa kwa hila na unafiki wa huyu jamaa, lazima awe wa kwanza kulipia!.
Mabehewa fake, wizi wa bandarini, kuficha report ya Richmond na kuepuka kuitumia kwa maslahi ya nchi badala yake anaitumia kuhujumu uhai wa Wtanzania. Huu ni mwanzo tu. Dunia itashuhudia.
haha haa hahahahaaaaa
unakumbuka huo mchezo wa kung'oa mabango ulianzishwa na Sugu pale mbeya?
nathibitisha kwamba umeandika ukweli .Mwakiembe kachanganyikiwa,anaona mauzauza tuu
Naona watanzania tunazidi kuichukia amani tunataka kuishi maisha kama Syria. Haya ngoja tuone angalau waswahili usema haba na haba ujaza kibaba. Haya mapenzi sijui mahaba kwa wanasiasa yaliyozuka mwaka huu yaweza kutuletea machafuko tusipokuwa makini.
Hako kawilaya ni kadogo sana kaka, isitoshe ni tambarale aliyofanya amejaribu tu.
Kwanza umeme kyela tangu mwakyembe aingie nakutoa kwenye mfumo wa umeme wa kiwira coalmine, kyela ni giza tupu, barabara za mitaa kyela mjini ni vumbi la ajabu,
Kamalizia machache aliyoanzisha mwakipesile ila yeye hajafanya kitu, hata mim nasapoti apumzike.
mwanjelwa ni soko la umma isingewezekana ccm peke yao waweke mabango yao wengine hapana .
USHAURI - Mwakyembe waombe radhi wana kyela halafu jitoe kwenye uchaguzi , utasamehewa na kuheshimiwa .
mwakyembe ni fisadi tu.