eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,401
Mkutano wa mgombea Ubunge wa CCM Kyela Harrison mwakiembe ulivunjika kwa vurugu na kusababisha police kupiga mabomu ya machozi .
Chanzo cha vurugu hizo inadaiwa ni wafuasi wa CCM kung'oa mabango ya mgombea Urais wa CHADEMA kupitia UKAWA Edward Lowassa ndipo vijana wa UKAWA walipochukia na kuamua kuwafuata mkutanoni alikokua Mwakiembe wakati akizindua kampeni zake.