Dr. Mwakyembe hali tete jimboni Kyela

Dr. Mwakyembe hali tete jimboni Kyela

hizi siasa mpya alizokuja nazo mwakyembe zitamgharimu sana , kyela ile siyo hii , sasa hivi nyeusi ni nyeusi na nyeupe ni nyeupe , shukrani kwa jeshi la polisi kuepusha umwagikaji wa damu .
 
Ni baada ya kuwata vijana wake kwenda kubandua mabango ya Lowassa. Ndipo wananchi walipomcharukia na kutaka kumpa kisago cha maana. Polisi ndio waliomnusuru na kichapo cha wananchi
asante mkuu kwa kufichua siri ambayo wanaccm wa kyela hawakutaka ifahamike ili kuepuka aibu .
 
Ni baada ya kuwata vijana wake kwenda kubandua mabango ya Lowassa. Ndipo wananchi walipomcharukia na kutaka kumpa kisago cha maana. Polisi ndio waliomnusuru na kichapo cha wananchi

Kwanza nikushukru kwa kutuletea matukio mbalimbali lakini ndugu umepwaya sana katika habari unazotuletea,umekuwa unafungua thread nyingi na kuzitelekeza. Umefungua Uzi kuhusu ziara na Lowassa Dar lkn haina mwendelezo wowote. Tatizo sijui una kuwa na haraka gani yaani sikuelewi kabisa kama si fani yako tafadhari kakae utulie.
 
ONYO - vijana watetezi wa cdm na UKAWA wasikamatwe ovyo , ulinzi wa mali za chama ni haki ya kikatiba
 
Laana ya damu za Watanzania waliopoteza maisha kwa ajili ya rushwa, ujinga na ufisadi wa ccm inawaandama. Hasa kwa hila na unafiki wa huyu jamaa, lazima awe wa kwanza kulipia!.

Mabehewa fake, wizi wa bandarini, kuficha report ya Richmond na kuepuka kuitumia kwa maslahi ya nchi badala yake anaitumia kuhujumu uhai wa Wtanzania. Huu ni mwanzo tu. Dunia itashuhudia.
 
Wanyakyusa wameamua mwaka huu, operation delete ccm majimbo yote. Kyela inaenda ukawa mwaka huu hili halina ubishi. Yeye ni mnyakyusa alitakiwa aelewe misimamo ya wanyaki wenzie. Wakisema no wanamaanisha no.
 
umeandika mazito sana !
 
Uzi wa uongo.mlivyo na munkari picha lukuki zingeshatangulizwa
 
Huyu ndiye Fisadi namba moja wa Richmond na anastahili kushitakiwa.Kwa nini hakuwataja watuhumiwa wa Richmond kweye repoti aliyotumwa na bunge?
Alisema wengine akiwataja tu serikali chali, kumbe angetaja tungerudia uchaguzi, huyu ndiye muuaji mkuu.
 
zile silaha alizobakiza mwakyembe na slaa .. natamani wazione
 
Wanyakyusa wameamua mwaka huu, operation delete ccm majimbo yote. Kyela inaenda ukawa mwaka huu hili halina ubishi. Yeye ni mnyakyusa alitakiwa aelewe misimamo ya wanyaki wenzie. Wakisema no wanamaanisha no.
umeandika kikamavu sana ! bila shaka wewe ni kamanda kutoka ipinda .
 
Mwaka huu kwasababu ccm wameonyesha mawenge lazima washindwe
 
Back
Top Bottom