Dr. Mwakyembe hali tete jimboni Kyela

Dr. Mwakyembe hali tete jimboni Kyela

Hiyo barabara amejenga nani? Mbona mnatuchanganya? Juzi alipokuja magufuli mkasema yeye ndie kaijenga leo unasema mwakyembe, kesho mtasema diwani wa ccm, keshokutwa mkuu wa wilaya, mtondo Jk. Acheni ubabaishaji. Barabara zote zinajengwa kwa mpango maalum wa serikali kwa pesa za umma hakuna mbunge anayejenga barabara.
huyu mgirik ni mwongo hatari !
 
ni hivi , mwakyembe anang'olewa octoba hii , hatusubiri chochote ! wana kyela tumeamua kumaliza tatizo la kichocho na kipindupindu , tutaboresha bei ya cocoa na kutafuta soko la uhakika la mpunga na mchele , tutahakikisha unapatikana usafiri wa uhakika wa kusafirisha mchele wetu ambao utamu wake hakuna nchi hii kwenda mikoa ya mbali kwa bei nafuu sana , kubeba kilo 20 tu kwenye NEW FORCE Bei yake ni hatari !

Kweli fanyeni ivo, hali ya mchele wetu inaniumiza sana, nakumbuka wakati mdogo mwezi wa tano hadi 8 mashine za kalumbulu zilisheheni makontena ajabu, tangu 2005 sijawah ona kontena, mchele tumebaki tunaula kutwa mara 3,

Jambo baya zaidi ukitaka hata kusafirisha wa kula etii ikizidi plastic moja sh 10000 huu kama sio wizi ni nin???

Kawilaya hako kazuri na kana amani tele na watu wasio na makuu, ila wanasiasa wanafifisha nuru za wanakyela.

Mtoeni kabisaa.
 
Hiyo barabara amejenga nani? Mbona mnatuchanganya? Juzi alipokuja magufuli mkasema yeye ndie kaijenga leo unasema mwakyembe, kesho mtasema diwani wa ccm, keshokutwa mkuu wa wilaya, mtondo Jk. Acheni ubabaishaji. Barabara zote zinajengwa kwa mpango maalum wa serikali kwa pesa za umma hakuna mbunge anayejenga barabara.

kama hujui kaa kimya endelea kubinjuka na akina regna hapo
 
Hiyo barabara amejenga nani? Mbona mnatuchanganya? Juzi alipokuja magufuli mkasema yeye ndie kaijenga leo unasema mwakyembe, kesho mtasema diwani wa ccm, keshokutwa mkuu wa wilaya, mtondo Jk. Acheni ubabaishaji. Barabara zote zinajengwa kwa mpango maalum wa serikali kwa pesa za umma hakuna mbunge anayejenga barabara.

kilaza mbunge yupo kwaajili ya kupeleka kero na malalamiko ya wananchi bungen kwaajili ya kupatiwa ufumbuzi.

Mbunge akisha yapeleka ndio inapangwa inapelekwa hyo kodi ya wanchi kwaajili ya kumaliza kero hizo. Kwahyo kama hyo barabara hajajenga mwakyembe unadhan imetengenezwa na babaako
 
laana ya lowassa,itamtesa milele

ww wa wapi? Lowasa ndio analaana kwasababu alimpiga kipapaa wakat alipomuumbua kwenye richmound ndio maana nayeye yamemrudia na mbaya zaidi baada ya octoba 25 ndio atakuwa kwisha kabisa hata kwenye raman ya siasa
 
Why wanatoa mabango..ama kweli ccm wameshikwa pabaya

unawajua walioshikwa pabaya? Muulize sugu na ungombalo wake alivyootoka na kwendwa sokon kubadua mabango ya ccm.
 
Kweli fanyeni ivo, hali ya mchele wetu inaniumiza sana, nakumbuka wakati mdogo mwezi wa tano hadi 8 mashine za kalumbulu zilisheheni makontena ajabu, tangu 2005 sijawah ona kontena, mchele tumebaki tunaula kutwa mara 3,

Jambo baya zaidi ukitaka hata kusafirisha wa kula etii ikizidi plastic moja sh 10000 huu kama sio wizi ni nin???

Kawilaya hako kazuri na kana amani tele na watu wasio na makuu, ila wanasiasa wanafifisha nuru za wanakyela.

Mtoeni kabisaa.

nasisi hatuwezi kuwaruhusu wanasiasa wapumbavu kuendesha kyela yetu. Mfano wa mwanasiasa mpumbavu ni kama Sugu baada ya kufanya kampen anaacha anaenda kubandua mabango ya ccm. Kwahyo mlitaka ccm wanyamaze?

Haya ndio matatzo ya kuwaleta bungen vilaza kama sugu hana sera ndio maana ni mbuge pekee aliyewahi kuburuzwa bungen. Historia inaonesha
 
Kaka acha hasira bhana, kwani sugu anagombea kyela??? Mweeee!! Mmmh!!!!!
 
yaan vurugu zote zile chanzo ni sugu. Nmesema hvyo kwasababu sugu ni mbunge kupitia chadema, nayeye ndio alianzisha mtindo wa kubandua mabango. Na vijana machachari wa ccm wa kyela wakaamua kujibu mashambulizi ndipo wavuta bangi wa chadema na wanachama wa chadema ambao ni bodaboda wakajaribu kuleta mbwembwe lakn baadae wakatambua maana ya dola.
 
Mkutano wa mgombea Ubunge wa CCM Kyela Harrison mwakiembe ulivunjika kwa vurugu na kusababisha police kupiga mabomu ya machozi .

Chanzo cha vurugu hizo inadaiwa ni wafuasi wa CCM kung'oa mabango ya mgombea Urais wa CHADEMA kupitia UKAWA Edward Lowassa ndipo vijana wa UKAWA walipochukia na kuamua kuwafuata mkutanoni alikokua Mwakiembe wakati akizindua kampeni zake.

Inaashiria kitu fulani hivi kuanzia tarehe 25 October
 
yaan vurugu zote zile chanzo ni sugu. Nmesema hvyo kwasababu sugu ni mbunge kupitia chadema, nayeye ndio alianzisha mtindo wa kubandua mabango. Na vijana machachari wa ccm wa kyela wakaamua kujibu mashambulizi ndipo wavuta bangi wa chadema na wanachama wa chadema ambao ni bodaboda wakajaribu kuleta mbwembwe lakn baadae wakatambua maana ya dola.

Huku Dar kila sekunde 1 vijana wa lumumba wanachana mabango ya ukawa, sasa hivi mabango yetu tunavaa mgongoni kuondoa ugomvi.

Ikitokea hvo, wale watakao chaniwa wavae mgongoni ili kuepusha shari.
 
Mkutano wa mgombea Ubunge wa CCM Kyela Harrison mwakiembe ulivunjika kwa vurugu na kusababisha police kupiga mabomu ya machozi .

Chanzo cha vurugu hizo inadaiwa ni wafuasi wa CCM kung'oa mabango ya mgombea Urais wa CHADEMA kupitia UKAWA Edward Lowassa ndipo vijana wa UKAWA walipochukia na kuamua kuwafuata mkutanoni alikokua Mwakiembe wakati akizindua kampeni zake.
Mwakiembe= Mwakyembe
 
Inasikitisha JF imekuwa sehemu ya wapiga majungu, kilichotokea Ipinda ni tofauti kabisa na alichoandika huyu jamaa, pengine kafanya makusudi kufurahisha waajiri wake ili mwisho wa siku ajipatie posho.
Mkutano wa Ipinda uliweka record na kamanda Makongoro alikuwepo pia. Inasikitisha sana kuona Kyela imeendekeza majungu na ndiyo wilaya inaongoza kwa kuwa na wakurugenzi wengi wanaokaimu kitu kinachoirudisha nyuma sana kimaendeleo. Na hata hao wanaojifanya kuipenda Kyela wameshindwa hata kubadilisha makazi ya wazazi wao wamebaki na nyumba za nyasi kama siyo majani ya migomba. Wanakyela majungu hayajengi badala yake unganisheni nguvu kuibadili wilaya yenu, mbona Rungwe wameweza.
Mtu anasema Mwakyembe hajafanya kitu! Ajabu kwelikweli, lakini ni mbunge aliyeweza kuishawishi serikali kuwajengea barabara inayounganisha tarafa kwa kiwango cha lami (Njia panda ya Ipinda kwenda Matema) wakati kuna mikoa haijaunganishwa kwa barabara za lami. Vilevile ni mbunge huyohuyo ameweza ishawishi serikali kujenga daraja la mabilioni kwenye track (sijui hata kama mnajua maana yake) wakati kuna trunk road kibao zinakosa madaraja. Mbunge huyo huyo alipata wakati mgumu sana bungeni kutoka kwa marehemu Komba kuelezea sababu zilizofanya kujenga chelezo Kyela badala ya Mbambay lakini kwa sababu wanakyela wanajua kupiga majungu tu hawajui hata umuhimu wake! Lakini pia sasa hivi umeme unasambazwa vijijini ila kwa vile wanasema umeme si rafiki ya wachawi yawezekana ndiyo maana hili nalo hawalioni. Miradi yote hiyo ni level za kitaifa na inahitaji mbunge strong kuweza kujenga hoja na kuipata, sasa mnataka mfanyiwe nini hasa? Ninyi endelei tu kakaa juwa kali mkisubiria mabadiliko wakati wenzenu wanaendelea kuchapa kazi. Halmashauri inashindwa kujenga hata km moja ya lami kwa mwaka, matokeo yake wameishia kupiga majungu tu! UKAWA msijidanganye hamuwezi kumshinda Mwakyembe Kyela.
 
kudos brother....
Kuna watu wamejawa na ushabiki usio na maana. Tatzo moja la wanakyela ni uvivu wa kufanya kazi wao wanataka kila kitu mbunge awape.

Japo mm sijatembea wilaya nzima lakn kuna maeneo yalikuwa hayapitiki kwetu tunaita lujingija lakn sasa hvi magar yanapita.

Kulikuwa na barabara inayopita ndobo unapitia lukwego unanyoosha mpaka sehem moja kuna mto unaitwa mabhe unapita kule mpaka kisyosyo pale ilulu unanyoosha mpaka sehem moja panaitwa kwa bwanashamba. Ile njia ilikuwa maji na matope kulijaa mito na mamba na watu wameliwa na mamba kipindi cha mwakipesile lakn alivyoingia mwakyembe ameitengeneza ile njia inapitika mpaka magari ya tani yoyote yanapita. Lakn yote hayo hawayaoni. Kutoka ipinda mpaka mabunga mpaka kanga kule barabara zinapitisha magari mpaka mashamban.
Watu wakimsema mwakyembe kuwa hajafanya lolote itakuwa ni unafki mkubwa.. Jiulize kipind alichokaa mwakyembe madarakan linnganisha na wabunge wengne kama wamemzidi
 
Inasikitisha JF imekuwa sehemu ya wapiga majungu, kilichotokea Ipinda ni tofauti kabisa na alichoandika huyu jamaa, pengine kafanya makusudi kufurahisha waajiri wake ili mwisho wa siku ajipatie posho.
Mkutano wa Ipinda uliweka record na kamanda Makongoro alikuwepo pia. Inasikitisha sana kuona Kyela imeendekeza majungu na ndiyo wilaya inaongoza kwa kuwa na wakurugenzi wengi wanaokaimu kitu kinachoirudisha nyuma sana kimaendeleo. Na hata hao wanaojifanya kuipenda Kyela wameshindwa hata kubadilisha makazi ya wazazi wao wamebaki na nyumba za nyasi kama siyo majani ya migomba. Wanakyela majungu hayajengi badala yake unganisheni nguvu kuibadili wilaya yenu, mbona Rungwe wameweza.
Mtu anasema Mwakyembe hajafanya kitu! Ajabu kwelikweli, lakini ni mbunge aliyeweza kuishawishi serikali kuwajengea barabara inayounganisha tarafa kwa kiwango cha lami (Njia panda ya Ipinda kwenda Matema) wakati kuna mikoa haijaunganishwa kwa barabara za lami. Vilevile ni mbunge huyohuyo ameweza ishawishi serikali kujenga daraja la mabilioni kwenye track (sijui hata kama mnajua maana yake) wakati kuna trunk road kibao zinakosa madaraja. Mbunge huyo huyo alipata wakati mgumu sana bungeni kutoka kwa marehemu Komba kuelezea sababu zilizofanya kujenga chelezo Kyela badala ya Mbambay lakini kwa sababu wanakyela wanajua kupiga majungu tu hawajui hata umuhimu wake! Lakini pia sasa hivi umeme unasambazwa vijijini ila kwa vile wanasema umeme si rafiki ya wachawi yawezekana ndiyo maana hili nalo hawalioni. Miradi yote hiyo ni level za kitaifa na inahitaji mbunge strong kuweza kujenga hoja na kuipata, sasa mnataka mfanyiwe nini hasa? Ninyi endelei tu kakaa juwa kali mkisubiria mabadiliko wakati wenzenu wanaendelea kuchapa kazi. Halmashauri inashindwa kujenga hata km moja ya lami kwa mwaka, matokeo yake wameishia kupiga majungu tu! UKAWA msijidanganye hamuwezi kumshinda Mwakyembe Kyela.

Mwakembe hayo unayosema amefanya, alitumia shahara wake??? Hilo daraja lilijengwa baada ya kukati kwa mawasiliano baina pande mbili wakati wa mvua za masika ndipo akapata fungu. Hiyo ilikuwa ni kama ajali tu.

Zaidi amefanikiwa kuifitini kyela fm kufungiwa.

Vile vile halmashauri ipo chini ya ccm na mwakyembe ni ccm hvo, mnaelewa fika kuwa wote mliopo kwenye hiyo system ya chama mna matatizo hapo wilayani, kukaimu kwa wakurugenzi nyie na madiwani wenu ni chanzo.

Rudi wakati wa mwakipesile kama wakurugenzi walikuwa wanakaimu hovyo hovyo.

Umeme gani unazungumzia, umeme ambao unamgao usiokoma?? Wew umezaliwa juzi hapo bila shaka

Msitetee uovu bhana.
 
Ukitaka kujibu hoja soma na uelewe siyo unakurupuka kama uliyetoka kuvuta bangi
 
Back
Top Bottom