Mkuu usidharau!mila na tamaduni za watemi.mkuu umenikumbusha Haadaa za Waswezi.kule Tabora miaka.hiyooooo.
mafala.sana Waswezi. hahahaaa
Taja hayo makampuni umetumwa wewe kuichafua SerikaliKinachoendelea sasa hivi kinaogopesha. Maafisa wa TRA wameanza kuvamia makampuni. Wanataka ripoti ya mapato yako yote, Bank Account, malipo ya VAT, Rekodi ya manunuzi ya miaka 5 chini ya masaa 72 etc…
Maafisa hawa wa TRA wanafanya mahesabu yao na kurudi kwako kwamba umekuwa ukikwepa kodi kwa maana hiyo wanafanya estimate ya kiwango unachodaiwa. Matajiri wanaulizwa chanzo cha utajiri wao, mwisho wa siku wanaomba watoe hela au account zao zizuiliwe.
Kampuni moja ndogo sana hapa Temeke wanadaiwa million 350 wakati hata kwa mwezi hawaingizi million 60.
Makampuni mengi sana na matajiri wanalalamika kwa uvamizi huu. Hali ni mbaya. Na hii ni uhujumu uchumi maana hawa watu wanaenda kufunga bila shaka.
Sasa, swali langu: Haya makamuni yakifungwa, serikali itapata wapi mapato, na waajiriwa wataenda wapi?
Umetumwa wewe huna loloteTRA KIKWAZO CHA BIASHARA TANZANIA
Ni kweli mimi nilifunga biashara kwa sababu yao nilikadiriwa kodi kubwa na nikaambiwa mwakani ukirudi itapanda zaidi nikaona isiwe shida nikafunga biasharaTRA KIKWAZO CHA BIASHARA TANZANIA
Hao hao TRA hawakuwa hivyo enzi za JK tusiwalaumu sana wanapewa shinikizo kutoka juu.Hao ndio TRA.
Kusema kweli kuna tatizo kubwa sana. Sijui kama mamlaka nyingine hazilioni.
TRA kuna baadhi ya wafanyakazi hawastahili kabisa kuwa huko. Wanapenda sana rushwa tena bila aibu na rushwa kubwa kweli kweli kwa vigezo vya kutimiza wajibu wao wa kazi.
Nchi hii ni yetu sote. Tuijenge kwa nidhamu na taratibu. Kuua hizi biashara itakuwa kwa faida ya nani?
Tusifumbie macho tatizo...umefika muda muafaka tuanze kufanyia kazi malalamiko haya
TUTAKAMULIWA HADI TUNYE NGOJA MUHULA WA PILI APITEHazina KUMEKAUKAAAAAA! Sasa wanahaha huku na kule kubamiza Watanzania kwa kila namna halafu dikteta hadharani anaongea hivi
Unafiki MTUPU!
HaujielewiUmetumwa wewe huna lolote
Nilisema haya juzi kati kuna wati wakasema ni uzushi wakati nina ushahidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi Ushauri wangu mkulu wa Mwaloni aamke siku moja aaumuru hela zoote zililokuwemo kwenye akaunti zozote zile na kwenye Benki yoyote ile azihodhi na kuzihamishia kwake.
Kitakachofuatia ni aaitishe Kikao na Baraza lake la Mawaziri Achukue kitabu cha katiba anyofoe ukurasa mmoja asokotee Tumbaku halafu apige pafu zito akipumua awaaangaliee mawaziri halafu asikitike kwa furaha
Halafu awafukuze mawaziri wote na kutangaza Utawala wa KIFALME kabla Mawaziri hao hawaja react Ngoma za Asili zaKisukuma zilizokuwa zimeandaliwa kwa uSiri Mkubwa zianze kumbuiza.
Jenerali Mabeyo aje Kusujudu Mbele ya Mfalme na kuyaamuru majeshi yote yatii UFALME wetu mpya
Nyimbo za Kwaya za Kumsifu Malaika zifuatie Huku Nderemo vijijo na hoihoi zikiendelea kwa Siku saba
Wachawi Elfu sabini kutoka Usukumani wamzungumke mara Sabini Mfalme wetu mpya.
Waswezi Elfu tatu wapulize mapembe ya ya Tandala na kumpakaa Dawa Mfalme wetu
Wapiga Ngoma wa Kihutu Mia tatu wapige Ngoma kwa juhudi kubwa huku wakicheza kwa madaha.
Bundi Mia sita waachiwe hewani kama gesture ya Amani na Upendo.
THE KINGDOM EMAGUFUTINI itakuwa imezaliwa Rasmi.
Rais anaona hela nyingi bado zipo mikononi mwa wananchi!