Dr. Mkumbo aula UDSM

Kwa mujibu wa press release iliyotolewa juzi tar 16/7/2012 na ofisi ya uhusiano ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Kamanda Dr. Kitila A. K. Mkumbo ni mmoja wa walioteuliwa kuwa wakuu wa vitivo katika vyuo vikuu vishiriki vya elimu vya Mkwawa na Dar es Salaam.

Huku Dr. Mkumbo akiwa ameteuliwa kuwa mkuu wa kitivo cha elimu katika chuo kikuu kishiriki cha elimu, Dar es Salaam yaani (Dean, Faculty of Education at the Dar es Salaam University College of Education).

Kwa kweli anastahili, Hongera sana Kamanda Mkumbo

Mtu kateuliwa mnasema kaula. Akila rushwa au kuiba mnalalamika. Ataulaje bila kuiba ama kula rushwa? Nadhani ilitakiwa kumuonea huruma kwani kuna matatizo mengi (siyo changamoto) anayoenda kupambana nayo.
 
Lakini sio na mwigulu labda kama barack obama atagombea nae iramba!Mwigulu hawezi kushinda hata akigombea na mkenya wa kova!Big Up Dr.Peeeeeeeeeeeopleeeesssss!!!!!!!!!!!!
Hivi kwa akili zenu mnafikiri kumng'oa Mwigulu jimboni ni rahisi kiasi hicho. haya mvimbisheni kichwa mwenzenu asifanye kazi kwa bidii awaze ubunge wa iramba magharibi, atapigwa chini mchana kweuupeeee.
 
We umesikia kuwa mkuu wa kitivo ni sawa na kuuza chai gengeni?Wanaojua ndo maana wanakwambia kaula we usibishe au mwalimu wa primary nini?
Mtu kateuliwa mnasema kaula. Akila rushwa au kuiba mnalalamika. Ataulaje bila kuiba ama kula rushwa? Nadhani ilitakiwa kumuonea huruma kwani kuna matatizo mengi (siyo changamoto) anayoenda kupambana nayo.
 
Kwa mujibu wa press release iliyotolewa juzi tar 16/7/2012 na ofisi ya uhusiano ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Kamanda Dr. Kitila A. K. Mkumbo ni mmoja wa walioteuliwa kuwa wakuu wa vitivo katika vyuo vikuu vishiriki vya elimu vya Mkwawa na Dar es Salaam.

Huku Dr. Mkumbo akiwa ameteuliwa kuwa mkuu wa kitivo cha elimu katika chuo kikuu kishiriki cha elimu, Dar es Salaam yaani (Dean, Faculty of Education at the Dar es Salaam University College of Education).

Kwa kweli anastahili, Hongera sana Kamanda Mkumbo

Halafu mtakuja kusema oooooh CCM inapendelea inawapa makada wake vyeo chuo kikuu kwa kumwamrisha Prof. Mkandala awachague, sasa je Prof. Kitila ni CCM ?
 
Baraka za Mungu huwafuata wale wote wanaojinyenyekeza kwa Mungu na wasiopenda makuu,wasiopindisha haki.Hongera Dr.Kitila
 
Namkumbuka huyu mwanazuoni, ametetea sana maslahi ya wanafunzi hasa walemavu palu udsm main cumpus
 
- Saafi sana Dr. Kitila Mkumbo, I respect the guy kwa sababu ana great ideas za mabadiliko kwa taifa, hajui kuzunguka mbuyu he is straight to the point ila nimesikitika kutomsikia akisema anything kuhusu vurugu nyingi zisizo na tija kwa taifa zinazoendelea sasa hivi kisiasa,

- otherwise, he great na I cant wait one day to work with him kuelekea kwenye reform kwa this nation.

- SALUTE DR. KITILA!

FMES!!
 
Kusema ukweli nadhani Kitila Mwenyewe analia kwa nini kapewa hiyo nafasi. Kwa academic institution, cheo ni dhamana na mzigo... hakuna kuula bali kuliwa.

Pole kwa majukumu Dr Kitila.
 
Hongera Dr,wewe ni kati ya wasomi wanao simamia misimamo yao,wewe si mnafiki kama wale jamaa wa REDET.
Dr wa ukweli utamwona tu Hongera wa kukaya nenda kasaidiane na msigwa kuimarisha peoples power
 
hivi viroba vinatumalizia sana vijana!
umejuaje natumia viroba?. btw, nimevumbua cocktail moja matata sana ya kiroba 3 + juice ya Azam (chungwa) robo glass + sprite au 7 up robo glass...hii cocktail aminia!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom