Dr. Mkumbo aula UDSM

Dr. Mkumbo aula UDSM

Kwa mujibu wa press release iliyotolewa juzi tar 16/7/2012 na ofisi ya uhusiano ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Kamanda Dr. Kitila A. K. Mkumbo ni mmoja wa walioteuliwa kuwa wakuu wa vitivo katika vyuo vikuu vishiriki vya elimu vya Mkwawa na Dar es Salaam.

Huku Dr. Mkumbo akiwa ameteuliwa kuwa mkuu wa kitivo cha elimu katika chuo kikuu kishiriki cha elimu, Dar es Salaam yaani (Dean, Faculty of Education at the Dar es Salaam University College of Education).

Kwa kweli anastahili, Hongera sana Kamanda Mkumbo

Dr Mkumbo Kitila ni very objective, ana msimamo usioyumba ktk mambo anayoyaamini, I can confirm this. Na hii ni sifa ya Kiongozi Bora. Kila la kheri Kitila Mkumbo.
 
Mkumbo yupi?

yule aliyekuwa anatetea upuuzi wa wazungu kule Zimbabwe hapa JF au mwingine?

I just hope ni mwingine
 
Mkumbo yupi?

yule aliyekuwa anatetea upuuzi wa wazungu kule Zimbabwe hapa JF au mwingine?

I just hope ni mwingine
mkuu

huwezi kamwe maishani kulinganisha Kitila na January

Kitila has proven all through the ranks, ila huyo miwngine ni mtu aliyedandia treni ya siasa kwa mbele baada ya wazazi kuweka namna ya kulinda amari zao
 
Mkumbo yupi?

yule aliyekuwa anatetea upuuzi wa wazungu kule Zimbabwe hapa JF au mwingine?

I just hope ni mwingine

Sababu ya kila mtu kupewa nafsi yake ni kufikiri/kufanya utafiti/kujua/na kusema kwa kiwango chake!.. Hicho unachodai ni "UPUUZI WA WAZUNGU ZIMBABWE" bado na wewe hujui/hujafanya utafiti na hujafikiri vya kutosha ndiyo maana umeita ni Upuuzi... Just think and write again! Please!..
 
Wewe ni Yule Mallya naekufahamu au mwingine....
 
Nzua wakokombete. Hongera sana mwanakokwetu
 
hongera sana dr mkumbo.
my take....isije ikawa ndio njaa ya kumzuia ktk mambo ya kisiasa.nahisi nafasi hii ni kama mtego kwake!
 
Kwa mujibu wa press release iliyotolewa juzi tar 16/7/2012 na ofisi ya uhusiano ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Kamanda Dr. Kitila A. K. Mkumbo ni mmoja wa walioteuliwa kuwa wakuu wa vitivo katika vyuo vikuu vishiriki vya elimu vya Mkwawa na Dar es Salaam.

Huku Dr. Mkumbo akiwa ameteuliwa kuwa mkuu wa kitivo cha elimu katika chuo kikuu kishiriki cha elimu, Dar es Salaam yaani (Dean, Faculty of Education at the Dar es Salaam University College of Education).

Kwa kweli anastahili, Hongera sana Kamanda Mkumbo

Wizi mtupu kila kiongozi anapopata promotion "AULA" amakweli fikira zako ni potofu na hupaswi kumharibia Dr
 
Jumamosi moja, ya Mwaka 2010,May, CHADEMA iliandaa mkutano na makada wake wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu vya jijini Dar-Es Salaam
Katika mkutano huo ,Prof. Baregu,pamoja na mambo mengine alipata fursa kuelezea sakata lake la kunyimwa mkataba na serikali kufundisha UDSM na kuwa alikuwa akitaraji kupatatiwa jibu kutoka serikalini Jumatatu iliyokuwa ikifuata.
Prof.Baregu aliweka wazi ,kama wengine walivyokuwa wakielewa kuwa chanzo cha sakata hilo ilikuwa ni ushiriki wake kisiasa katika CHADEMA.(Ndugu zangu,kama tuzingatia ukweli kuwa Baregu ni Profesa wa Siasa tutaona ni sahihi kimantiki kwake ku -practice nadharia za taaluma yake aipendayo katika chama akipendacho !)
Baregu alimtahadharisha mapema Kitila Mkumbo,aliyekuwa ameketi meza kuu, kuwa yaliyokuwa yanamkuta yeye ilikuwa ni matokeo ya hila za kisiasa kutoka kwa watawala.Na kwamba yeye (Baregu) alikuwa yupo tayari kulipa gharama za uamuzi wake kushiriki siasa katika CHADEMA, hakuwa tayari kurudi nyuma na kwamba alikuwa tayari kwa jibu lolote!!Hii inagusa sana hisia.
Tunatambua, sote ,hata baada ya watawala kumnyima mkataba ,Baregu hakupata kutetereka .Na wala Kitila hakutishika kwa yaliyokuwa yamempata Mwanataaluma mwenzake.Wote wawili wanastahili pongezi.Historia itawakumbuka kwa kuishinda hofu.
 
Eeeh hongera mbunge mtarajiwa wa Iramba magharibi,2015 umtoe yule murderer au mgoni wa jimbo la Igunga, wana Iramba Magharibi wamechoka kusikia mbunge wao mara kafumwa ugoni mara muuaji, wanataka mtu makini si mtu kama chemba la ma..........vi, amesimaimia chaguzi 2 kwa niaba ya ccm lkn hakuna hata moja aliyoshinda yeye anajua kutukana tu akifundishwa na Lusinde a.k.a kibajaji.
 
Back
Top Bottom