.
i have learned that recently there are many 2nd,3rd tier universities in ASIA that do not give shit about what you have done for your thesis.any university that has an english program in Japan,China,Taiwan does not give shit what you do in those programs,avoid those if you care about your education.if you care enough to do a a year or 2 in their language that will take you more time but will eventually give you better education.So i can reiterate that.i understand that part of the world enough to say 2 years and you walk away with a PhD is a PIPE DREAM!
I may differ with you, kama unajilipia ndio sema hivyo, lakini kama ni serious scholarship wamekupa wenyewe maana yake kuna mahitaji ya reserach, mpaka ukamilishe au utatue tatizo lao ndio wanakupa cheti! sijajua labda uniambie their reserach fund does not meant kutatua matatizo yao, watakuwa hawana tofauti na serikali ya CCM!
Teh teh teh labda kama ni masomo ya mahoka! Animal science ama Agriculture lazima uwe maabala! India, Botswana na South Africa hahahaha acheni kulazimisha vijana....arudi darasani bado kijana yule! Siasa hata ukiwa na Dip haina shida
Unaweza kuregister chuo fulani , ukafanya thesis Tz, ukawa unaenda kwenye hicho chuo kwa ajili ya kuonana na supervisor. wengi sana sasa hivi wanafanya hivi kwa sababu nyingi.wanaogopa kusahaulika hivyo kukosa connection baada ya kuzikwa nchi za watu miaka minne, wengine kubana matumizi kama umelamba scholarship Europe wanakupa stipend Euro 1000 kwa mwezi, hii ni fedha nyingi kama unaishi Tz.
Kama unahitaji maabara, na maabara zetu tunazijua wenyewe lazima uwe huko huko?
Asante sana kuwa mkweli.....hahahahah gongesha glass hapo! Muulize mdogo wako Wabs Canada PhD miaka mingapi?
Huku noma, mimi mwenyewe sipendi. Canada minimum ni mika 4 tena kaama umeunganisha title ya mastesr basi miaka minne unaeza kumaliza.
Otherwise ni miaka 5-7, kama uko industry kuna wanaopiga PhD mpaka miaka 10!!
Personally I believe, PhD ni requirements kwenye academic institution it has nothing to do with everyday life. Unless kama ni researcher na reserach zako ziko sokoni zinauzika, otherwise. Ukianza kuanzia darasa la kwanza mpaka A-level miaka 13, + 4 chuo+2 masters+ 5PhD!= 24yrs! unasoma tu! kwa wenzetu inalipa fedha zipo, ila dunia ya tatu, kuna walakini!
Ndiyo maana nikauliza hivi wa nini hawa mawaziri wanataka PhD? uitwe Dr?? tu
Tatizo ni kuwa miradi ya Wordlbank, IMF, United nations n.k wanapenda research zao zifanywe na PhD holder, na inalipa kweli politician wanapopata hii miradi inabidi wawasukumie lecturers vyuoni! jamaa wanapiga kazi na kupokea fedha yao.
Hii issue imepersist kwa muda, kinachoonekana hapa ni kuwa hawataki miradi ifike kwa hawa wataalamu halisi, wanamaliza wao wenyewe au wanafanyika madalali....maisha yanaendelea
Huu nao ni ufisadi japo wa kisasa zaid!