Ukitulia mdogo wangu unajua kujenga hoja!joke... Nina hakika ninakuzidi umri hata kama hutaki....Kifupi ninamfahamu Matayo David Msuya vizuri tu hapa tunapiga porojo ukweli utabaki ule ule jamaa baada ya kumaliza SUA hajawahi kuingia darasa lolote ni ujanja ujanja kupata vyeti alivyo navyo. Sintochangia hapa tena isije onekana ninamuonea wivu Mh Waziri mwenye Degree fake! Nice discussion ila msitumie nguvu sana kwenye obvious issues
..mpaka sasa sina uhakika kama Matayo ana PhD au la.
..mpaka sasa hivi sina uhakika ni muda gani mwanafunzi anapaswa kusoma kumaliza PhD.
..mjadala huu haujanisaidia ktk maswali hayo mawili hapo juu.
kwa hiyo hawa wa mlimani niliowataja hapo juu waliochukua Japan nao wamefoji? au hao sio watanzania ni wajapani?
mkuu unataka ulichokipitia wewe kila mtu akifanye au unarekodi ya vyuo vyote hivi?
http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_universities_in_Japan
sasa kwa mimi nisiyejua ili wala lile, unataka nimuamini nani, wewe au chuo kilichompa mtu degree? na ikapokelewa na UDSM pamoja na urasimu wao?
mkuu hatubishani humu kama unaona ni njia nzuri kusimamia unachoamini kwa style unayoamini sawa haina shida
Nilikuomba pia unisaidie kupata chuo Japan kinachotoa PhD za engineering kwa muda wa kuanzia miaka 3.5-4.5 kama ulivyosema awali nataka nikajifiche huko!
..huyu jamaa ni Matayo David lakini naona wananchi wanalazimisha jina Msuya ili naye aunganishwe katika chuki na kashfa zinazomuandama CD Msuya.
NB:
..hata kama aliwahi kutumia u-bin wa Msuya nadhani kwa sababu zake binafsi ameuamua kwa sasa hivi ajulikane kama Matayo David.
JOKA KUU HESHIMA KWAKO MKUU,
swali ni kwa nini watu wakuwekee mashaka, ina maana kuna walakini
kwa kifupi kama nilivyoandika katika post yangu ya mwanzo, huyo jamaa ni ready made kuwa kiongozi mkubwa hapa TAnzania, na hata ukiangalia elimu yake ya mwanzo iligubikwa na utata pia,
Lakini kwa kifupi huyo ni mtoto wa DAVID CLEOPA MSUYA, NA JINA LAKE HALISI NI MATHAYO DAVID MSUYA, na hilo jina alilibadilisha wakati ndio anaanza kuingia kwenye mchakato wa kisiasa, lakini kwa nini awe muhongo, pale Botswana alikuwa anafundisha chuo ambacho kina rank kama ya VETA Tanzania na kwa Botswana wanaviita BRIGADE na alikuwa katika mji mmoja unaitwa SEROWE, bila kuwa ficha katika Mawaziri wote wa serikali ya JK huyu pekeyake ndio alikuwa na uhakika wa kuwa waziri, hiyo nafasi alishapewa na JK before , tulikuwa tunayasikia haya wakati tukiwa nae huko Gaborone, akiyatamka kwa kinywa chake. Wakati wa kampeni ya ubunge alikuwa amepewa sick leave pale chuoni, lakini mwisho wa siku serikali ya Botswana ilipopata habari kuwa jamaa ni waziri na ile leave alikuwa anakuja kwenye kampeni, huyo jamaa alifunguliwa kesi kubwa pale Botswana na alikuwa anahitajika kwenda mahakamani kwa kusema uongo na kulipwa bila kufanya kazi.
kama nilivyosema hapo awali huyo jamaa ni UWT (usalama wa taifa muda mrefu), nina uhakika na hilo, kwa hiyo labda hao jamaa wa TCU walipata shinikizo kutoka huko
actual namfahamu jamaa before uwaziri, kama nilivyosema awali masterz anaweza kuwa nayo, lakini kwa hili la PHD hapo nakuwa na mashaka sana
Mkama,Shy hebu niambie jinsi ya ku attach file hapa jf
Naomba tujadili kwa hoja.
Kama, huo uwaziri nafikiri degree yake ya SUA inamtosha kuupata uwaziri na hata urais nafikiri kama kafoji si kwa sababu hizo.
Hapa inabidi tujadili na tufikie uamuzi sahihi je ? jamaa hakuingia darasani kabisa na kuupata hiyo degree? maana kama ndiyo kumkamata jamaa ni rahisi sana, lakini kama tunaongea kwa hisia tu itakuwa ngumu.
Mkama,
Kama Shy hayupo nitakusaidia ili niendelee kula uhondo wa nondo mnazomwaga hapa wewe, Kimweri, JokaKuu, Waberoya na wengineo.
Kuhusu kuweka attachament fuata maagizo yafuatayo:
Wakati unaandika post yako, chini ya hiyo textbox unayoandika maneno baada ya buttons za "Submit Reply" na "Preview Post" kuna frame ya "Additional Options;" kama huioni frame hiyo basi unatumia textbox ya "Quick Reply" kuandika posts zako; itakubidi ubonyeze "Go Advanced" ili ufungue textbox ya "Reply to Thread" .
Mojawapo ya hizo additional options zilizo kwenye frame niliyotaja hapo juu ni hiyo ya "Attach Files."
JOKA KUU HESHIMA KWAKO MKUU,
swali ni kwa nini watu wakuwekee mashaka, ina maana kuna walakini
kwa kifupi kama nilivyoandika katika post yangu ya mwanzo, huyo jamaa ni ready made kuwa kiongozi mkubwa hapa TAnzania, na hata ukiangalia elimu yake ya mwanzo iligubikwa na utata pia,
Lakini kwa kifupi huyo ni mtoto wa DAVID CLEOPA MSUYA, NA JINA LAKE HALISI NI MATHAYO DAVID MSUYA, na hilo jina alilibadilisha wakati ndio anaanza kuingia kwenye mchakato wa kisiasa, lakini kwa nini awe muhongo, pale Botswana alikuwa anafundisha chuo ambacho kina rank kama ya VETA Tanzania na kwa Botswana wanaviita BRIGADE na alikuwa katika mji mmoja unaitwa SEROWE, bila kuwa ficha katika Mawaziri wote wa serikali ya JK huyu pekeyake ndio alikuwa na uhakika wa kuwa waziri, hiyo nafasi alishapewa na JK before , tulikuwa tunayasikia haya wakati tukiwa nae huko Gaborone, akiyatamka kwa kinywa chake. Wakati wa kampeni ya ubunge alikuwa amepewa sick leave pale chuoni, lakini mwisho wa siku serikali ya Botswana ilipopata habari kuwa jamaa ni waziri na ile leave alikuwa anakuja kwenye kampeni, huyo jamaa alifunguliwa kesi kubwa pale Botswana na alikuwa anahitajika kwenda mahakamani kwa kusema uongo na kulipwa bila kufanya kazi.
kama nilivyosema hapo awali huyo jamaa ni UWT (usalama wa taifa muda mrefu), nina uhakika na hilo, kwa hiyo labda hao jamaa wa TCU walipata shinikizo kutoka huko
actual namfahamu jamaa before uwaziri, kama nilivyosema awali masterz anaweza kuwa nayo, lakini kwa hili la PHD hapo nakuwa na mashaka sana
Inaonekana unamfahamu sana huyu waziri kwa namna ulivyoandika kuhusu kisomo chake Botswana na uhusiano wake na UWT na kuunganisha na TCU, inatisha. Hili suala la TCU ni zito sana kuliko hata mmoja kudanganya elimu yake. Sababu TCU ni taasisi yenye dhamana ya kulinda ubora wa elimu ya juu. Tafadhali wana JF, wale wenye uwezo wa kuchunguza wachunguze hili la TCU na waziri. Natumia fursa hii kwa namna ya pekee kumwomba Dr. Slaa ashiriki, afuatilie kujua kama kweli TCU wamemsafisha isivyo, vinginevyo tunaelekea kuizika hii elimu ya juu. Nitafurahi kusikia Dr. Slaa naye amepokea ujumbe huu.
MkamaP, habari ya TCU kama ilivyoletwa na Kituko inatisha sana, ndiyo maana nimeomba JF wachunguze kwanza akiwemo Dr. ili kupata uhakika wa jambo hili.Hakuna ugumu sana
Kama jamaa hakuingia darasani ni rahisi sana, mwenye uhakika na habari hizi aandike kwenye vyombo vya dola na vya habari akishutumu state university inauza vyeti. Nauhakika hao state university wakiandikwa kwenye magazeti lazima wata react kitu ambacho kitawaweka TCU ktk hali tete.
Lakini kama hakuna mwenye uhakika ,basi ni majungu tu
Ni kuanzia mwaka mmoja hadi infinity. Hii inatokana na taratibu za mahala na ukweli wa kwamba kuna watu ni wengine wako juu ni vipanga wa hali ya juu yani kabla Prof hajafikilia nini cha kusema jamaa anakuwa tayari ameshafanya analysis na synthesis na kutoa majibu.
Sasa watu kama hawa mkipewa chumba sawa na mwanya sawa ya kwamba kila mmoja ni kumaliza kadri ya urefu wa kamba yake ,hapo ndo wengine tunaona vumbi. Masomo ya elimu ya juu sehemu nyingi si kama ya darasa baada ya darasa.
Labda Lecturer wetu Waberoya atuambia hali halisi ya udsm inakuwa je? kwa watu wenye uwezo wa kuzunguka wenzao mara kadhaa je wanalazimishwa kwenda na wenzao ama inakuwa je?
vyuo i would recommend
1.Tokyo institute of technology,(The best place to study engineering in ASIA,hands down!)
2.Tokyo university
3.Osaka University
4.Kyoto University
kama bachelor ilikuwa inamtosha kuwa Waziri kwa nini aje na mzigo wa vyeti mafafa, mtu kama huyo anatufaaa nini kwenye uonjgozi wa nchi yetu,
,
Asante mkubwa
Unajuwa hii kitu nilikuwa sijaiona kabisa, na hata hivyo jamaa wameshakubali nilichokuwa nataka ku attach, lakini bado ngoja niki attach maana kina pros nyingi kuliko cons.
Watakao taka ku apply chuo hicho ni hiki hapa, unaweza piga Ph.D hata kwa mwaka kama kasi yako ni nzuri pia background nzuri.
Fungua hiyo pdf hapo chini uone.
Mkamap swali la Shy ni zuri na gumu sana, what is PhD??
Ku-add knowledge in the body of knowledge/literature n.k, kwa kifupi ni kuandika au kufanya kitu/kazi ambacho kita-add human value, na ambacho hakipo kabisa au hakijulikani katika dunia yetu hii au mahali ulipo!. In short theory mpya kabisa.
Kuna jamaa alichukua PhD kwa kuangalia mpira unavyokua uingereza kutoka miaka ya 80 mpaka sasa, akaweka theory zake kwa nini unakua na sababu na vithibitisho, tayari hiyo PhD!!
PhD kwa kifupi ni research, you must do thesis (is purely reserach based) lazima ujue wenzako wamefanya nini kwanza kabla ya wewe kuendelea na thesis yako, from that you get platform au energy ya kuanza kufanya tusichokijua, ukifikia level hii ndio unaitwa ''teacher of philosophy''
Howver kuna uwezakano pia wa kupata PhD bila kuandika biblia, ila unaruhusiwa kuandika papers kama nane hivi UDSM wanataka kuadopt hii sijajua wameshachakatua mpaka wapi!
In short is tell people something they dont know about, with solid and undisputable grounds.
Muda!
Kipi kinakusukuma kufanya research? umeamua mwenyewe, ulikuwa na idea ya hicho kitu au imetokea zari tu kama wengi wetu tunavyofanya, umeona scholarship mtu anataka ukafanye PhD ya ''Finite element in Aerospace'' unaenda. you will certainly start from A, na lazima itakuchukua miaka mingi simply kwa sababu kitu hicho haukua na idea nacho wala haukukiwazia before umekifanya kwa sababu tu umepata scholarship, this is crisis ni our country and other third world countries as a whole. nchi kama za Canada watoto wao hawataki tena engineering, so wanaita watu wawafanyie zile research.
Mchezo huu ume-create non-creative scientist kwani research nyingi watu wanazoenda kufanya nje ya nchi is not relevant or reflect the current situation ya nchi yetu, ndiyo maana utaona vyuo vingi Tz lecturers wana devote the rest of their life kufanya vitu ambavyo haviendani na walichosomea PhD!!.
PhD ni utashi wa mtu, kama hauna force inayokusukuma, wengi nje wanafanya PhD kuonyesha umwamba wao wa ku-innovate na sio kwa sababu wanashida YA ya pesa au wakimaliza wapandishiwe mshahara.
So leo Mkamap kama uko kazini, au kama hivyo una masters na unaona una kakitu unataka kuieleza dunia, andika proposal, pata fund, fanya reserach ikikubalika ulichofanya kina input katika dunia hii unapata PhD yako haijalishi unachukua muda gani.
Kuna watu wana experience ya kazi miaka 20, 30,35, na anaona kuna kitu unusual ambacho hakiko kwenye literature , akifanya research na kudevelop theory what is happening, ndiyo tayari PhD hiyo, haijalishi umechukua miaka mingapi!!
Sisi Tz tulizozoea ndio hizi; wachina na warsui wametoa msaada basi tunazikimbilia, mkuu utakesha na hizo PhD na ndiyo ukichukua muda mfupi kila mtu anashtuka!
Kuna cases pia watu wengi kupata PhD bila kuwa na masters degree kwa sababu ya walichokifanya kiko extra ordinary na hakipo kabisa kwingineko!
Ndio maana utakuta kozi mpaya katika society zinapata PhD holder wengi kwa sababu kuna research na topic nyingi
Miaka ya karibuni dunia imeshuhudia watu wakipata doctorate nyingi za Environment, kwenye issue za global warming, greenhouse,, air quality n.k,
kwenye Structurall Engineering, tumepata PhD holder wengi kwenye Health Monitoring of structures
Kwenye economics hivi sasa watatokea wengi tu baada ya hii crisis!
Kwa sababu hizi areas ni mpya data zake zipo za kutosha, vitu ni vipya basi likely watu wakapata PhD kwa muda mfupi sana.
So in short PhD is 'personal', unataka ufanye nini na sio mlolongo wa 'lazima' kama first degree! unlike us PhD tunaifanya kama elimu ya ''kidato cha sita'' uende ukomae ukimaliza unaficha thesis kabatini inaliwa na panya!!!
My professor who is supervising me Professor Peter Kaiser is considered number one in the issues of undeground control ''Rock Mechanics'' (Tunnels and mining carven, nuclear repository n.k) kamaliza PhD mwaka 79, kafanya masters ya Tunnel, he is expert. wanafunzi wake wanaochukua PhD au masters in the same topics za tunnels wanafanya vizuri kwa sababu anajua exactly kitu gani hakijafanyika bado duniani. Nimekueleza hivi ujue kuwa supevisor naye ana mchango mkubwa sana kukuwezesha kumaliza PhD kwa muda mfupi (kama ni expert) au muda mrefu ( kama ni mtaalamu tu)
kuna cases pia kwa sababu PhD ni ''personal '' supervisor wako asijue unafanya nini yeye anakuwepo kuku-guide tu!!! utakula miaka mpaka mvi zikuote
nimejaribu kwa kadiri ya ufahamu wangu
Inaonekana unamfahamu sana huyu waziri kwa namna ulivyoandika kuhusu kisomo chake Botswana na uhusiano wake na UWT na kuunganisha na TCU, inatisha. Hili suala la TCU ni zito sana kuliko hata mmoja kudanganya elimu yake. Sababu TCU ni taasisi yenye dhamana ya kulinda ubora wa elimu ya juu. Tafadhali wana JF, wale wenye uwezo wa kuchunguza wachunguze hili la TCU na waziri. Natumia fursa hii kwa namna ya pekee kumwomba Dr. Slaa ashiriki, afuatilie kujua kama kweli TCU wamemsafisha isivyo, vinginevyo tunaelekea kuizika hii elimu ya juu. Nitafurahi kusikia Dr. Slaa naye amepokea ujumbe huu.
hakuna chuki wala kshfa inayomwandama Msuya...huyu jamaa ni Matayo David lakini naona wananchi wanalazimisha jina Msuya ili naye aunganishwe katika chuki na kashfa zinazomuandama CD Msuya.
NB:
..hata kama aliwahi kutumia u-bin wa Msuya nadhani kwa sababu zake binafsi ameuamua kwa sasa hivi ajulikane kama Matayo David.
hakuna chuki wala kshfa inayomwandama Msuya.
Mathayo anajulikana na watu wote kuwa ni mtoto wa Msuya wa nje ya ndoa.au unaweza kusema kuwa MTOTO WA MSUYA WA HARAMU. na kwanini yeye hivi sasa abadili majina ghafla? hakuna anayelazimisha ukweli ni mtoto wa Msuya kama unabisha wapimwe DNA.
Nilisema hapo nyuma kuwa phd yake ni questionable kwakuwa a. Kasoma chuo gani? Free state university au University of Free State? Maana katizame website ya bunge inasema nini taarifa hapo inasemaje? B. Jamaa msemakweli anadai hata buku la graduates hayumo je alimaliza wapi? Ndio maana nikaomba title ya PhD yake huenda tukaipata katika search engine zetu. C. Je PhD yake ya nini? Maana pana information either animal science or agriculture? D. Je supervisors wake nani usije kuta alifanya akalikabidhi dude. Alamsiki!!!