Dr. Mathayo's Degrees Are Authentic - TCU

Dr. Mathayo's Degrees Are Authentic - TCU

Mkamap swali la Shy ni zuri na gumu sana, what is PhD??

Ku-add knowledge in the body of knowledge/literature n.k, kwa kifupi ni kuandika au kufanya kitu/kazi ambacho kita-add human value, na ambacho hakipo kabisa au hakijulikani katika dunia yetu hii au mahali ulipo!. In short theory mpya kabisa.

Kuna jamaa alichukua PhD kwa kuangalia mpira unavyokua uingereza kutoka miaka ya 80 mpaka sasa, akaweka theory zake kwa nini unakua na sababu na vithibitisho, tayari hiyo PhD!!

PhD kwa kifupi ni research, you must do thesis (is purely reserach based) lazima ujue wenzako wamefanya nini kwanza kabla ya wewe kuendelea na thesis yako, from that you get platform au energy ya kuanza kufanya tusichokijua, ukifikia level hii ndio unaitwa ''teacher of philosophy''

Howver kuna uwezakano pia wa kupata PhD bila kuandika biblia, ila unaruhusiwa kuandika papers kama nane hivi UDSM wanataka kuadopt hii sijajua wameshachakatua mpaka wapi!

In short is tell people something they dont know about, with solid and undisputable grounds.

Muda!

Kipi kinakusukuma kufanya research? umeamua mwenyewe, ulikuwa na idea ya hicho kitu au imetokea zari tu kama wengi wetu tunavyofanya, umeona scholarship mtu anataka ukafanye PhD ya ''Finite element in Aerospace'' unaenda. you will certainly start from A, na lazima itakuchukua miaka mingi simply kwa sababu kitu hicho haukua na idea nacho wala haukukiwazia before umekifanya kwa sababu tu umepata scholarship, this is crisis ni our country and other third world countries as a whole. nchi kama za Canada watoto wao hawataki tena engineering, so wanaita watu wawafanyie zile research.

Mchezo huu ume-create non-creative scientist kwani research nyingi watu wanazoenda kufanya nje ya nchi is not relevant or reflect the current situation ya nchi yetu, ndiyo maana utaona vyuo vingi Tz lecturers wana devote the rest of their life kufanya vitu ambavyo haviendani na walichosomea PhD!!.

PhD ni utashi wa mtu, kama hauna force inayokusukuma, wengi nje wanafanya PhD kuonyesha umwamba wao wa ku-innovate na sio kwa sababu wanashida YA ya pesa au wakimaliza wapandishiwe mshahara.

So leo Mkamap kama uko kazini, au kama hivyo una masters na unaona una kakitu unataka kuieleza dunia, andika proposal, pata fund, fanya reserach ikikubalika ulichofanya kina input katika dunia hii unapata PhD yako haijalishi unachukua muda gani.

Kuna watu wana experience ya kazi miaka 20, 30,35, na anaona kuna kitu unusual ambacho hakiko kwenye literature , akifanya research na kudevelop theory what is happening, ndiyo tayari PhD hiyo, haijalishi umechukua miaka mingapi!!

Sisi Tz tulizozoea ndio hizi; wachina na warsui wametoa msaada basi tunazikimbilia, mkuu utakesha na hizo PhD na ndiyo ukichukua muda mfupi kila mtu anashtuka!

Kuna cases pia watu wengi kupata PhD bila kuwa na masters degree kwa sababu ya walichokifanya kiko extra ordinary na hakipo kabisa kwingineko!

Ndio maana utakuta kozi mpaya katika society zinapata PhD holder wengi kwa sababu kuna research na topic nyingi

Miaka ya karibuni dunia imeshuhudia watu wakipata doctorate nyingi za Environment, kwenye issue za global warming, greenhouse,, air quality n.k,

kwenye Structurall Engineering, tumepata PhD holder wengi kwenye Health Monitoring of structures

Kwenye economics hivi sasa watatokea wengi tu baada ya hii crisis!

Kwa sababu hizi areas ni mpya data zake zipo za kutosha, vitu ni vipya basi likely watu wakapata PhD kwa muda mfupi sana.

So in short PhD is 'personal', unataka ufanye nini na sio mlolongo wa 'lazima' kama first degree! unlike us PhD tunaifanya kama elimu ya ''kidato cha sita'' uende ukomae ukimaliza unaficha thesis kabatini inaliwa na panya!!!

My professor who is supervising me Professor Peter Kaiser is considered number one in the issues of undeground control ''Rock Mechanics'' (Tunnels and mining carven, nuclear repository n.k) kamaliza PhD mwaka 79, kafanya masters ya Tunnel, he is expert. wanafunzi wake wanaochukua PhD au masters in the same topics za tunnels wanafanya vizuri kwa sababu anajua exactly kitu gani hakijafanyika bado duniani. Nimekueleza hivi ujue kuwa supevisor naye ana mchango mkubwa sana kukuwezesha kumaliza PhD kwa muda mfupi (kama ni expert) au muda mrefu ( kama ni mtaalamu tu)

kuna cases pia kwa sababu PhD ni ''personal '' supervisor wako asijue unafanya nini yeye anakuwepo kuku-guide tu!!! utakula miaka mpaka mvi zikuote

nimejaribu kwa kadiri ya ufahamu wangu

To simplify ulichandika kwa wale wasio na ufahamu wa kutosha,

Undergraduate(prof knows all)
teacher/professor ask questions and knows the answers.

Masters.(Student asks all)
Student asks questions and professor knows the answer.

PhD,(student has to know all)
Student asks questions and he has to provide the answers,Sometimes even a professor has no answers,and has no questions.

ukiangalia huo mfumo hapo juu,it is extremely irrelevant to put lower time limit into a PhD,especially engineering one,
 
Ulichoandika hata mimi sina ufahamu wa kutosha unaweza kufafanua kwa ufupi ulichoandika niko confused kabisa.

I may understand tofauti correct me I f I am wrong!, you mean;

You mean professor who instructs undegraduate and masters has to know all?

and that Undegraduate student can not ask a questions?

so as that masters student once asks professor must know the answer?

fafanua na hapo kwenye PhD pia

Hlafu hiyo has to know all unamaanisha nini hasa?

Ishu ya miaka kama umekomaa nayo sina tatizo na wewe ni uamuzi kuamua ulichoamua na unachokiona wewe , ila wewe sio universal standard ni Kimweri; unakosea sana kulazimisha vitu unavyoona wewe mkuu, tukusaidiaje tena kukueleza zaidi ya tulivyoeleza? In other words forum is meant to know things you dont know ndio tunavyokua humu na kuishi.

ebu nifafanulie maswali yangu hayo achana na hizi ishu za miaka,

tupe shule! however you will be asked many questions.
 
Hawa jamaa hawataki kuukubali ukweli, mie pia nimefanya kwa kuunganisha bachala hadi masta kwa mda wa miaka 6.Hiyo non stop

Sasa wanataka nikiwa ofisa wa TCU niwatilie ngumu watu wa uingereza kwa kuspendi miaka 4 kuchukua masta ama wengine miaka 6 kuchukuwa Ph.D
teh teh teh teh teh

Hongera sana pia wajue wale wanaojilipia wenyewe vyuo binafsi pia masuala ni tofauti sana na hawa wengine mimi najilipia mwenyewe nimeunganisha kote huko nina experiance ya kazi ya miaka 3 ( bila kuwemo chuoni ) ingawa nilianza kufanya kazi huku nasoma kwahiyo utaona vitu hivi huko mbele vinakusaidia sana
 
To simplify ulichandika kwa wale wasio na ufahamu wa kutosha,

Undergraduate(prof knows all)
teacher/professor ask questions and knows the answers.

Masters.(Student asks all)
Student asks questions and professor knows the answer.

PhD,(student has to know all)
Student asks questions and he has to provide the answers,Sometimes even a professor has no answers,and has no questions.

ukiangalia huo mfumo hapo juu,it is extremely irrelevant to put lower time limit into a PhD,especially engineering one,

Sikubaliani na wewe
Labda huo mfumo uko Afrika na Asia ama nisema baadhi ya nchi.
Kwenye chuo changu undergraduate anauliza swali na profesa hajui jibu ,mnaakaa chini na kujadili na prof.

Profesa wengi uelewa wao ni very high sharp narrow band na undergraduate ni low broadband.

Kwa hiyo nafikiri theory yako hai- apply kila nchi.
 
Dr Mathayo submitted to TCU, his Bachelor of Veterinary Medicine from Sokoine University of Agriculture (1997), Master of Agriculture Science from University of Pretoria in South Africa and Doctor of Philosophy (PhD) in Animal Science from the University of Free State in South Africa (2003).

Dr Mathayo told 'Daily News' that he was happy having his name cleared following reports that he had forged the degrees.

"I am really happy after being cleared of the allegations that my degrees were obtained from unaccredited institutions. This has given me peace of mind," he said.

In the letter dated February 13, 2010, which 'Daily News' has a copy, the TCU states that it recognizes the validity of the degrees awarded to the deputy minister.

hapo kwenye pink nashindwa kujua huyu jamaa alikuwa anaweweseka na nini kama ni kweli hayo makaratasi yake yalikuwa genuine?

Sikubaliani na wewe
Labda huo mfumo uko Afrika na Asia ama nisema baadhi ya nchi.
Kwenye chuo changu undergraduate anauliza swali na profesa hajui jibu ,mnaakaa chini na kujadili na prof.

Profesa wengi uelewa wao ni very high sharp narrow band na undergraduate ni low broadband.

Kwa hiyo nafikiri theory yako hai- apply kila nchi.

exceptions apply everywhere..,what i said applies to majority of education institutions.

nitarudia upya

Undergraduate:
students are taught principles by their lecturers,most are usually new to students,hence the phrase teacher knows all,same applies to exams and homework etc, >90% of answers are know by the teacher/prof.kama kuna mwanafunzi anajua kuliko prof then he can safely assume the teaching position.kama unabisha hewala.

Masters
Most of the content a prof provides to the students are a result of questions raised in a student's work,hence the phrase prof knows answers,this does not stop having a student who has answers that a prof would not have,but again i said am writting for 90% of the situations.

PhD.
Here a student controls his/her own fate from subject formulation,research methods to thesis doing,hence a supervisor term applies to a prof assisting a student,a student will ilkely have enough basic knowledge to common questions and answers,(same as the prof),BUT it is a student's task to provide important questions to deepen his/her research,and be able to work around those questions/problems.

regarding Kimweri universal standard that is just you portraying me(it tells me more about how you think of me as a cyber-character than what i actually am).
kama ulivyosema,it is a forum,we can voice our opinions as high as we can,regardless of what others are saying-i love the freedom of speech thing.
 
Asante mkuu, niliwasilina na professors Tokyo (zote mbili) naona wana kiburi sana, hela yangu kiburi wafanye wao, kwanza niwasiliane na Kyoto, sina hakika na Osaka maana website yao kuna maandishi yanatia kuzunguzungu!

Waberoya,Tokyo university is the pinnacle of japan modern civilization,it's graduates are extremely valuable and respected in Japan,if you graduate there(in a Japanese language medium Degree),you have 95% chance of never to work Outside Japan.and while working in Japan you will be guaranteed maximum opportunities and offered maximum salaries/chances,HENCE "kiburi",

Kama nilivyoandika huko nyuma watu hupenda kukopi "junks" za kwenye brochures zinazoandikwa na marketing/PR officers please don't.
Mfano:Kuna watu wakiona unapewa $2000 a month as stipends used to think wow,that's what am talking about,lot's of money huh!this was before they set their feet in Tokyo/osaka etc only to realize a decent apartment will cost $1000 a month,and $1000 a month in Tokyo is just not enough.Nchi za watu tuzi-handle with care jamani.

It all comes down to your supervisor,if you are lucky to have his/her contacts send him your proposal first,if he/she agrees to work with you then sky is the limit.
Then again this depends on your Japanese presence/influence.it looks easy if you take it that way,but the deeper you go into it the more serious it gets.(jamaa wanaichukulia Elimu way too serious-for African's standards.)

caution:never ask you Japanese supervisor when will you finish your thesis!It is a cultural clash of people who have no will to accomplish anything.but rather just want to finish what they do.
rather work hard to solve questions you put forward in your proposal,hint japanese do not like students doing their research in English(ofcourse he will assist you but he will never push you to the limits).
 
exceptions apply everywhere..,what i said applies to majority of education institutions.

nitarudia upya

Undergraduate:
students are taught principles by their lecturers,most are usually new to students,hence the phrase teacher knows all,same applies to exams and homework etc, >90% of answers are know by the teacher/prof.kama kuna mwanafunzi anajua kuliko prof then he can safely assume the teaching position.kama unabisha hewala.

Masters
Most of the content a prof provides to the students are a result of questions raised in a student's work,hence the phrase prof knows answers,this does not stop having a student who has answers that a prof would not have,but again i said am writting for 90% of the situations.

PhD.
Here a student controls his/her own fate from subject formulation,research methods to thesis doing,hence a supervisor term applies to a prof assisting a student,a student will ilkely have enough basic knowledge to common questions and answers,(same as the prof),BUT it is a student's task to provide important questions to deepen his/her research,and be able to work around those questions/problems.

regarding Kimweri universal standard that is just you portraying me(it tells me more about how you think of me as a cyber-character than what i actually am).
kama ulivyosema,it is a forum,we can voice our opinions as high as we can,regardless of what others are saying-i love the freedom of speech thing.

Mkuu
huwa sina hisia za picha zaidi ninachokiona ktk screan .
Kama nimekukwaza kwa namna moja ama nyingine, niwie radhi mie ndugu yako. ni mgongano tu wa sera na mawazo.
 
Hongera sana pia wajue wale wanaojilipia wenyewe vyuo binafsi pia masuala ni tofauti sana na hawa wengine mimi najilipia mwenyewe nimeunganisha kote huko nina experiance ya kazi ya miaka 3 ( bila kuwemo chuoni ) ingawa nilianza kufanya kazi huku nasoma kwahiyo utaona vitu hivi huko mbele vinakusaidia sana

Shy, how is Kenya? do you have any info about UoN?
 
exceptions apply everywhere..,what i said applies to majority of education institutions.

nitarudia upya

Undergraduate:
students are taught principles by their lecturers,most are usually new to students,hence the phrase teacher knows all,same applies to exams and homework etc, >90% of answers are know by the teacher/prof.kama kuna mwanafunzi anajua kuliko prof then he can safely assume the teaching position.kama unabisha hewala.

Masters
Most of the content a prof provides to the students are a result of questions raised in a student's work,hence the phrase prof knows answers,this does not stop having a student who has answers that a prof would not have,but again i said am writting for 90% of the situations.

PhD.
Here a student controls his/her own fate from subject formulation,research methods to thesis doing,hence a supervisor term applies to a prof assisting a student,a student will ilkely have enough basic knowledge to common questions and answers,(same as the prof),BUT it is a student's task to provide important questions to deepen his/her research,and be able to work around those questions/problems.

.

Nashukuru kwa ufafanuzi, umeeleza vyema kuhusu PhD. Undegraduate and Masters bado ina maswali na maelezo mengi, lakini kwa sababu umeweka percentage (90%) for any other thing haina tatizo pia.

Ila level ya university haiitwi -teaching, bali instructing, na masomo yanayokuwa instructed wanaita courses (kwenye core of your degree) na sio subjects.You can be taught only one course and spend the rest of your life working with that one course;

Pia kuna theories kwa U/G kuwa instructors ana provide only 20% na the rest mwanafunzi anamalizia. Bachelors can be earned by anyone, unaweza kuwa na degree nyingine tayari, umetoka kazini, una experience ya kazi,technical schools, mtu mzima, kijana (any).Kuna mwanafunzi ana experience ya kufanya kazi mgodini(undeground) kwa miaka 20 , na instructirs wake ana experience ya kazi miaka 2! ila theoretically lecturer anajua zaidi kuliko mwanafunzi, practicaly mwanafunzi anajua zaidi kuliko mwalimu! Na kuna cases baadhi ya professors anaweza kusoma bachelor tena! Tuna mfano Tz wa former VC Luhanga kwenda kuipiga degree ya sheria, bahati mbaya walimkamata on the way up! Kuna cases pia ya wanafunzi kubishana na instructors wao, na baadae wanafunzi wakaonekana wako sahihi!

University is different kabisa ndiyo maana akina Newton waligundua ma-binomial theorem n.k even before graduating in their first degree!

I agree with u that now a days U/G inakuwa kama A-level, it is wrong though it is being practises in many places.

Free thinking imepotea katika vyuo vingi
 
Nimekubaliana na wewe kote lakini hapo kwenye nyeusi sikubaliani na wewe.

Sema inaweza kuwa sahihi kwa ma lecturer sisi wafrika, maana ukishakuwa lecturer Dr hutaki kuji update zaidi, sasa ktk hilo unakuwa unawalimiti wanafunzi wako kuandika yaliyomo ktk desa lako tu ulilotoa.

Nimesikia ktk baadhi ya maprof wetu kwamba ukiandika nje ya alichofundisha inakuwa tatizo.
 
Sawa kabisa ndio hao wanaokifanya kisomo cha university kuwa kama A-level. umetoka nje ya desa lake, subiri supplimentary!
 
hakuna chuki wala kshfa inayomwandama Msuya.
Mathayo anajulikana na watu wote kuwa ni mtoto wa Msuya wa nje ya ndoa.au unaweza kusema kuwa MTOTO WA MSUYA WA HARAMU. na kwanini yeye hivi sasa abadili majina ghafla? hakuna anayelazimisha ukweli ni mtoto wa Msuya kama unabisha wapimwe DNA.

You mean a Bastard?? confirm this, please!
 
Jamani tusipigwe changa la macho kirahisi. Cheti siyo kitu ni karatasi tu, ukweli unatakiwa uwe wazi. Dr Matayo (wajina wangu) amesoma Masters na PhD lini na kwa muda gani? Kamaliza SUA '97, kaanza kazi Botswana (full time) mwaka 98, Ameanza Master South Africa lini? na PhD yake ameanza lini? au alisoma PhD kwa correspondence? Kama umeshafanya PHD ya ukweli utashangaa huyu waziri wetu amefanya Master na PhD kwa miaka minne huku anafanya kazi ugenini full time? TCU haisafishi mtu kwa kusema "tumeona vyeti" hiyo haitoshi wafanye utafiti kufuatilia ukweli wa kisomo cha huyu mtu, na tuone mtiririko wa CV yake na thesis (PhD thesis inatakiwa iwe public document siyo siri). Otherwise TCU is staffed by ordinary men (not gods) who are not immune to corruption and they can do what they are told by the establishment.
 
Furthermore, whoever dares to question the autheticity of his qualifications gets personal attacks from himself or his agencies. Why should this be the case if his qualifications are genuine? So much of our African democracy, it leaves too many questions but very few answers!
 
Here is an informative cut from today's Daily News follow-on comment:

This is completely unbelievable. How could Dr. Mathayo earn a MSc and a PhD in less than six years when, as far as I know, he has been fully employed as a teacher in a certain Teachers College in Botswana? I was one of his lecturers at Sokoine University and therefore, his BVSc degree is not in contention. I think the fact that TCU has ascertained his other higher academic awards, this is not proof thad Dr. Mathayo indeed earned the said degrees. Did he study part-time or full time? This must be part time because he was fully employed. And this is where the cloud cover creeps in. In my long experience in teaching, one must be a genius to complete part-time a MSc and PhD in that a short time. I would advice TCU to countercheck with the said institutions to acertain if indeed the qualifications were earned either by coursework and research or only by research. The fact that the said institutions are accredited does not imply proof of award of a diploma.Remember at one time he claimed he was a University Lecturer in Botswana and that he had loaded accounts with Standard Chartered and Barclays both in Botswana and South Africa? At that time, the DailyNews run a very long article about these claims. And that was pure hogwash. And tha party goes on........! I still believe the guy is a cheat.
 
Bastard was the word used to describe an illicit (out-of-wed) child. The other name in Kiswahili dictionary is "Mwana-haramu". Can it be used for anyone? It may not be politically correct but I am afraid it is has been used throughout history. Howelse can anyone differentiate step-children from children?
 
Back
Top Bottom