Dr Mathayo David Mathayo "Mwananwa Kaya" mitano tena!

Dr Mathayo David Mathayo "Mwananwa Kaya" mitano tena!

Si ndiye huyu majuzi wapiga kura wake walimkataa mbele ya Makonda
e56efc03db20cc1270ed12f8906aa3da.png


🤝🏽​
 
Huyu inafahamika kuwa ni daktari wa mifugo ambaye aliisomea fani hiyo pale SUA miaka ya 1990s na ushee Huo udaktari wa falsafa (PhD) alitunukiwa ama kuusomea lini na wapi!? Nahitaji kuelimishwa tafadhari.
 
Back
Top Bottom