ki2c
JF-Expert Member
- Jan 17, 2016
- 8,682
- 16,249
Amejipanga akapangika,subiri muda ufike.Ana hela?
Amejipanga akapangika,subiri muda ufike.Ana hela?
Wajumbe tunamsubiri tupige hela.Amejipanga akapangika,subiri muda ufike.
Kama unamlenga Angela,hauko vizuri katika upataji wa taarifa, Leonard Elirehema Singo,ndiyo kajiandaa na kaandaliwa.Hilo jimbo litakuwa na Mbunge wa jinsia ya -ke 2025.
Singo endelea kutumikia chama makao makuu hapo. Wewe ni kijana shupavu na smart ila 2025 hilo jimbo Mbunge atakayetokana na CCM ni mwanamke na si Angela. Angela mlimpa somo gumu sana,ajaye amejifunza na ya 2020 na atafanya vizuri both kura za maoni na sandukuni.Kama unamlenga Angela,hauko vizuri katika upataji wa taarifa, Leonard Elirehema Singo,ndiyo kajiandaa na kaandaliwa.
Mwambieni Mathayo ajizatiti tu kwenye Biashara yake hapo Victoria.Na kwenye Biashara pia awe makini Mama Wakichaga anaweza mpiga Daflau akaanza kutafuta ajira za Kilimo.Kuhusu Ubunge asahau,hii ya juzi 2020 yenyewe ni upepo wa Magufuli ulimbeba.Perege hiyo kwio. Mwana WA Kaya forever!
2020 alitoa ambulance kadhaa.Pikipiki moja 1,500,000/- × pikipiki 3000 = 4.5B TSH,
Kwa mapato yepi ya ubunge mtu agharamie 4.5B, kama sio kuleta wezi na majambazi ofisini?
Ngapi ?2020 alitoa ambulance kadhaa.
Huo mwandiko Sasa!msuyaaaas amjatoshekaa khaaa dk kapumzikee banana. Mmevunaayakutosha
Hiyo ndiyo CCM bwana:msuyaaaas amjatoshekaa khaaa dk kapumzikee banana. Mmevunaayakutosha
Sheria gani inakataza kuanza kampeni mapema?
YAANI DK ANAKATWAA KWENYE KAMATI YETU TUKUFU HUKO CHINI MWACHENI AGAWE VINAVYOGAIWA. NA NYIEE KULENI MSIVIACHE NARUDIA KULENI IWEPIKPKK HELA HUYU TUNAMSUBIRIA HUKU JUU
Hiyo ndiyo CCM bwana:
Cleopa David Msuya
Mathayo David Msuya (mathayo David mathayo) kaficha Msuya.