Msomi (PhD) na Kiongozi mashuhuri dunian na Mbunge wa Same (M) karibu tena jimboni uhudumie wananchi kipindi cha 2025-2030.
NB: safari hii TOA misaada ya pikipiki 3000 (Kwa mchanganuo ufuatao 1500 ukanda wa miliman, 1500 tambarare) kwa vijana badala ya ambulance. Hap bodaboda ndio uzunguke nao kwenye kampeni mwanzo-mwisho.