Dr Mary Nagu: Bunge Sasa Lina Amani

Dr Mary Nagu: Bunge Sasa Lina Amani

EE MUNGU wa Israel tunakuomba ujidhihirishe tu walau kwa siku moja tu kufuatia hofu inayoendelea kutanda kufuatioa yanayotokea Arusha na kwingineko.

Mungu tunakuomba uonekane tu kwa siku moja sisi tulio wanyonge tunaangamizwa. Wamebinafsisha nchi nzuri uliyotuumbia pamoja na raslimali za asili ulizotugawia wanyonge, sasa wanawaita mataifa makubwa waje kutunyang'anya wakiwaita wawekezaji. MUNGU wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo wameidhinisha tupigwe eti kwa sababu tunaulizia kinachoendelea, MUNGU sikiliza maombi yetu.

Tunakushukuru kwa kutuletea waassis kama Nyerere Karume na akina Sokoine waliotuachia alama za umoja na upendo sisi tulio wanyonge, sasa wapo mabingwa wa kunadi raslimali na kupiga mnada kila kitu ee MUNGU sikiliza kilio chetu AMEN
 
Dr Mary Nagu amesema Bungeni jioni hii kuwa Bunge sasa lina amani sana baada ya wenzetu wale wanaoleta vurugu kuwa nje!
Pia amesema kuwa vurugu zinazotokea mara kwa mara Bungeni kwa sasa zimehamia mtaani maana waleta fujo wako huko.

Kwa mtu makini yeyote Bunge la tokea Jumatatu limepooza sana, likiwa limejaa makofi na Pongezi.
Nini Maana ya vurugu?jibu Ni kitendo cha kufanya Jambo lisilo na msingi wowote .pasipo kujali chochote. Hivi kuomba mwongozo wa spika ni Vurugu?mie Nadhani mwenye vurugu ni Yule anayepindisha mambo akitaka yakubalike kirahisi hata Kama hayana tija kisha Wenye Weledi wakitaka Haki itendeke hubatizwa jina la waleta Vurugu .kumbuka ndiyo Ndio imelifikisha Taifa hapa lilipo huku uchumi haujulikani Kama unakua ama laa !
 
kweli huyu mama mimi kanichosha na mambo yake, hivi kaolewa au ni chakula cha.......................
 
Hakuna mvuto wa kutazama bunge kwani hakuna constructive ideas tena.Hakuna wa kuhoji masuala nyeti zaidi ya kupongezana tu
 
1009.jpg

Wanaomfuata hawa

Hawa-Ghasia1.jpg
1560.jpg
 
Huyo wa kati ni noma,pamoja na maushungi lakin kachafuka ile mbaya.huyo watatu me sisemi,asije akanifanyia matunguli bure,nikapata bush* la kufa mtu.
 
Hata aibu hawana na hili makonde la pwana linasubiriwa likachinywe huko kwao wamchoka sana mnafiki mama huyu hana utu katili mroho yani ana kila sifa chafu sasa kwao hawamtaki raha iko wapi nyie wanawake mjirekebishe mnatia aibu wanafikiwanafiki wapole usoni kumbe machui zaidi ya simba wazomeeni haooooooooo
 
Hivi huyu ni doctor wa nn phd au kwa vile ni tapeli kanisani kwake au ni udoctor wa kupewa kama mkuu wa kaya?
 
Sasa hawa ghasia ni muislam asiye ogopa dini yake, anaiba mali ya umma huku amevaa vazi la dini, jamani huku si kumkashifu mtume muhamad, et huyu ni kiongozi kweli? Bila shaka anefunfishwa bs FASTJET sababu yeye ndo hatari kuliko hata hitler, JAMANI MNATUAIBISHA WAISLAM
 
Mashawo ya mjengoni hayo kama hamuyajui ashawo ashawo wakawaka
 
Mliobaki mabolizozo humo bungeni ndo msana mna amani tupelekee huko ulofa wako mnafiki mkubwa
 
lilikuwa limejaa mazuzu 2 wanashindwa kutetea hata hoja zao magamba kwel hoi.
 
Hats guest house aliyokutwa na serengeti boy ilikuwa na amani
Umri huo gesti jamani, wapi na wapi?
Wanabashneti hakika wamechangia pakubwa sana katika kutujuza tabia chafu za huyu mama!
 
Lazima liwe na Amani kwa kuwa waliobaki huko ni mbumbumbu na watu wa Ndiooo wao kazi yao ni kuiunga mkono serikali wala si kuwatetea wananchi

tunapitwa na zanzibar,wao hakuna ndioo,ni kunyoosha mkono,hivyo inakuwa rahisi kuelewa ukweli
 
Back
Top Bottom