Dr Mary Nagu: Bunge Sasa Lina Amani

Dr Mary Nagu: Bunge Sasa Lina Amani

Ni huzuni sana jamani pale viongozi wote wa juu wa serikali pamoja na wabunge wanaongea mambo bila evidence na kukipaka matope chadema, hii yote inaonyesha ni strategy walioikusudia, kulipua kisha kuja na jina la wachafuzi amani, kibaya zaidi ni wanapomshangilia mtu kama Mwigulu na kufurahia CDM kutokuwepo bungeni eti bunge lina amani, hv huyu Hawan Ghasia anauhakika wa hayo asemayo?
 
Mwandosya hakika amechoka sana, anatakiwa apumzike nyumbani na kucheza na wajukuu.
Jioni hii, katika hali isiyo ya kawaida ameipongeza sana Cuf kwa ushindi mnono kwenye uchaguzi wa udiwani, huku akijikwepesha kabisa kuitaja cdm!
Usomi wa Prof. huyu unatatanisha sana.
Mmmmhhhhhhh!!!!! Baba Nape?
 
Mama nagu saa nane usiku juzi karatu alikamatwa na makamanda wa cdm akitoa rushwa...wakataka kuchoma ile nyumba alimojificha.polisi wakaokoa jahazi ..pamoja na policcm hawakuweza kuondoka na mama alibaki ktk himaya ya cdm mpaka asb..
 
Wanafurahia bunge la "ndiooo". Makanda wakirudi watafyata tu.
 
Kwa siku hizi ambazo CDM wamekuwa nje ya bunge,bungeni pamekuwa kama pana msiba,maana hakuna changamoto yoyote pale bungeni utadhani CUF,NCCR,UDP NA TLP ni vivuli vipo pale.
 
nini maana ya upinzani?
ni ujinga kushangilia wenzio wanapokuwa nje ya bunge
ajue hao wabunge wamechaguliwa na wananchi na sio ubunge wa kupewa
kweli naamini sana hata hiyo phd yake ni ya kupewa tu.
anajua mwisho wa kuwa waziri umewadia.
 
mary nagu jk anapigaga mpini
Huyu mama ni cha wote. Alikuwa chakula ya Waziri mkubwa fulani ambaye wanatoka naye kijiji kimoja. Prof Nagu(mumewe)alilalamika sana hadi wazee wa kimila wakaingilia kupata suluhu.2015 hana chake Katesh.Juzi walimgaragaraza kwenye udiwani,chezea M4C weye.
 
Ghasia nasikia Mamvi anamla na kipindi ni waziri mkuu alimpeleka bwana ake akawa muambata wa barozi India ili mamvi amle vizuri
 
Back
Top Bottom