Dr Mary Nagu: Bunge Sasa Lina Amani

Dr Mary Nagu: Bunge Sasa Lina Amani

Dr Mary Nagu amesema Bungeni jioni hii kuwa Bunge sasa lina amani sana baada ya wenzetu wale wanaoleta vurugu kuwa nje!
Pia amesema kuwa vurugu zinazotokea mara kwa mara Bungeni kwa sasa zimehamia mtaani maana waleta fujo wako huko.

Kwa mtu makini yeyote Bunge la tokea Jumatatu limepooza sana, likiwa limejaa makofi na Pongezi.

Aulizwe usiku ule kule Bashnet alipokutwa kwenye nyumba ya watu akiwa na Jituson (mbunge wa Babati magharibi) walikuwa wanafanya nini?
 
Dr Mary Nagu amesema Bungeni jioni hii kuwa Bunge sasa lina amani sana baada ya wenzetu wale wanaoleta vurugu kuwa nje!
Pia amesema kuwa vurugu zinazotokea mara kwa mara Bungeni kwa sasa zimehamia mtaani maana waleta fujo wako huko.

Kwa mtu makini yeyote Bunge la tokea Jumatatu limepooza sana, likiwa limejaa makofi na Pongezi.

Ni kwa sababu wamebaki na bibie CUF a.k.a MALIBERAL na Zile nyumba ndogo TLP, NCCR, kwa hiyo hata wakikaa vibaya kwa raha zao hakuna wa kuwauliza.
 
Huyu mama ni cha wote. Alikuwa chakula ya Waziri mkubwa fulani ambaye wanatoka naye kijiji kimoja. Prof Nagu(mumewe)alilalamika sana hadi wazee wa kimila wakaingilia kupata suluhu.2015 hana chake Katesh.Juzi walimgaragaraza kwenye udiwani,chezea M4C weye.

Ina maana ukigongea akikunyima ukajinyonge? Ndio maana anajitahidigi kubana sauti kumbe yuko gulioni kujiuza. Mhhhh ama kweli ukahaba uzeeni unaleta uzezeta.
 
kuwepo kwa chadema bungeni huwa sawa na bata wanaocheza kwenye tope ni vurugu tupu kweli bunge limetulia sana linajadili mambo kwa hoja wala siyo kelele.
 
She simply deserve some fingers on her p........sy. Kwani wabunge wa CDM ndo wamepiga watu mabomu huko Arusha yaani hawa akina mama wakishamkatikia viuno Mkulu tu basi akili zao nazo zinakua za hovyo kabisa tunamachungu na hasira za kufiwa wanaanza kutuletea kejeli hapa ovyooo kabisa
 
Dr Mary Nagu amesema Bungeni jioni hii kuwa Bunge sasa lina amani sana baada ya wenzetu wale wanaoleta vurugu kuwa nje!
Pia amesema kuwa vurugu zinazotokea mara kwa mara Bungeni kwa sasa zimehamia mtaani maana waleta fujo wako huko.

Kwa mtu makini yeyote Bunge la tokea Jumatatu limepooza sana, likiwa limejaa makofi na Pongezi.
Huyu mama si ndio alikamatwa usiku wa manane huko kwao hanang akienda kugawa rushwa akazuiwa na wanavijiji kwenye nyumba moja hadi saa 2:00 asubuhi. Shukran kwa wanavijiji hao haki ilipatikana kwa ushindi wa diwani toka cdm. Huyu mama ni kafisadi na kahongaji sana. Alimuhujumu Mzee sumaye haki yake ya kuchaguliwa mnec wa ccm kwa kuhonga. Sioni ajabu kwa comment kama hiyo kutoka kwake.
 
Mwambieni Nagu maneno yake yanaponza wenzake wengine.

Jana watu walimzika mtoto Amir, leo bi Judith na mtoto mwingine sijui itakuwa ni lini.
Watu hao hawaangalii bunge wanatokwa na machozi kwa kupoteza wapendwa wao.
Wanatokwa na machozi kuona Tanzania ya amani sasa inageuza uwanja wa vita.

Wanatafakari nini cha kufanya. Katika uchungu kama huo wakisikia bunge limetulia basi watajibu.
Wao hawana vipaza sauti lakini wanakaratasi na sanduku. Ipo siku watajibu.

Lakini akina Makinda na wenzake wafahamu kuwa msiba na kifo havina hati miliki, kila mmoja anavyo.
Wajiulize hivi yule mtoto aliyekuwa chini anajaribu kunyanyuka angekuwa mtoto wao leo wangekuwa na utulivu bungeni?

Kwamba akina mama hawa wamepoteza hata ile tunu waliyopewa akina mama ya upendo na huruma kwasababu tu ya nafasi zao. Wamepoteza utu kabisa na sasa ndio wasema hovyo mbele ya uso wa dunia.

Makinda, Nagu tunawaona na tunawasikia, muombeni mungu huko mliko juu aondoe ngazi ili mbaki huko.
Siku mkirejea huku tuliko ..ah anyway.
 
Hii ni aina ya viongozi tulio nao. Viongozi wanaogopa changamoto wanataka kuongoza wafu. Wakitokea watu wenye upeo na ufahamu, kwao inakuwa vampire wanataka kuwala kwahiyo wanaangalia jinsi ya kuwauwa ili wandelee kuongoza wafu. Ila wamesahau kwamba zilikuwepo tawala kuu kama za rumi Sasa hivi imebaki historia.
 
Mary nagu ni DR na kikwete pia ni DR hebu pima hizi 2
 
Wamebakia mazuzu tu

"To know the enemy is half the victory"
 
Ni kweli bunge lina amani!
Hakuna anayeondoa shilingi kwenye bajeti, muda hauongezwi,hakuna asiyeunga mkono hoja labda kwa unafiki, hakuna maswali pasua vichwa ya nyongeza, kuna majibu ya hovyo hovyo bila mwongozo!
Kweli bungeni kuna AMANI!
Ni serikali ipi dhalimu inayopenda wapinzani makini kama CHADEMA??
 
Lazima liwe na Amani kwa kuwa waliobaki huko ni mbumbumbu na watu wa Ndiooo wao kazi yao ni kuiunga mkono serikali wala si kuwatetea wananchi
Ukifika mahali ukakuta watu hawahitilafiani ujue sehemu hiyo haina watu wenye elimu,si maneno yangu ni mafundisho ya kidini.
Watu wanaunga hoja mkono aslimia mia,wanapiga makofi hata Waziri Mkuu akivunja katiba,basi ujue hamna kitu hapo.
 
Atuambie kule guest house na yule ------- walikuwa wanafanya nini
 
mary nagu jk anapigaga mpini

Jamani, huyu JK amechanjia? Atapiga wangapi? Ila kusema la kweli bunge limedorora sana. Hakuna jipya zaidi ya kupongezana. Nagu ni lazima ajifarague baada ya kuzuiliwa kutoa rushwa kwenye uchaguzi wa madiwani ambapo Chadema walishindaa hiyo kata.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Alitakiwa aseme kwa wiki hii kwa kweli wana CCM wenzangu tumepumua ingalau kwa sababu ya hawa ndugu zetu kuwa nje!!
 
Dr Mary Nagu amesema Bungeni jioni hii kuwa Bunge sasa lina amani sana baada ya wenzetu wale wanaoleta vurugu kuwa nje!
Pia amesema kuwa vurugu zinazotokea mara kwa mara Bungeni kwa sasa zimehamia mtaani maana waleta fujo wako huko.

Kwa mtu makini yeyote Bunge la tokea Jumatatu limepooza sana, likiwa limejaa makofi na Pongezi.

Oh! Dr anaogopa changamoto? Ni aibu kwa shule kubwa hivyo kuwa na mtazamo wa kuogopa mawazo ya wengine. Anapendelea ndiyooooo!
 
Back
Top Bottom