lbaraka
JF-Expert Member
- Feb 24, 2014
- 393
- 248
Basi kama lowassa ni fisadi na nyny ni safi, kwann msimpeleke mahakamani?? Nyinyi c ndo wenye dola bhana!!? Fikiria tena na tenaAliyekuwa anaharibu mfumo wa ccm ni Lowasa kwa ufisadi wake na kutengeneza mitandao ya ujangili akiwa waziri mkuu sasa ccm ni safi mchafu mwizi na fisadi ameondoka mchukueni nendeni naye.