Dr. Magufuli nguli wa Sayansi anayejua matatizo ya Tanzania

Aliyekuwa anaharibu mfumo wa ccm ni Lowasa kwa ufisadi wake na kutengeneza mitandao ya ujangili akiwa waziri mkuu sasa ccm ni safi mchafu mwizi na fisadi ameondoka mchukueni nendeni naye.
Basi kama lowassa ni fisadi na nyny ni safi, kwann msimpeleke mahakamani?? Nyinyi c ndo wenye dola bhana!!? Fikiria tena na tena
 
Magufuli ni mtu ambaye ameletwa na Mungu kututumikia Watanzania

Hakuna mtu ambaye hajaletwa na Mungu huku duniani. Last time I checked I discovered we all came from God.
Tatizo ni huyo mtu mwenyewe amekuja na ajenda gani huko alikotoka.
And the last time I checked John Magufuli alikuwepo kwenye chama dhalimu. Dhamira yake inaweza kuwa safi ila kundi au genge alilonalo si safi.
Atoroke aje huku atapata support nzuri
 
mungu ametuambia magufuli ndiyo wakati wake sasa mungu atamvusha na kuwa kiongozi wa tanzania.

Mungu huyo ni wa CCM ambaye anapenda CHUKI,HUSDA,UGOMVI,WIZI,UBADHIRIFU,UPENDELEO,UJANGILI,MAUAJI YA RAIA ZAKE.Pole Mungu huyu=SHETANI.

Msimvike uchafu wenu wa CHUKI Mungu.Laana ya JK kuitwa Chaguo la Mungu ilitupata baada ya kuamini watumishi wa Mungu,safafri hii hata huyo Mungu wenue awe anatokea Motoni shauri yenu.Kwanza mmeshasema hamtaki KURA za wavuja jasho.
 
Magufuli yeye kazi yake iliishia kwenye barabara ... Hayo mabus ni tender ilitolewa kwa kampuni ... Serikali haihusiki...

Njiwa: ebu tuambie hiyo barabara ubora wake upoje?? yeye ndiyo alipendekeza upana wa barabara uwe vile?? kama wewe ni mtumiaji wa ile barabara unajua ninachokizungumzia
 
Njiwa: ebu tuambie hiyo barabara ubora wake upoje?? yeye ndiyo alipendekeza upana wa barabara uwe vile?? kama wewe ni mtumiaji wa ile barabara unajua ninachokizungumzia


barabara mbona iko safi tu! tembea uone mkuu! au ulitaka nyumba zivunjwe... ?
 
JAMBO.MOJA USILOLOJUA KUHUSU JOHN POMBE MAGUFULI.

Siku akiyozaliwa ni tarehe 29/10 na Tume ya Taifa ya Uchaguz imetangaza kuwa baada ya kupiga kura kura zitahesabiwa kwa siku tatu na baada ya hapo rais ataapishwa tarehe 29/10/2015.

Hivyo Rais wetu atakuwa siku anayoapa kuwa rais Siku hiyo hiyo atakuwa akisherekea Birthday Yake. Sherehe mbili ndani ya siku moja. Hapa urais Pale Birthday..
 
JAMBO.MOJA USILOLOJUA KUHUSU JOHN POMBE MAGUFULI.

Siku akiyozaliwa ni tarehe 29/10 na Tume ya Taifa ya Uchaguz imetangaza kuwa baada ya kupiga kura kura zitahesabiwa kwa siku tatu na baada ya hapo rais ataapishwa tarehe 29/10/2015.

Hivyo Rais wetu atakuwa siku anayoapa kuwa rais Siku hiyo hiyo atakuwa akisherekea Birthday Yake. Sherehe mbili ndani ya siku moja. Hapa urais Pale Birthday..

Viroba bado viko kichwani ukiongeza na kupenda ccm ndio kabisa unachanganyikiwa. Tume ya wapi hiyo iliyokutangazia itatangaza matokep ya urais baada ya siku 3 na rais ataapishwa tarehe 29?
 
VERY POWERFUL WORDS FROM One Tanzanian intellect JUMA V. MWAMPACHU

What is most interesting about this particular election is that, in as much as we would popularly wish to think that the contest is between the CCM and UKAWA candidates, the reality is different.

The contest is between 'leadership' and 'management'.

In my view and a well considered one, Edward Ngoyai Lowassa will provide the much needed leadership that our country desperately requires.

John Pombe Magufuli will only, in contrast, give us what he is best at, mere good management.

If we are seriously thinking about 'change' and real change at that for our country, then we have to decide what we want; business as usual but better delivered or a transformative leadership that best understands the challenges of a brave new world with all its unpredictabilities and fast changing social, economic, political and technology changes.

It is a moment for serious choice.
 
Back
Top Bottom