Dr. Magufuli nguli wa Sayansi anayejua matatizo ya Tanzania | Page 2 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Magufuli nguli wa Sayansi anayejua matatizo ya Tanzania

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by baro, Aug 19, 2015.

 1. baro

  baro JF-Expert Member

  #1
  Aug 19, 2015
  Joined: May 12, 2014
  Messages: 2,209
  Likes Received: 1,462
  Trophy Points: 280
  Dr Magufuli ni miongoni mwa viongozi wachache duniani waliosoma Sayansi na Kui apply elimu kwa vitendo katika uongozi , moja ya sifa kuu ya mwanasayansi ni kufanya tafiti , hili Dr Magufuli alilitekeleza kwa vitendo kwa kuzunguka kwenye mizani mida ya kushtukiza na kukagua uendeshwaji wake na hasa kufuatilia suala la rushwa.

  Dr. Magufuli kajipambanua kama kiongozi , Wa kuigwa na kufuata misingi ya Azimio ya Arusha kwa kujua kwamba ili nchi iendelee inahitaji ,vifuatavyo; Ardhi, Watu , uongozi Bora na Siasa safi.

  Ardhi
  Upande huu , kautendea haki kwani kawa kiongoz Wa kuigwa kwa kuhakikisha rasilimali Ardhi inatumika ipasavyo ikiwemo kujenga barabara za kiwango cha lami Tanzania nzima , kwa uthubutu Wa kusimamia pesa zinatoka.

  Watu

  Katumia rasilimali watu ipasavyo hasa kuwapigania wakandarasi wazawa waungane na kuhakikisha maendeleo ya Tanzania , yanaletwa na watanzania wenyewe.

  Siasa Safi

  Dr Maghufuli ni mwanasiasa asiyejihusisha na siasa za fitina,majungu na uzushi Bali ni muumini mzuri Wa siasa safi

  Uongozi Bora

  Katika uongoz bora kwa serikali ya awamu ya NNE , Dr Magufuli ameonesha njia ya uongoz bora na kuwa kiongoz Wa mfano kwa kila mtanzania

  ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,

  Huyu ndiye mwanasayansi aliyetumia elimu yake ya sayansi kufanikisha maendeleo ya kivitendo na yanayoonekana ndani na nje ya nchi

  " God Created Tanzania as it is but Dr. Magufuli construct infrastructure which has not been in Tanzania"

  Dr Magufuli deserve to be our next President 2015-2020
   
 2. n

  nkongu ndasu JF-Expert Member

  #21
  Aug 19, 2015
  Joined: Jan 19, 2013
  Messages: 22,520
  Likes Received: 3,764
  Trophy Points: 280
  haa haa mungu gan mkuu?
   
 3. n

  nkongu ndasu JF-Expert Member

  #22
  Aug 19, 2015
  Joined: Jan 19, 2013
  Messages: 22,520
  Likes Received: 3,764
  Trophy Points: 280
  tatizo sio maghufuli. tatizo ccm na limfumo lake.
   
 4. Bavaria

  Bavaria JF-Expert Member

  #23
  Aug 19, 2015
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 44,687
  Likes Received: 12,208
  Trophy Points: 280
  Nchi imeshadidimia tayari.
   
 5. s

  simanyane JF-Expert Member

  #24
  Aug 19, 2015
  Joined: Apr 10, 2015
  Messages: 2,256
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Kwaani Kikwete aliletwa na shetani?
   
 6. M

  Mbotela Senior Member

  #25
  Aug 19, 2015
  Joined: Aug 8, 2015
  Messages: 113
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nguli wa sayansi Bongo! Ni historia ya Sayansi
   
 7. W

  William-123 Senior Member

  #26
  Aug 19, 2015
  Joined: Jul 29, 2015
  Messages: 197
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Anayajua baada ya kuutaka uraisi lakini hakuyajua kipindi cha miaka 10aliyokuwa madarakani. Hata hoja kuchangia ili kutatua hayo matatizo hakutoa.
   
 8. E

  Epemic Member

  #27
  Aug 19, 2015
  Joined: Jul 25, 2015
  Messages: 40
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  hebu acheni mchezo na Mungu, unadhan ndo 2005 mkatuambia baba liz ni chaguo la mungu, kumbe katumwa na shetani kuja kupiga mafungu yetu ya pesa. watanzania wamechoshwa na ahadi hewa.
   
 9. J C

  J C JF-Expert Member

  #28
  Aug 19, 2015
  Joined: Dec 12, 2013
  Messages: 2,007
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Alichaguliwa na Mungu wapi?. Maddinah au Yerusalem?.
   
 10. Hon Nkundwe

  Hon Nkundwe JF-Expert Member

  #29
  Aug 19, 2015
  Joined: Nov 30, 2014
  Messages: 2,357
  Likes Received: 646
  Trophy Points: 280
  We unamjua yup???
   
 11. M

  Mbotela Senior Member

  #30
  Aug 19, 2015
  Joined: Aug 8, 2015
  Messages: 113
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli anayajua ila hana dalili za kuyatatua
   
 12. Upepo wa Pesa

  Upepo wa Pesa JF-Expert Member

  #31
  Aug 19, 2015
  Joined: Aug 8, 2015
  Messages: 10,583
  Likes Received: 12,299
  Trophy Points: 280
  Miungu wapo wengi!!! Ila lowasa ni chaguo la Mungu muumba wa vyote!!!
  Bwana mleta mada prof tarimo..mlengera...baanda...bado wapo hapo?
  UKAWA is our only solution!! Lets get rid of ccm
   
 13. kisepi

  kisepi JF-Expert Member

  #32
  Aug 19, 2015
  Joined: Jun 9, 2015
  Messages: 1,786
  Likes Received: 465
  Trophy Points: 180
  Pigeni sarakasi weee lakini serikali ya mseto haiepukiki,
   
 14. n

  nkongu ndasu JF-Expert Member

  #33
  Aug 19, 2015
  Joined: Jan 19, 2013
  Messages: 22,520
  Likes Received: 3,764
  Trophy Points: 280
  haa haa mwenyewe tu fisadi. arudishe kwanza nyumba zetu.
   
 15. n

  nkongu ndasu JF-Expert Member

  #34
  Aug 19, 2015
  Joined: Jan 19, 2013
  Messages: 22,520
  Likes Received: 3,764
  Trophy Points: 280
  haa haa aanze kwanza na yeye mwenyewe. kisha mwenyekiti wa magamba. maana katika list of shame wamo.
   
 16. Upepo wa Pesa

  Upepo wa Pesa JF-Expert Member

  #35
  Aug 19, 2015
  Joined: Aug 8, 2015
  Messages: 10,583
  Likes Received: 12,299
  Trophy Points: 280
  Hatataki mseto sisi, we need our country back!!!
   
 17. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #36
  Aug 19, 2015
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ametatuaje kero za wananchi wa jimbo lake ambalo amelihudumia kwa miaka 20?
   
 18. Molaro

  Molaro JF-Expert Member

  #37
  Aug 19, 2015
  Joined: Nov 9, 2013
  Messages: 684
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 80
  Mungu yupi maana siku hizi miungu wapo wengi, hata Kenya alifariki Mungu juzi kati?
   
 19. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #38
  Aug 19, 2015
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Na hili la BRT milango ya kushukia kushoto vituo kuliko ni moja ubora wake katika kutatua kero eh!
   
 20. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #39
  Aug 19, 2015
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,249
  Likes Received: 1,980
  Trophy Points: 280
  Magufuli ni mchapa kazi....
   
 21. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #40
  Aug 19, 2015
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,249
  Likes Received: 1,980
  Trophy Points: 280
  Magufuli yeye kazi yake iliishia kwenye barabara ... Hayo mabus ni tender ilitolewa kwa kampuni ... Serikali haihusiki...
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...