Dr. Magufuli: Genius anayepambania urais

Dr. Magufuli: Genius anayepambania urais

Wakiitwa PhD na yeye ataenda
Ivi kuna mtu anasoma PhD teana ya Science alafu ni waziri
embu tuache ushabiki
Nakumbuka nilipokuwa nachukua PhD yangu hata kitanda nakisahau alafu leo hii mtu anakuja
eti kasoma rusting technology tena akiwa waziri it is not that easy!!!

Ungekuwa umesoma hivyo usingelijificha nyuma ya keyboard na kutumi pseudonym...msomi wa kweli haogopi kufahamika ID yake ili awe responsible kwa maandiko yake...
 
Wakiitwa PhD na yeye ataenda
Ivi kuna mtu anasoma PhD teana ya Science alafu ni waziri
embu tuache ushabiki
Nakumbuka nilipokuwa nachukua PhD yangu hata kitanda nakisahau alafu leo hii mtu anakuja
eti kasoma rusting technology tena akiwa waziri it is not that easy!!!

Inawezekana PhD yako ulisoma enzi za mawe!
 
Magufuli Genius aliyefeli form six akashindwa kwenda bachelor degree ilibidi akasome diploma kwanza.
Nadhani hujui kuwa baada ya mgomo mkali sana ulioikumba Mkawa High School katikati ya miaka ya sabini, ilibadilishwa kuwa High School iliyoungnaisha na Chuo cha Ualimu; hivyo mwanafunzi aliyemaliza Form six Mkwawa alikuwa anaondoka na diploma ya ualimu pia. Nadhani Magufuli alisoma Mkwawa wakati huo.

Vile vile huendaa hujui kuwa miaka hiyo kulikuwa na kitu kinaitwa Azimio la Musoma ambapo wanafunzi walikuwa hawaingii Chuo kikuu moja kwa moja kutoka form six; lazima wafanye kazi kwa miaka miwili kwanza hata kama walipasi division ONE. Waliokuwa na exceptioons ni wasichana, Engineering na Medicine.
 
Huyu Magufuli kama aliwaambia wananchi wasioweza nauli mpya ya kivuko wapige mbizi anashindwa nini kesho akiwa rais kuwaambia wananchi walio na njaa wale nyasi?Huu ni upuuzi na kujipendekeza,genius ni kutaja km za barabara?Hafai kuwa rais coz atatembelea nyota ya JK ambayo nayo ndio iliyotufikisha hapa tulipo!Aibu,mikataba ya awali tulisema tulikuwa hatujaelimika,hadi leo karne hii tunaingia mikataba ya hovyo hovyo isiyo na maslahi kwa watanzania!Aibu kwa ccm na viongozi wake,wanajali matumbo yao tu badala ya kuangalia hatma ya taifa!Ona wanavyomaliza tembo,hv inaingia akilini pembe Za tembo 50 zinapitishwa airport bila usalama kujua?Mpaka nchi za watu watusaidie kuwakamata,aibu nchi hii imekuwa jalala!
Napata hasira ninapoona nyuzi kama hizi zilizojaa upumbav wa kila namna,wewe msanii hukumuona jana kwny luninga,anacheza tu mziki huku tembo wanaisha!Tupo hapa kwa uzembe wa serikali ya CCM,period
 
Fanya utafiti mfupi tuu juu ya wale wanaomuunga mkono lowasa kwa kulinganisha na wale wanaomuunga mkono magufuli. Utagundua kuwa lowasa anaungwa mkono na madereva Bodaboda na walevi na vijana wamachinga wa kariakoo na watu walioshindwa siasa ndani ya ccm. Kwa kifupi anaungwa mkono na watu wasio na elimu na waliokosa taaluma. Watu kwenye elimu woye kama Prof. Lipumba nikiwemo na Mimi hawawezi kumuunga mkono Lowasa. Kumbuka birds of the same feathers flock together.... Show me your friends and I will tell who you are.

HICHO ki mshahara mbuz unacholipwa na MAFICCM kinatokana na kodi ze2 cc waendesha bodaboda, wauza genge, wauz viroba na ndio kinakupa cfa kujiona mjanjaa GAMBA WEWE... na ndio maana watoto we2 wanafel kutokana na walimu MAGAMBA kama wewe!
 
Hahaha

Halafu nashangaaga sana unakuta mtu ana familia kabisa na watoto...kabisa imeshaonekana wazi kua TZ under "sisi m" hamna future....Narudia tena...chini ya hiki chama..hii nchi mbele ni giza ... ila unakuta anaipigia debe "sisi m".

kwa miaka hii...walio salama angalau..ni

1) watanzania waishio nje ya nchi na ambao hawana mpango wa kurudi

2) watanzania (kama mimi) ambao hatuna familia wala watoto , sina wasiwasi wa kizazi changu kuangamia wala kupata shida...cause, its simple...sina mtoto.

Sasa wewe mwenzangu ambae una watoto..tena wengine wako nursery /primary...afu unaipigia debe "sisi m" unahitaji kupimwa akili.

kwa hali ya saivi ni kua hatuna tena rasilimali...zimeibwaaaa...zoteee...mfano..juzi mmeskia meno ya tembo yamekatwa uwanja wa taifa kwa wenzetu huko ...walioko serious, ila yalipita uwanja wetu bila kushikwa.

Tanzania ipo kwenye list ya nchi zinazoongoza kwa madeni..,, ni nchi ya 90 duniani kwa madeni https://en.wikipedia.org/wiki/List_of_countries_by_external_debt )

na ipo kwenye Heavily indebted poor countries ( https://en.wikipedia.org/wiki/Heavily_indebted_poor_countries )

TAFAKARI....CHUKUA HATUA.

USHAURI: kwa wewe mwenzangu ambae huna mtoto, nakushauri kabisa ...nimefatilia mustakabali wa hii
nchi...Madeni,wizi wa mali za umma etc...nakushauri bila kupepesa macho. "sisi m" ikishinda oct. usizae , kama utapenda kutomuona mwanao akiteseka

kwa wale ambao wana watoto wadogo...anza kumwandalia mwanao ajira...mfungulie biashara...mapema..kwasababu...takwimu zinaonesha Unemployment rate inaongezeka TZ, miaka 3 ijayo... hakuta kua na sjui mtoto wa mwenye hela au mtoto wa maskini.
kwa anaetaka ushauri zaidi .....anicheki PM, kwa wale wataobisha...nawashauri kitu kimoja.... SOMENI , SIKU HIZI KILA KITU KIPO ,VITABU ..MITANDAO.. TAKWIMU ZOTE ZINAEKWA ONLINE.

Mbona hueleweki nafikiri utakuwa nchi ya kusadikika
 
Magufuli ndiye anayefaa kuwa rais wa tanzania katika awamu ya 5. Kwanza kabisa magufuli ni genius sio kilaza kama mgombea wa ukawa.

Tanzania ya leo tunahitaji rais asiye msanii wala kilaza kama mgombea wa Ukawa.
Magufuli ni tingatinga na mzalendo ambaye hajazunguukwa na madisadi.

Vile vile magufuli hajachanguwa pesa na wala hana rafiki ambaye anashutuma za ufisadi tofauti na mgombea kilaza ambaye yupo beneti na mafisadi papa na fisadi nyangumi.

Mwisho kabisa jamani tuwe wakweli magufuli kasimamia ujenzi wa miundo mbinu ikiwemo lami leo kila mtu ananufauka nayo tofauti na msanii kapewa uwaziri mkubwa kapiga dili wtz hawataki hata kumsikia leo hii.
 
Magufuli siyo Genius angekuwa hivyo asingesoma diploma ya Mwalimu angeenda uni direct. Magufuli alikuwa anajituma shuleni lakini siyo genious!

Hii Diploma ya magufuli ilikuwa ni ya laZima kwa combination yake sio ya kuunganisha. Ilikuwa wanafunzi wanachaguliwa wengine combi zenye Education na wengine zisizo na Ed. Wale wanaoenda zenye Edu walikuwa wanasoma miaka miwili form 5 na 6 na mwaka mmoja zaidi wa Education na kutunukiwa Diploma. Wale wanaosoma zisizio na Ed. Walikuwa wanasoma miaka miwili na kutunukiwa certificate (ACSEE). Pia waliokuwa wanasoma shule za ufundi walikuwa wanaenda vyuo vya ufundi waliofaulu na kutunukiwa cheti chs FTC. Haya makundi yote yalikuwa yanshusisha waliofaulu daraja1-3. Wakimaliza wote walikuwa wsnaweza kwenda university endapo wamefaulu.
 
Magufuli ndiye anayefaa kuwa rais wa tanzania katika awamu ya 5. Kwanza kabisa magufuli ni genius sio kilaza kama mgombea wa ukawa.

Tanzania ya leo tunahitaji rais asiye msanii wala kilaza kama mgombea wa Ukawa.
Magufuli ni tingatinga na mzalendo ambaye hajazunguukwa na madisadi.

Vile vile magufuli hajachanguwa pesa na wala hana rafiki ambaye anashutuma za ufisadi tofauti na mgombea kilaza ambaye yupo beneti na mafisadi papa na fisadi nyangumi.

Mwisho kabisa jamani tuwe wakweli hu

Mara nyingi ukipata ugonjwa wa akili,,,kilaza utamuona genius na genius anakuwa kilaza...pole utapona tu na utajua hilo tingatinga ni jina tu
 
Uraisi ni taasisi ambayo yote imeoza pamoja na serikali yake kutokana na kuongozwa na watu wale wale fikra zile zile mifumo ile ile , Sera na itikadi zile zile...hivyo hatokuwa na jipya..suluhisho ni kuifuta kabisa CCM wakae pembeni wajifunze kwa wengine namna ya kuongoza..
 
Magufuli ndiye anayefaa kuwa rais wa tanzania katika awamu ya 5. Kwanza kabisa magufuli ni genius sio kilaza kama mgombea wa ukawa.

Tanzania ya leo tunahitaji rais asiye msanii wala kilaza kama mgombea wa Ukawa.
Magufuli ni tingatinga na mzalendo ambaye hajazunguukwa na madisadi.

Vile vile magufuli hajachanguwa pesa na wala hana rafiki ambaye anashutuma za ufisadi tofauti na mgombea kilaza ambaye yupo beneti na mafisadi papa na fisadi nyangumi.

Mwisho kabisa jamani tuwe wakweli magufuli kasimamia ujenzi wa miundo mbinu ikiwemo lami leo kila mtu ananufauka nayo tofauti na msanii kapewa uwaziri mkubwa kapiga dili wtz hawataki hata kumsikia leo hii.
Hamna kitu hapo...unaijua MV dar-es-salaam ? Unajua Nyumba ya serekali aliyompa hawara yake?unaijua Nyumba alompa mdogo wake ambaye alimchomeka Tanroad? ....kwa taafifa akija kigamboni kuomba kura LAZIMA APIGE MBIZI vinginevyo .....
 
Magufuli ndiye anayefaa kuwa rais wa tanzania katika awamu ya 5. Kwanza kabisa magufuli ni genius sio kilaza kama mgombea wa ukawa.

Tanzania ya leo tunahitaji rais asiye msanii wala kilaza kama mgombea wa Ukawa.
Magufuli ni tingatinga na mzalendo ambaye hajazunguukwa na madisadi.

Vile vile magufuli hajachanguwa pesa na wala hana rafiki ambaye anashutuma za ufisadi tofauti na mgombea kilaza ambaye yupo beneti na mafisadi papa na fisadi nyangumi.

Mwisho kabisa jamani tuwe wakweli magufuli kasimamia ujenzi wa miundo mbinu ikiwemo lami leo kila mtu ananufauka nayo tofauti na msanii kapewa uwaziri mkubwa kapiga dili wtz hawataki hata kumsikia leo hii.

Akiwa tayari kurudisha nyumba zote za serikali alizouza,wizi alioufanya kununua meli alizoahidi,rushwa za ujenzi wabarabara,vivuko,ahhhaaaaaaaa huyu mafisadi wanajua bei yake hatufai hata kwa pesa.......
 
Mara nyingi ukipata ugonjwa wa akili,,,kilaza utamuona genius na genius anakuwa kilaza...pole utapona tu na utajua hilo tingatinga ni jina tu

Inawekana tukajuwa mwishoni mwa mwaka huu si tu mgonjwa wa akiri bali haswa nani mwenye akili
 
sisi hatutaki masikini mwenzetu, tunataka tajiri anayechukia umaskini ili atutoe hapa twende kwingine, tingatinga liende barabarani ikulu sio kwake.. SAFARI YA MABADILIKO NJE YA CCM INAENDELEA
 
Magufuli ndiye anayefaa kuwa rais wa tanzania katika awamu ya 5. Kwanza kabisa magufuli ni genius sio kilaza kama mgombea wa ukawa.

Tanzania ya leo tunahitaji rais asiye msanii wala kilaza kama mgombea wa Ukawa.
Magufuli ni tingatinga na mzalendo ambaye hajazunguukwa na madisadi.

Vile vile magufuli hajachanguwa pesa na wala hana rafiki ambaye anashutuma za ufisadi tofauti na mgombea kilaza ambaye yupo beneti na mafisadi papa na fisadi nyangumi.

Mwisho kabisa jamani tuwe wakweli magufuli kasimamia ujenzi wa miundo mbinu ikiwemo lami leo kila mtu ananufauka nayo tofauti na msanii kapewa uwaziri mkubwa kapiga dili wtz hawataki hata kumsikia leo hii.

ni bora mtu uwe maskini wa hela kuliko umaskini wa kichwa. Yaani kodi yako umsifie mtu kutenda kazi? Kapiga dili wapi?
 
Uraisi ni taasisi ambayo yote imeoza pamoja na serikali yake kutokana na kuongozwa na watu wale wale fikra zile zile mifumo ile ile , Sera na itikadi zile zile...hivyo hatokuwa na jipya..suluhisho ni kuifuta kabisa CCM wakae pembeni wajifunze kwa wengine namna ya kuongoza..

Swali ni kwamba hao wengine ni akina nani? Na wanatoka wapi? Na Miaka yote walikuwa wapi/ Chama gani hata uamini kwamba wako tofauti?
 
sisi hatutaki masikini mwenzetu, tunataka tajiri anayechukia umaskini ili atutoe hapa twende kwingine, tingatinga liende barabarani ikulu sio kwake.. SAFARI YA MABADILIKO NJE YA CCM INAENDELEA
Ah wapi tulimpa uwaziri mkuu akapiga dili na fisadi papa wakatuletea richmond, tunampata mwenye maisha kama yakwetu.

Mwl nyerere hakiwa tajiri wala fisadi na watanzania tulimkubali
 
Back
Top Bottom