Genius Wa kukariri takwimu za uongo eti Bahari ya Hindi INA Samaki milioni mia saba Na sitini Na tatu hata Wizara husika hawajui
. Utakuwa una wazimu wewe Magufuli awe genius? Hata waliosoma naye katoke seminary hawajawahi kumutaja kama genius. Labda demu wake Sundi ndo kaandika haya. Halafu unaandika kwa mihemko juu ya wapinzani wake. Wanasayansi na magenius wako busy kufanya ugunduzi huko wala hutowasikia kwenye siasa na mbwbwe za Aliselema. Inatia shaka Uwezo wako. Mwanasayansi amuvumbua mini?Episode 1
Dr John Pombe Maghufuli, mgombea urais kupitia CCM ni mgombea mwenye haiba ya kipekee kati ya wagombea wote katika uchaguzi mkuu Wa 2015, uwezo wake Wa kiuongozi umeanza muda mrefu kwa kujipambanua kila wizara anayopewa kuiongoza tangu aingie kwenye siasa 1995
Ni mwanasayansi nguli aliyeleta mapinduzi ya kujenga barabara toka tupate uhuru
Ni mwanasiasa alieingia kwenye rekodi ya CCM kwa kushinda kura nyingi kwenye Mkutano Mkuu,
Ni mwanasiasa mwenye Akili nyingi za kuzaliwa (genius) , hii limethibitishwa pia na kipindi maalum cha historia yake kilichorushwa na ITV siku ya jumatano saa 3:15 Usiku
Ni mzalendo Wa kweli asiyetiliwa shaka na uadilifu wake ni grade A
Ni kiongozi mwenye kuthubutu na kusimamia anachokiamini, na ni kiongozi mwenye muono Wa mbali
Ni kiongozi atakaeingia kwenye historia ya kuitoa Tanzania kutoka nchi ya kundi maskini kwenda uchumi Wa kati na kuingia katika nchi tajiri Afrika
Ni kiongoz anaependwa kukumbukwa kwa mazuri aliyofanya na atafanya hivyo
Ni kipenzi cha Watanzania wengi na kawekeza kwenye mioyo ya watanzania kumkubali sana katika uchapakazi wake
WAPINZANI WAKE KWA UJUMLA
Ni watu wababaishaji na wasio na ueledi na uelewa Wa mambo
Ni watu wenye fani za sanaa na maonyesho kiufupi mazingaombwe
Ni watu wasio na dira wala dhamira Bali tamaa na ufisadi uliotukuka
Ni watu wasiojua Tanzania inataka nini ila wanaangalia wao wanataka nini
Ni vilaza kimawazo na kimtazamo kwani hawawez kusimamia jambo kwa muda mrefu Bali tamaa ya pesa
Ni watu wasiokuwa na uwezo Wa kusoma alama za nyakati Bali alama za kununuliwa
Asanteni ,,,,,itaendelea episode 2
Hao jamaa wako EXPLOSIVE sana, alafu wanataka kwenda Ikulu.Magu ni level nyingne.Tunahtaji akili yake baada ya mafisadi kumzunguka Dr.
Hivi wengine mlisomea wapi kama hata kuandika lugha yenu hamuwezi??!
Huu ndiyo ukweri =Huu ndio ukweli
enzi za mwalimu ili uwe mwalimu lazima uwe vizuri kichwani huwezi kufundisha watu physics km ww ulipata fAngekuwa genius angesoma ualimu
Wakiitwa PhD na yeye ataenda
Ivi kuna mtu anasoma PhD teana ya Science alafu ni waziri
embu tuache ushabiki
Nakumbuka nilipokuwa nachukua PhD yangu hata kitanda nakisahau alafu leo hii mtu anakuja
eti kasoma rusting technology tena akiwa waziri it is not that easy!!!
Episode 1
Dr John Pombe Maghufuli, mgombea urais kupitia CCM ni mgombea mwenye haiba ya kipekee kati ya wagombea wote katika uchaguzi mkuu Wa 2015, uwezo wake Wa kiuongozi umeanza muda mrefu kwa kujipambanua kila wizara anayopewa kuiongoza tangu aingie kwenye siasa 1995
Ni mwanasayansi nguli aliyeleta mapinduzi ya kujenga barabara toka tupate uhuru
Ni mwanasiasa alieingia kwenye rekodi ya CCM kwa kushinda kura nyingi kwenye Mkutano Mkuu,
Ni mwanasiasa mwenye Akili nyingi za kuzaliwa (genius) , hii limethibitishwa pia na kipindi maalum cha historia yake kilichorushwa na ITV siku ya jumatano saa 3:15 Usiku
Ni mzalendo Wa kweli asiyetiliwa shaka na uadilifu wake ni grade A
Ni kiongozi mwenye kuthubutu na kusimamia anachokiamini, na ni kiongozi mwenye muono Wa mbali
Ni kiongozi atakaeingia kwenye historia ya kuitoa Tanzania kutoka nchi ya kundi maskini kwenda uchumi Wa kati na kuingia katika nchi tajiri Afrika
Ni kiongoz anaependwa kukumbukwa kwa mazuri aliyofanya na atafanya hivyo
Ni kipenzi cha Watanzania wengi na kawekeza kwenye mioyo ya watanzania kumkubali sana katika uchapakazi wake
WAPINZANI WAKE KWA UJUMLA
Ni watu wababaishaji na wasio na ueledi na uelewa Wa mambo
Ni watu wenye fani za sanaa na maonyesho kiufupi mazingaombwe
Ni watu wasio na dira wala dhamira Bali tamaa na ufisadi uliotukuka
Ni watu wasiojua Tanzania inataka nini ila wanaangalia wao wanataka nini
Ni vilaza kimawazo na kimtazamo kwani hawawez kusimamia jambo kwa muda mrefu Bali tamaa ya pesa
Ni watu wasiokuwa na uwezo Wa kusoma alama za nyakati Bali alama za kununuliwa
Asanteni ,,,,,itaendelea episode 2
Fanya utafiti mfupi tuu juu ya wale wanaomuunga mkono lowasa kwa kulinganisha na wale wanaomuunga mkono magufuli. Utagundua kuwa lowasa anaungwa mkono na madereva Bodaboda na walevi na vijana wamachinga wa kariakoo na watu walioshindwa siasa ndani ya ccm. Kwa kifupi anaungwa mkono na watu wasio na elimu na waliokosa taaluma. Watu kwenye elimu woye kama Prof. Lipumba nikiwemo na Mimi hawawezi kumuunga mkono Lowasa. Kumbuka birds of the same feathers flock together.... Show me your friends and I will tell who you are.
Wakiitwa PhD na yeye ataenda
Ivi kuna mtu anasoma PhD teana ya Science alafu ni waziri
embu tuache ushabiki
Nakumbuka nilipokuwa nachukua PhD yangu hata kitanda nakisahau alafu leo hii mtu anakuja
eti kasoma rusting technology tena akiwa waziri it is not that easy!!!
Hivi wewe unajua Genius kweli?. Genius anatumiaga njia ya mkato?. Ukitaka kujua siyo genious, check historia yake, ilibidi asome kwanza Diploma ya Ualimu alafu ndio aende Chuo kikuu, 'Mature Age Entry'. Wenzake walioenda huo direct utawaitaje!?. miungu au?. Shame on you. Hii peke yake inaonyesha kuwa ni mtu ambaye anastruggle sana kuelewa mambo.
Pia ukimcheki kelele nyingi na ubabe kuliko hoja, hii inamaanisha kukosa uwezo na hivyo kupiga kelele ili usikike kuwa na wewe umeo...wazungu wanasema'the loudest in the room is the weakest one'. Hebu tafuta hotuba zake umsikilize. Mweupeeeeeee. Peeee.
Magufuli Genius aliyefeli form six akashindwa kwenda bachelor degree ilibidi akasome diploma kwanza.