fitna
JF-Expert Member
- Jan 29, 2014
- 432
- 237
Mara nyingi ukipata ugonjwa wa akili,,,kilaza utamuona genius na genius anakuwa kilaza...pole utapona tu na utajua hilo tingatinga ni jina tu
Siku zote kichaa huwaona wenzie ndio vichaa
Mara nyingi ukipata ugonjwa wa akili,,,kilaza utamuona genius na genius anakuwa kilaza...pole utapona tu na utajua hilo tingatinga ni jina tu
Ah wapi tulimpa uwaziri mkuu akapiga dili na fisadi papa wakatuletea richmond, tunampata mwenye maisha kama yakwetu.
Mwl nyerere hakiwa tajiri wala fisadi na watanzania tulimkubali
Magufuli ndiye anayefaa kuwa rais wa tanzania katika awamu ya 5. Kwanza kabisa magufuli ni genius sio kilaza kama mgombea wa ukawa.
Tanzania ya leo tunahitaji rais asiye msanii wala kilaza kama mgombea wa Ukawa.
Magufuli ni tingatinga na mzalendo ambaye hajazunguukwa na madisadi.
Vile vile magufuli hajachanguwa pesa na wala hana rafiki ambaye anashutuma za ufisadi tofauti na mgombea kilaza ambaye yupo beneti na mafisadi papa na fisadi nyangumi.
Mwisho kabisa jamani tuwe wakweli magufuli kasimamia ujenzi wa miundo mbinu ikiwemo lami leo kila mtu ananufauka nayo tofauti na msanii kapewa uwaziri mkubwa kapiga dili wtz hawataki hata kumsikia leo hii.

Mleta mada weka akiba ya maneno
Ukibishana na majibwa ya Mbowe, utachoka bure. Kumbuka yote ni ma jobless yamo humu kutunga na kuandika na kwa ufinyu wao wa akili wanadhani uwepo wao humu kwa kukosa kazi ndio uwingi wa wapiga kura.Swali ni kwamba hao wengine ni akina nani? Na wanatoka wapi? Na Miaka yote walikuwa wapi/ Chama gani hata uamini kwamba wako tofauti?
Wakiitwa PhD na yeye ataenda
Ivi kuna mtu anasoma PhD teana ya Science alafu ni waziri
embu tuache ushabiki
Nakumbuka nilipokuwa nachukua PhD yangu hata kitanda nakisahau alafu leo hii mtu anakuja
eti kasoma rusting technology tena akiwa waziri it is not that easy!!!
Huu ndiyo ukweri halisi magufuri ndiyo kiongozi mwenye uwezo wa kuivusha tanzania
I didn't mean that, What I tried to say here is
It is very difficult to handle the two things in parallel!
PhD in science area is time consuming and it needs concentration.
It is not possible to study at the same time you are a minister.
Does it mean Magufuli was doing his experiments in lab and everything concerning his PhD at the same time working as a minister? This is not that possible we have to be realistic.
hamna Genius mwalimu nyie
Wakiitwa PhD na yeye ataenda
Ivi kuna mtu anasoma PhD teana ya Science alafu ni waziri
embu tuache ushabiki
Nakumbuka nilipokuwa nachukua PhD yangu hata kitanda nakisahau alafu leo hii mtu anakuja
eti kasoma rusting technology tena akiwa waziri it is not that easy!!!
kuandika kiingereza sikuonyesha wewe ni phd material...naona huna hata masters...na kama unayo itakuwa ya hivi vyuo vyetu vya sasa..Poor you!!