Ng'wamapalala
JF-Expert Member
- Jun 9, 2011
- 6,811
- 6,506
Mkuu,Can you kindly tell me what is wrong with my sentences?
Forget about sentences!
Remember, half knowledge is worse than ignorance!
Mkuu,Can you kindly tell me what is wrong with my sentences?
episode 1
dr john pombe maghufuli, mgombea urais kupitia ccm ni mgombea mwenye haiba ya kipekee kati ya wagombea wote katika uchaguzi mkuu wa 2015, uwezo wake wa kiuongozi umeanza muda mrefu kwa kujipambanua kila wizara anayopewa kuiongoza tangu aingie kwenye siasa 1995
ni mwanasayansi nguli aliyeleta mapinduzi ya kujenga barabara toka tupate uhuru
ni mwanasiasa alieingia kwenye rekodi ya ccm kwa kushinda kura nyingi kwenye mkutano mkuu,
ni mwanasiasa mwenye akili nyingi za kuzaliwa (genius) , hii limethibitishwa pia na kipindi maalum cha historia yake kilichorushwa na itv siku ya jumatano saa 3:15 usiku
ni mzalendo wa kweli asiyetiliwa shaka na uadilifu wake ni grade a
ni kiongozi mwenye kuthubutu na kusimamia anachokiamini, na ni kiongozi mwenye muono wa mbali
ni kiongozi atakaeingia kwenye historia ya kuitoa tanzania kutoka nchi ya kundi maskini kwenda uchumi wa kati na kuingia katika nchi tajiri afrika
ni kiongoz anaependwa kukumbukwa kwa mazuri aliyofanya na atafanya hivyo
ni kipenzi cha watanzania wengi na kawekeza kwenye mioyo ya watanzania kumkubali sana katika uchapakazi wake
wapinzani wake kwa ujumla
ni watu wababaishaji na wasio na ueledi na uelewa wa mambo
ni watu wenye fani za sanaa na maonyesho kiufupi mazingaombwe
ni watu wasio na dira wala dhamira bali tamaa na ufisadi uliotukuka
ni watu wasiojua tanzania inataka nini ila wanaangalia wao wanataka nini
ni vilaza kimawazo na kimtazamo kwani hawawez kusimamia jambo kwa muda mrefu bali tamaa ya pesa
ni watu wasiokuwa na uwezo wa kusoma alama za nyakati bali alama za kununuliwa
asanteni ,,,,,itaendelea episode 2
Umeandika ujinga na upumbavu tu.... Rudi shule ukasome kwanza
Wakiitwa PhD na yeye ataenda
Ivi kuna mtu anasoma PhD teana ya Science alafu ni waziri
embu tuache ushabiki
Nakumbuka nilipokuwa nachukua PhD yangu hata kitanda nakisahau alafu leo hii mtu anakuja
eti kasoma rusting technology tena akiwa waziri it is not that easy!!!
Magufuli sio genius, haya mapenzi yanavuka mipaka. Hivi CCM nani kawaloga?
kusoma ni uwezo wa mtu na ndiyo maana kuna wanoweza kuwa wazuri katika eneo fulani na wengine hawana. Uwezo wa magufuli na wako ni tofauti kukesha unasoma siyo hoja bali uwezo kichwani
Wakiitwa PhD na yeye ataenda
Ivi kuna mtu anasoma PhD teana ya Science alafu ni waziri
embu tuache ushabiki
Nakumbuka nilipokuwa nachukua PhD yangu hata kitanda nakisahau alafu leo hii mtu anakuja
eti kasoma rusting technology tena akiwa waziri it is not that easy!!!
Magufuli sio genius, haya mapenzi yanavuka mipaka. Hivi CCM nani kawaloga?
Wakiitwa PhD na yeye ataenda
Ivi kuna mtu anasoma PhD teana ya Science alafu ni waziri
embu tuache ushabiki
Nakumbuka nilipokuwa nachukua PhD yangu hata kitanda nakisahau alafu leo hii mtu anakuja
eti kasoma rusting technology tena akiwa waziri it is not that easy!!!
Huu ndiyo ukweri halisi magufuri ndiyo kiongozi mwenye uwezo wa kuivusha tanzania
Hivi wengine mlisomea wapi kama hata kuandika lugha yenu hamuwezi??!
Huu ndiyo ukweri =Huu ndio ukweli
Wakiitwa PhD na yeye ataenda
Ivi kuna mtu anasoma PhD teana ya Science alafu ni waziri
embu tuache ushabiki
Nakumbuka nilipokuwa nachukua PhD yangu hata kitanda nakisahau alafu leo hii mtu anakuja
eti kasoma rusting technology tena akiwa waziri it is not that easy!!!
Huo upumbavu ni upi mkuu?
hoja inajibiwa kwa,sio kuponda bilar sababu,
Wakiitwa PhD na yeye ataenda
Ivi kuna mtu anasoma PhD teana ya Science alafu ni waziri
embu tuache ushabiki
Nakumbuka nilipokuwa nachukua PhD yangu hata kitanda nakisahau alafu leo hii mtu anakuja
eti kasoma rusting technology tena akiwa waziri it is not that easy!!!
Majibu yako hayashabihiani na holder wa PHD
Episode 1
Dr John Pombe Maghufuli, mgombea urais kupitia CCM ni mgombea mwenye haiba ya kipekee kati ya wagombea wote katika uchaguzi mkuu Wa 2015, uwezo wake Wa kiuongozi umeanza muda mrefu kwa kujipambanua kila wizara anayopewa kuiongoza tangu aingie kwenye siasa 1995
Ni mwanasayansi nguli aliyeleta mapinduzi ya kujenga barabara toka tupate uhuru
Ni mwanasiasa alieingia kwenye rekodi ya CCM kwa kushinda kura nyingi kwenye Mkutano Mkuu,
Ni mwanasiasa mwenye Akili nyingi za kuzaliwa (genius) , hii limethibitishwa pia na kipindi maalum cha historia yake kilichorushwa na ITV siku ya jumatano saa 3:15 Usiku
Ni mzalendo Wa kweli asiyetiliwa shaka na uadilifu wake ni grade A
Ni kiongozi mwenye kuthubutu na kusimamia anachokiamini, na ni kiongozi mwenye muono Wa mbali
Ni kiongozi atakaeingia kwenye historia ya kuitoa Tanzania kutoka nchi ya kundi maskini kwenda uchumi Wa kati na kuingia katika nchi tajiri Afrika
Ni kiongoz anaependwa kukumbukwa kwa mazuri aliyofanya na atafanya hivyo
Ni kipenzi cha Watanzania wengi na kawekeza kwenye mioyo ya watanzania kumkubali sana katika uchapakazi wake
WAPINZANI WAKE KWA UJUMLA
Ni watu wababaishaji na wasio na ueledi na uelewa Wa mambo
Ni watu wenye fani za sanaa na maonyesho kiufupi mazingaombwe
Ni watu wasio na dira wala dhamira Bali tamaa na ufisadi uliotukuka
Ni watu wasiojua Tanzania inataka nini ila wanaangalia wao wanataka nini
Ni vilaza kimawazo na kimtazamo kwani hawawez kusimamia jambo kwa muda mrefu Bali tamaa ya pesa
Ni watu wasiokuwa na uwezo Wa kusoma alama za nyakati Bali alama za kununuliwa
Asanteni ,,,,,itaendelea episode 2