mtayeshelwa
JF-Expert Member
- Oct 28, 2011
- 1,170
- 390
Namkubali sana Mzee Lowassa. Ni mtu wa kazi hasa. Ila nawashangaa pia wanaomdharau Magufuli. Huyo naye ni mashine kubwa sana. Compromise waliyofanya Chadema na Ukawa kiitikadi inaonyesha wanajua hilo.Hapa nadhani sio wote wanaoona hilo kwa sasa.
Mkuu umeandika pointi tupu,nilikuwa sitaki kucommenti ila pionti zako zimenivutia sana Big up yaani umeweka ushabiki kando umeandika ukweli mtupu.