Dr. Leny Kasoga: Nyerere hakufa 'natural death'

Ipo siku ukweli utajulikana tu ingawa watanzania tumezoea kufichwafichwa vitu ambavyo ni haki yetu kujua.
 
Sasa Leukemia iliyosababisha Ukosefu wa Kinga Mwilini itakuwaje "natural death"?

Upunguani mwingine umevuka mipaka.

Kwa kuitetea serikali hujambo ila naona wivu wa weledi wako. Very sharp to respond on every touching topic including attachind supporting facts. Bravo.
 
Kwa mujuibu wa mdao mmoja,huyo Dr.Kao mjukuu wa Nyerere hivyo huenda ana taarifa za kutosha kuhusu nini kilitokea.


Ila kama amedanganya wamshitaki maana kaongea live na ushahidi wa alichosema utapatikana.

Hata hivyo,ni mashaka na serikali kuthubutu kwani huenda wakaumbuka.
Hivi mtu aliekuwa anaugua leukemia (cancer) kafia hospital UK na hospital inatoa tamko la sababu za kufa bado tu unaweza kuamini porojo?

Natural gani aliitaka yeye hawa watu wamezidi upotoshaji huku ni kujaza ujinga jamii ugonjwa uliomuua mwalimu huko wazi si siri na wala si wakutengenezwa ni biological disorder tu sasa tena anakuja msomi kuleta hekaya maana yake ni nini au anatafuta nini kama si upotoshaji tu kwakweli hawa watu wamezidi.
 
Kwa sababu yeye ndie aliemfanyia post mortem examination au ana ripoti ni nini hasa ushahidi wa hoja zake? hawa ma Dr wetu hawa kwa kweli wanaanza kuchosha na hizi tabia za kuropoka ropoka ovyo.

Alienda kumtembelea akaona uko alikolazwa St. Thomas hospital au hata anajua wodi zenyewe zikoje?

Ni wakati sasa wa watu waongo kuitwa kukanusha habari zao maana huku ni kupumbaza jamii au kutafutiwa namna moja ama nyingine za adhabu this is too much sasa kama Dr.s ni waongo kushuka chini inakuaje?

kwani wewe huyo dr. Na visent nyerere una wafahamu vipi?? Maana inaonekana unamtindio wa ubongo katika kujadili hoja. Na wewe ni nani kwa nyerere uyaseme hayo?
 
Katika kipindi cha cha malumbano ya hoja kinachorushwa na ITV,mkuu wa chuo cha Bagamoyo, Dr.Leny Kasoga amefunguka na kusema mwalimu Nyerere hakufa natural death.

Dr.Kasoga,akiwa mmoja wa wazungumzji wakuu, aliongeza kuwa hata katika ile hospitali aliofia baba wa taifa, alilazwa katika wodi ya daraja la tatu kwani alichanganyika na wagonjwa wengine kama wahindi n.k kitua ambacho hakikulingana na hadhi yake.

Kwa maoni yangu,huyu Dr. yanaweza kumkuta yaliyomkuta Mbowe baada ya kutangaza maandamano ama kwa kibali au hata pasipo kibali cha polisi.


Ushauri wangu kwake, asitoke nje kuanzia sasa, kama ana kucha inabidi azikate mapema asije ng'olewa na pliers bila ganzi, ahame nchi haraka sana.
 
Nilisikiaga kuwa baada kuona ubinafsishaji wa makampuni ya Uma unakosa uungwaji mkono na Mwalimu, ikabidi wamtanguleze kwa lazima.

Ngoja tutasikia mengi tu.

soma raia mwema la last week uone nyerere alivyolizwa na uuzwaji wa benki ya NBC,na habar zilizoripotiwa jana zinathibitisha kuwa BANK YA NBC ILITUPWA KAMA MATIKITI YASHUSHWAYO BUGURUNI SOKONI
 
Hivi hamjui huyo Dr Kasoga ni kichaa, pale mwezi ulikuwa mchanga ndio huwa anakuwa hivyo mara nyingi msimshangae.
 
Hivi mtu aliekuwa anaugua leukemia (cancer) kafia hospital UK na hospital inatoa tamko la sababu za kufa bado tu unaweza kuamini porojo?

Natural gani aliitaka yeye hawa watu wamezidi upotoshaji huku ni kujaza ujinga jamii ugonjwa uliomuua mwalimu huko wazi si siri na wala si wakutengenezwa ni biological disorder tu sasa tena anakuja msomi kuleta hekaya maana yake ni nini au anatafuta nini kama si upotoshaji tu kwakweli hawa watu wamezidi.

anapotoshwa mkuu wa kaya iwe sisi walala hoi,tushazoea kupotoshwa
 
kwani wewe huyo dr. Na visent nyerere una wafahamu vipi?? Maana inaonekana unamtindio wa ubongo katika kujadili hoja. Na wewe ni nani kwa nyerere uyaseme hayo?
We ndio bogus kweli kwa hivyo ukikuta mtoto ana bruises na michirizo ya fimbo, mashavu mekundu kwa vibao na kuna alama ya vidole ata wazazi wakikwambia ajachapwa uwezi kutumia akili kisa we ukuwepo au auna uhusiano na mtoto.

Sijui mimi na wewe nani mwenye mtindio hapa?
 
anapotoshwa mkuu wa kaya iwe sisi walala hoi,tushazoea kupotoshwa
Afadahli ya yeye inachukua watu wengi kuuangana hili kumuongepea tena aliowapa majukumu ya usimamizi na sehemu nyingi kiasi kwamba bila ya kuweka watu wenye trust ni kasheshe yeye mwenye kuwepo all the time in different areas.

Lakini kwa sisi wajameni mtu mmoja tu aende kwenye TV atuongopee watu millioni kadhaa na tumuamini tatizo tutakuwa ni sisi sio yeye si hata huyo JK ni humu kwenye forum ndio watu wanamstua mjomba hapo Tanzania inaenda ku loose.
 
Kwani we mrembo wangu, unaelewaje wanaposema ''natural death''? Kwa lugha rahisi mrembo wangu, natural death ni kifo cha kawaida. Kifo kisichosababishwa na mkono wa mtu (not induced by any person). Lukemia ni sarakani ya damu. Mpaka sasa hakuna utafiti unaoeleza bayana nini hasa chanzo cha sarakani. Zipo sababu nyingi zinazotajwa kuwa zinasababsha cancer lakini bado hazijathibitishwa. Kupungua kwa kinga mwilini ni complication ya sarakani ya damu yaani Lukemia. Sasa hapo mrembo upungwani unaingilia wapi, mlangoni au dirishani. Madai ya huyu Dr. Leny Kasoga ni kuwa kifo cha Mwalimu JK Nyerere kilisababishwa na watu fulani hivyo sio kifo cha kawaida ie not natural death. Tunaposema kifo cha kawaida ni kwa sababu kwa asili ni kawaida binadamu kufa kwa magonjwa lakini sio kawaida kufa kwa kupewa sumu, kunyongwa, kupigwa risasi au hata kwa ajili.
Sasa Leukemia iliyosababisha Ukosefu wa Kinga Mwilini itakuwaje "natural death"?

Upunguani mwingine umevuka mipaka.
 
kama ndio hivyo,basi huenda kuna ukweli.

sio huenda hii kitu ni kweli kabisa,hata r.m.kawawa(r.i.p) alikuwa na siri nzito moyoni,lakini hakuthubutu kusema popote.
Tena wauwaji walishirikiana na kule alikokuwa anajaribu kusuluhisha mgogoro.
N.b.
Mwalimu alikataa kwenda u.k. Lakini akapelekwa ki nguvu.
 
hii si mara ya kwanza kusikia maneno kuhusu kifo cha mwalimu.mara ya kwanza ni katika uchaguzi mdogo wa arumeru ,mashariki pale vicent nyerere alipomtaka mkapa asimsakame kuhus ubini wake "nyerere" na kwamba kama angeendelea angeeleza nini kilimuua mwalimu.
 
Na kuna haka kamtindo kakuomba kuunganishwa kwenye kesi duuu! I like the spirit. Wakimshati tu dr kusoga na mim naomba kuunganishwa alaaa!
 
Back
Top Bottom