alikuwa akisumbuliwa na nini?
nauhakika kule Ruvuma muda huu ni msiba mzito,
aliisaidia sana timu ya Majimaji.
Tuko nao pamoja kwenye msiba huu mzito,
Kazi ya Mungu haina makosa.
Tulikupenda ila Mwenyezi Mungu amekupenda zaidi.
Habari zilipatikana sasa hivi zinaleza kwamba mwanasiasa na mtumishi wa zamani serikalini, Dr. Laurence Gama ameaga dunia katika Hospitali ya Agakhan, Dar es Salaam. Mungu aiweke Roho yake mahali pema peponi Ameen.
dah, mkuu wewe mwenyewe HUONEKANI!!.Sijui nilikuwa wapi sikuiona hii? I see, this' a sad news, RIP mzee Gama, poleni wafiwa, sote ni wa njia moja!
Bujibuji, you are very right, huu ni msiba mzito sana kule Ruvuma, hususani mji mzito wa songea na vitongoji vyake ambako aliwahi kuwa mbunge kwa miaka mingi.
Sio kwamba aliisaidia tu timu ya Majimaji, ila huyu ndio Mwanzilishi wa hii timu, na alihusika sana katika kuiimarisha pia akihamasisha ujenzi wa Uwanja a Majimaji na pia akileta wachezaji hodari kama vile Abdallah "King" Kibaden (Mputa), Madaraka Seleman (Mada), Peter Tino, Mhando Mdeve, Octavian Mrope, Celestine "Sikinde" Mbunga na wengineo, bila Kumsahau Kocha maarufu toka Bulgaria Marehemu Samsarov.Ni katika enzi za uongozi wake Ruvuma ilipoweka mkazo sana katika kilimo hasa cha Mahindi ambacho ni zao kuu hadi leo na ujenzi wa nyimba bora. This is surely a big loss to them.
RIP LMG.Amen

RIP, Mzee Gama.
Mimi nilishaanza kuwa na wasiwasi maana pamoja na sifa kem kem za utendaji wake ushahidi pekee unaoletwa ni kwenye michezo! Hivi hauwa na mafanikio katika nyanja nyingine? Ni mafanikio gani alipata katika kilimo na ujenzi wa nyumba bora huko Ruvuma? Aliboresha vipi maisha ya wananchi wa mkoa huo?
Amandla......