CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 943
What's the meaning of tetesi mkuu!
Mimi ni kwetu ni Shellui nimeongea na wananchi wa hapa wamechoka na Mwigulu Nchemba wanasema kwamba Dr. Mkumbo uvute soksi kwani 2015 jimbo ni lako.
Mkumbo ni kichuguu nchemba hivyo kumlinganisha kisiasa iramba unamvunjia heshima mwigulu nchemba
![]()
harakati zimeshaanza tayari, jimbo ni lako 2015
Hao wote ni ndege katika kiota kimoja na wanajuana kwa kilemba.
Dr. Kitila Mkumbo ni " masalia" kulingana na madai ya Ben saa8 (double agent) and his clone (mgogoro wa madiwani Arusha)
Mwiguru Nchemba ni sponsor wa "masalia" kulingana na madai ya baadhi ya wana jf
'Ndugu' huwa hawapambani wenyewe kwa wenyewe ili kupata mlo bali wanapeana.
Ndiyo maana hata akili zao ni zile zile. Mwingine anagawa pesa na mwingine anagawa pombe. Stupid idea.
Kitila Mkumbo alimtaka Ben kuhakikisha analiangamiza kundi haramu la Pindua Mbowe-PM7
2015 kitila jimbo ni lako.