Dr. Kitila Mkumbo tunakutaka Iramba Magharibi!

Dr. Kitila Mkumbo tunakutaka Iramba Magharibi!

Namzungumzia Kitila Mkumbo mbunge ajaye wa Iramba.Huyo mwingine simjui mimi ni wa kwako!
Hahahaaaa.. nimekuja kugundua wafuasi wa Chadema unafiki ni sehemu ya maisha yao.Kwa kuwa mnataka jimbo leo Kitila Mkumbo anapewa heshima zote wakati juzi juzi mlimaliza hazina yote ya matusi na kumuita msaliti.
 
Back
Top Bottom