Dr. Kitila Mkumbo tunakutaka Iramba Magharibi!

Dr. Kitila Mkumbo tunakutaka Iramba Magharibi!

Hakika wewe Mkumbo ni Mbunge wa Ilamba tayari amin usiamin" MUNGU yu nawe daima katika ukombozi wa Wana Singida
 
Kitila Mkumbo alimtaka Ben kuhakikisha analiangamiza kundi haramu la Pindua Mbowe-PM7

Mkuu,
haya siyasemi mimi ushahidi uliotolewa na Exaud Mamuya huu hapa


[QUOTE=Exaud Mamuya;5245846]
Na hata Dr Kitila mkumbo alikuwa akitupa kila kitu ili kufanyikisha mkakati wa kuwafanya madiwani wa Arusha wawe juu ya mh Lema zaidi zaidi diwani Estomih Mala awe na nguvu kisiasa zaidi ya Lema.

Na hata report ya uchunguzi wa mgogoro wa madiwani wa Arusha ambao waliokuja kuchunguza alikuwa ni Dr Kitila Mkumbo na Advocate Mabere Marando pamoja na Ester iliwafikia madiwani wa chadema hata kabla ya kufikishwa kamati kuu na ndio maana madiwani wale pamoja na mimi tulikuwa tukilalamika kuna baadhi ya pages ambazo zimenyofolewa zilizokuwa zikionyesha hakuna rushwa yeyote madiwani waliyokutwa nayo. Lakini hii ni kutokana na kupata report kabla ya kuifikisha kwa kikao kilichoazimia kuunda kamati ya kuitafuta na kuiwasilisha.
 
Wana Iramba najua mnayo mengi sana maumivu makali sana ya kuchoshwa na mfumo mbovu wa Chama Cha Mapinduzi hii ni muda mrefu sana tokea Uhuru wa nchi hii 1961 na Sisiemu Alioiacha Mwl sio hii mnayoiona leo ilishabadilika sana ushahidi uko wazi na ndio maana mnatoa ushahidi wenyewe kwamba Bwana LAMECK ANAGAWA FEDHA OVYO sasa unategemea nini kwa mtu kama huyu? Tayari ameshawalipa chenu sasa maendeleo ya nini?Kawaida hata mimi nikirudi nyumbani MTUNDURU SGD nakikumbuka sana kijiwe changu au :maskani"huwa nawamiss sana washkaji lazima tukae tubadilishane mawazo tupate MTUKURU kidogo kwa fedha yao hata yangu pia hii ni kawaida kabisa .Na hata mwl JK alikuwa na kijiwe chake cha kuchezea BAO na alikuwa anawanunulia washkaji zake GAHUWA hii ni kawaida si RUSHWA na KITILA anavyofanya hiyo si rushwa kwenye hicho klabu ni kijiwe chake cha kukaa na washkaji zake ni Tofauti kabisa LAMECK MADELU MKUMBO a.K.a MWIGULU NCHEMBA anavyofanya anapita kila kona akigawa pesa HIYO NI RUSHWA ,mimi siwakatazi fedha zake kuleni lkni msimpe madaraka huyo sio Mbunge pigeni chini badilikeni pelekeni Mbunge wa kufikisha matatizo yenu bungeni na si wa kufikisha matusi kwa akina LISU ndo anachokijua huyo Mbunge wenu ,adabu kwake ni mama mkwe yaani haipo hata kwao sijui amelelewa vipi huyo mbunge wenu. Nasikitika sana kuona Watz leo hii watoto wa shule wanakaa chini hata wakati wa mwl shule zilikuwa chache lkni mateso kama haya yalikuwa hayapo kila kitu bure. Leo hii mbunge kama huyo ni matusi tu hamna la maana analoöngeaga bungeni labda nyie ndg zetu wa Iramba mko fiti! Badikeni SISIEM SIO CHAMA CHETU TENA
 
Ndugu wanajamvi leo nimeamua kuwaletea mpambano wa wanyiramba hawa wawili ambao wanatarajia kumenyana kwenye kinyang'anyiro cha ubunge mwaka 2015 kwenye jimbo la iramba,wasomi hawa wamekuwa na mvuto wa tofauti katika jimbo la iramba.

Kwa upande wa Mwigulu Nchemba amekuwa kivutio pale anapofika jimboni na kugawa pesa kwa vijana wa stendi, sokoni na mitaa yote anayopita hivyo amefanikiwa kuwa na wafuasia wanaopenda pesa zaidi kuliko yeye mwenyewe hii ni kutokana na pale anapofika jimboni akiwa hana pesa huwa anaambulia matusi na kejeli kutoka kwa vijana wa iramba.

Kwa upande Dr. Kitila Mkumbo huwa akifika jimboni watu wengi hupenda kupiga nae picha, vijana hupenda kusikiliza nasaha zake ambazo huwa zinalenga ktk masuala ya elimu na ujasiriamali, anapenda sana kuwasaidia wazee wanaopendelea kunywa pombe za kienyeji kwa mfano ktk kijiji cha mugela aliwasaidia wazee kwa kuwaezekea kilabu chao cha pombe yao ya kienyeji maarufu kama mtukuru.

Kitila akifika jimboni hupendelea kupita kwenye shule za mkoa mzima kwa mfano aliwahi kupita kwenye shule za A-level za mwenge na tumaini kuwapa ushauri na hamasa ya umuhimu wa kusoma kwa bidii.

Kwa upande wa elimu zao Mwigulu anafanya PhD na kitila anafanya ya uprofesa hivyo kila mtu hapo anaitumia elimu yake kwa jinsi tofauti coz Mwigulu anaamini katika sera za Prof. Lipumba za kugawa pesa na Kitila anaamini katika kuwapa elimu bora wanyiramba ili waweze kufanya biashara zao vyema.

NAOMBA KUWASILISHA.

mtu anaesomea phd halafu anafanya siasa maji taka kwa kuwapa wananchi msaada wa kuwajengea bar ya pombe za kienyeji ndio unamuona wa maana? Poor you!
 
Kwa style ya kuwanunulia watu pombe eti ndio unamuona wa maana hatakaa anapate hata ujumbe wa nyumba kumi labda huko
 
Dr kitila mkumbo, msomi aliebobea, anawashawishi wananchi maskini kwa kuwanunulia mtukuru??? Kweli wajinga ndio waliwao
 
Mleta mada umedhihirisha upeo mdogo ulionao wa kupambanua mambo, unasifia msomi wa ngazi ya profesa kuhonga pombe ya kienyeji? Ndio mawazo mbadala ya mtu aliepoteza mda ulaya akisoma? Mkufunzi wa waalimu chuo kikuu? Mshauri mkuu wa chama kikuu cha upinzani?
 
pamoja na mada hii imekaa ki uchokozi zaidi kwa kweli yapo majimbo yanayotakiwa kukombelewa mojawapo likiwa hili la mwigulu ,pamoja na kutembea na wake za watu hapo shelui ajiandae kwa nafasi nyingine ifikapo 2015 .majimbo mengine ni la jumanne maghembe mwanga .,same ,na kwingineko ,jimbo la januari makamba ushoto ,maji marefu korogwe vijijini.
 
Dr. Mkumbo mwacheni aendelee kufundisha. Huko bungeni kuna nini hadi kila msomi akimbilie huko? Vyuoni watabaki akina nani? Tangu mwaka 2000 tumeshuhudia wimbi kubwa la wasomi kukimbilia bungeni hadi vyuo vinakosa wahadhiri. Nadhani tatizo hapa ni pesa, naam bungeni kuna mashiko zaidi! Nashauri mishahara na posho za wabunge zipunguzwe kama zamani ambapo mshahara wa mbunge ulikuwa sawa na ule wa DC , nadhani maprofesa na madaktari watatulia vyuoni.
 
Mkumbo ni kichuguu nchemba hivyo kumlinganisha kisiasa iramba unamvunjia heshima mwigulu nchemba

yani wewe ndo t.ako kalio kabisa,panua akili upime upeo wa uelewa wa akili yako,nchemba upeo wake mdogo,chagua mtu atakaye komboa watu kifikra na si kugawa hela kwa vijana stand.
 
Nchi nzima mafisadi hawatkiwi 2015 ndo maana tuna uhakika Kitila ni mbunge wa Iramba 2015 wala haina ubishi
karibu jembe letu Dr
 
magamba hatuwataki kabisa huku kwetu songea nchimbi naye kakalia kuti kavu
 
Siasa za Chadema mm zinanikera sana, inamaana mnapoanza kumnadi Dr. Kitila namna hii kuchukua Iramba 2015 itakuwaje akijitokeza mwanachama mwingine akalitaka jimbo? Ndiyo yaleyale ya Dr. Slaa na urais 2015 mtu mwingine akitangaza nia eti ni msaliti.
 
Hata sisi huku ubungo tumemchoka mnyika hapo vp wajameni au nimetumwaa??
 
Mimi natokea Kiomboi na kwa kweli Mkumbo hawezi pata hata kura 500 muulizeni kilichompata kwenye vikao bilivopita kuanzia kiomboi hata watu mia hakufikisha ,pamoja na kutugawia kalenda box zima zimewasaidia mama ntilie huku old kiomboi na na na kiomboi na kufunguia maandazi ,hapati kitu hakya nani hamuwajui wanyiramba nyie ,chezea kabila makini ,nkundu zani inye leki mwisigo ni anilamba totomi kwanso
 
Mkumbo hata udiwani wa kwao Ntwike hawezi kupata labda mumtafutie jimbo huko uchagani hakya nani iramba jilisheni upepo tuu ,na propaganda zenu humu
 
Mkumbo hata udiwani wa kwao Ntwike hawezi kupata labda mumtafutie jimbo huko uchagani hakya nani iramba jilisheni upepo tuu ,na propaganda zenu humu
 
Nchi nzima mafisadi hawatkiwi 2015 ndo maana tuna uhakika Kitila ni mbunge wa Iramba 2015 wala haina ubishi
karibu jembe letu Dr

Mkaribisheni Arusha na sio Iramba Magharibi huku kamwe hapiti kata zote 17 hatafikisha hata kura 500...........songela sana Mwigulu a.k.a Lalilali
 
Hakika SINGIDA upinzani hakuna na Tundu Lissu kashashindwa kazi ya ati anakimbilia singida mjini huo ndio utakuwa mwisho wake kisiasa kwani hakuna cha maana Ikungi alichokifanya
 
Wewe kingukitano sijui ni mnyiramba wa wapi usiekuwa na akili sisiemu itakusaidia nini au ndo ww uliyepewa ka ruzuku na riz1 nini!
 
Back
Top Bottom