Dr. Kitila Mkumbo tunakutaka Iramba Magharibi!

Wana Iramba nilishamsikia kitila, mimi nimeshapambana na wakubwa zake wote slaa mbowe na wengine wote igunga, arumeru na bungeni, light weight akitaka kupambana na heavy weight labda anataka ku commit suicide.
Wenzake wanajua, nilikutana na wakubwa zake nikiwa natafuta majimbo ajili ya wana ccm wenzagu, sasa anakuja kwangu, ANAMFUATA MAMBA KWENYE KINA KIREFU CHA MAJI. MLEKI WAZE NIZIKUA UUTYAPILA.
 
Mkuu Mwigulu Nchemba kwa maana hiyo Arumeru ulishinda?
 
Last edited by a moderator:
Wana Iramba nilishamsikia kitila, mimi nimeshapambana na wakubwa zake wote slaa mbowe na wengine wote igunga, arumeru na bungeni, light weight akitaka kupambana na heavy weight labda anataka ku commit suicide.
Wenzake wanajua, nilikutana na wakubwa zake nikiwa natafuta majimbo ajili ya wana ccm wenzagu, sasa anakuja kwangu, ANAMFUATA MAMBA KWENYE KINA KIREFU CHA MAJI. MLEKI WAZE NIZIKUA UUTYAPILA.

Mkuu na wewe inaelekea yule atakayetaka kukupora jimbo huko kwake hata panya hatabaki?
 
Siasa za Chadema mm zinanikera sana, inamaana mnapoanza kumnadi Dr. Kitila namna hii kuchukua Iramba 2015 itakuwaje akijitokeza mwanachama mwingine akalitaka jimbo? Ndiyo yaleyale ya Dr. Slaa na urais 2015 mtu mwingine akitangaza nia eti ni msaliti.

Kitila Mkumbo ni chaguo la wanaIramba na Dr.W.Slaa ni chaguo la watanzania.Huo ndiyo ukweli hata kama ni mchungu namna gani umeze tu.
 
Last edited by a moderator:
Wana Iramba nilishamsikia kitila, mimi nimeshapambana na wakubwa zake wote slaa mbowe na wengine wote igunga, arumeru na bungeni, light weight akitaka kupambana na heavy weight labda anataka ku commit suicide.
Wenzake wanajua, nilikutana na wakubwa zake nikiwa natafuta majimbo ajili ya wana ccm wenzagu, sasa anakuja kwangu, ANAMFUATA MAMBA KWENYE KINA KIREFU CHA MAJI. MLEKI WAZE NIZIKUA UUTYAPILA.

- DUH! Saafi sana ujumbe mzito sana I hope wahusika wameusoma vizuri rangi zake!!

le mutuz
 
Wana Iramba nilishamsikia kitila, mimi nimeshapambana na wakubwa zake wote slaa mbowe na wengine wote igunga, arumeru na bungeni, light weight akitaka kupambana na heavy weight labda anataka ku commit suicide.
Wenzake wanajua, nilikutana na wakubwa zake nikiwa natafuta majimbo ajili ya wana ccm wenzagu, sasa anakuja kwangu, ANAMFUATA MAMBA KWENYE KINA KIREFU CHA MAJI. MLEKI WAZE NIZIKUA UUTYAPILA.

Mayu angaumugila lyakuandika bola utulie du, kuliko kujibizana na watu humu na wewe unatoa majibu mepesi utadhani mwanafunzi wa sekondari zetu za kata. Mpaka sasa kuna sehemu ambazo hutakiwi kabisa kwenye jimbo lako lakini unakuja na misamiati ya kinyiramba kuwa ukua uutyapila! Miaka hii iliyobakia wajengee wanyiramba uwezo wao binafsi na uondokane na siasa zako za kugawa pesa kwa watu ambao ni masikini. Kuwa na uchungu na jamii yako hasa jamii inayokuzunguka katika vijiji. Mnabaki kupiga porojo na huyo Mnyiramba mwenzio Nape wakati hata huko kwenye asili ya mama yake ni choka mbaya kama ilivyo kwako Makunda. Huu ni ushauri tu ndugu yangu maana wenzio wakiongelewa hapa hawaji na majibu mepesi namna hii.
 
Juzi kati nilikuwa Iramba na nimezunguka karibia wilaya nzima, kiukweli CHADEMA inakubalika hasa kwa vijana na wazee wanaojitambua na ni dalili nzuri Kwa chadema na ukizingatia kuwa dr.Kitila Mkumbo ameshaanza harakati hz mapema kama kufanya mikutano ya mara kwa mara kuhamasisha vijana kushirki kwenye masuala ya kisiasa,kielimu na kijamii pia amekuwa akisambaza kalenda zinazomuelezea na kuwafanya wananch wamjue vizuri zaidi., ila wasiwas wng unabak palepale kuwa mzee wa kufoji Mwigulu amekuwa akitumia pesa kuwashawish wananch wa iramba waendele kumkubali na ukizingatia kuwa wananch wa iramba weng wanaish kweny lind la umasikin na weng hawana elimu jambo ambalo linasabisha kununulika kirahic, jambo ambalo pia ni hatari sana kwa mustakabali wa maendeleo ya Iramba. M4C Inahitajika zaid iramba ili kutoa elimu na kama mnavyojua mtaji wa ccm ni ujinga na baada ya kutoa elimu ccm itakuwa lain kama ndiz ya kishimundu au bukoba.. M4C DAIMA.
 
Malungu acha kutumiwa au kutoa hoja kwa kutumia thread za jf. Hakuna kata, wala kijij,wala kitongoji, wala mtaa wala familia nzimanzima niliwahi kupata upinzani. Nimetoka ziara hivi majuzi watu wananing'ang'ania mpaka hawataki niondoke. Kisharita nilifanya mkutano watu zaidi ya 500 mpaka saa mbili usiku na nimeondoka watu wamebeba majani mabichi. Nilikuwa kisiriri wakasema wewe ni malaika sio mbunge. Juzi ndago nimeongea watu wakalua machozi nikapewa zawadi mbuzi 8 vitambaa kumi nishone suruari.sijawahi kwenda eneo nikafyonzwa au kuulizwa swali la kejeli. Nitajie acha kijiji familia nzima inayonikataa. Kama mimi mwongo mwacheni mtu wenu aje majibu yatatoka kwa wenye mamlaka. Hujui hata uwezo niliowajengea wanyiramba mpaka sasa. Nimepeleka mradi wa over 600milion mingela, over 600 milion ndago, over 100 milion kyengege. Barabara ya mlimani kidaru imepanda daraja. Mtoa shelui iliyokuwa hapitiki hata kwa miguu bila kuvua viatu tangu uhuru nenda leo. Bado ya ntuike tyulia kidaru mwaka huu inapanda na kuwekewa fedha. Sina mashaka hata chembe. Hii habari ya kutokuwapa watu pesa subiri uwe mbunge usiwape ili mimi kwa dini yangu najua KUSOMESHA YATIMA NI IBAADA NA WALE WALIOFAULU MAALUM WAZAZI HAWANA KITU NITWAENDELEA KUWASOMESHA. ANAECHUKIA HILI ATAPAMBANA NA MUNGU. MBONA NDUGU YENU ALIJENGA KIRABU CHA POMBE NA KUWANUNULIA WATU POMBE? IPI HERI POMBE AU KUWAGAWIA YATIMA?
 
Mkuu Mwigulu Nchemba kama umefanya yote hayo unababaika nini mpaka unamkufuru Mungu kujiita Malaika? Waache wanaIramba wataamua wenyewe wakati ukifika.Kwanini unakuwa na hofu kubwa hivyo unaposikia Kitila Mkumbo ameombwa na wanaIramba kuwa mgombea wao? Acha demokrasia ifanye kazi yake.
 
Last edited by a moderator:
Molemo hujasoma between lines, nimejiita au nimekwambia waliniita hivyo. Unabadili mpaka kilichoandikwa. Rudia tena kusoma hapo. Utaona mara zote mimi sina mashaka na Iramba, mkalama wala Igunga. Mtu atakaye kuja maeneo haya anajisumbua sana, it will be rough and tough to him.
 
Mkuu Mwigulu Nchemba kama umefanya yote hayo unababaika nini mpaka unamkufuru Mungu kujiita Malaika? Waache wanaIramba wataamua wenyewe wakati ukifika.Kwanini unakuwa na hofu kubwa hivyo unaposikia Kitila Mkumbo ameombwa na wanaIramba kuwa mgombea wao? Acha demokrasia ifanye kazi yake.

- WanaIramba hawajamuomba anybody tumeona picha za wanaIramba na Mbunge wao majuzi tu, zipo very clear kwamba wapo naye, so hizi blah! balh! blah bakini nazo huko!! ha! ha! ha! vipi Mwigulu na Slaa si ni mtu na Kilembe chake au? ha! ha
!

le mutuz
 
Mimi natokea Kiomboi na kwa kweli Mkumbo hawezi pata hata kura 500 muulizeni kilichompata kwenye vikao bilivopita kuanzia kiomboi hata watu mia hakufikisha ,pamoja na kutugawia kalenda box zima zimewasaidia mama ntilie huku old kiomboi na na na kiomboi na kufunguia maandazi ,hapati kitu hakya nani hamuwajui wanyiramba nyie ,chezea kabila makini ,nkundu zani inye leki mwisigo ni anilamba totomi kwanso

Mayu naona hasira kweli kweli! Vipi Igunga, nakuona tu, we wish you the best at FCC!
 
Baba wewe si ndiyo unajipendekeza ili uonekane? Hivi baba kwa umri wako Mwigulu Nchemba si kama mtoto wako wa tatu hivi?

- Kama wewe unavyojipendekeza uonekane na Chadema kwani Mwigulu anaweza kuwa mtoto wa ngapi wa Mwenyekiti wako? maana huwezi kumlinganisha na Slaa itakuwa aibu au? ha! ha1

le mutuz
 
Nilikuwa Kinampanda wiki iliyopita hali inaonyesha kuwa upepo wa kisiasa kwa Dr Mkumbo unavuma vizuri sana. Anatakiwa kuwa karibu na wananchi . 2015 Mwigulu hana chake
 
- Kama wewe unavyojipendekeza uonekane na Chadema kwani Mwigulu anaweza kuwa mtoto wa ngapi wa Mwenyekiti wako? maana huwezi kumlinganisha na Slaa itakuwa aibu au? ha! ha1

le mutuz

Baba kwa umri wako unaweza kulinganisha mafanikio yako na ya mwanao Mwigulu Nchemba?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom