Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 68
Kama Mh Mbowe akiamua kutogombea tena, tunahitaji mtu mwenye uwezo mkubwa wa kutoa hoja na kujenga taswira ya chama. Kama Dr Mkumbo atakubali kuacha Udsm, ni moja ya brains nzuri sana zilizopo Chadema. Ana sifa zote, kwanza ni jasiri, ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja, ni msomi, ana uwezo wa kufikiri, ana busara, anakubalika kwa vijana, ametoka mkoa ambao si wa kaskazini, hana tamaa ya madaraka nk. Ni mawazo yangu tu, JF mnaonaje?
Tuwaache wataalamu wetu huko waliko kwa maendeleo ya Taifa. Vipi Slaa lakini au tayari amekosa mwelekeo?