Dr. Kitila ampa tabu Thabo Mbeki

Examples, please.

The incidence of lung cancer among long term cigarrette smokers.

I will give him that correlation can be used to show causation, but that does not mean correlation IS causation because you can draw correlation between things that have no causation in their relationship.
 
Mind you saying "poverty causes AIDS" is not one and the same thing as saying "poverty causes HIV"
 
Kitila Mkumbo,
Bahati nzuri upo kwenye field hiyo muda mrefu kama unavyotujuza...kwa hiyo marais wawili wa Afrika Kusini Thabo Mbeki na Nelson Mandela watoto wao walikufa kwa ukimwi?
 
Last edited by a moderator:
WOWOWO,
Kwa faida ya JF naomba ututajie jina la mtoto wa Thabo Mbeki aliyekufa kwa HIV.

Acha uvivu,pitia swali kama lilivyoulizwa kwa usahihi na Dr Kitila Mkumbo badala ya kurukia page ya mwisho na kupost utumbo wako huu!
 
Kitila Mkumbo,
Bahati nzuri upo kwenye field hiyo muda mrefu kama unavyotujuza...kwa hiyo marais wawili wa Afrika Kusini Thabo Mbeki na Nelson Mandela watoto wao walikufa kwa ukimwi?
Hebu soma swali kama lilivyoulizwa kwa usahihi na Dr Kitila Mkumbo,usiogope,limetafsiriwa kwa kiswahili!
 
Mind you saying "poverty causes AIDS" is not one and the same thing as saying "poverty causes HIV"

Correct, but HIV causes AIDS, this is the bone of contention here.

Why couldn't Mbeki respect his audience by gracing them with admitting his former peccadillo?
 
Hebu soma swali kama lilivyoulizwa kwa usahihi na Dr Kitila Mkumbo,usiogope,limetafsiriwa kwa kiswahili!

Mkuu eti Hilo ni Jembe la CCM Online ha ha ha yeye anauliza swali akirefer Uzushi na wakati Dr. Kitila ameshafanya clarification
 
Former as in that which took place originally in the past, currently he is not exactly peccadillo-ing, rather buttressing the catacombs of his legacy as a hyperbole's poster boy by not redeeming himself.
 
Redemption from what?
 
Kitila Mkumbo,
Bahati nzuri upo kwenye field hiyo muda mrefu kama unavyotujuza...kwa hiyo marais wawili wa Afrika Kusini Thabo Mbeki na Nelson Mandela watoto wao walikufa kwa ukimwi?

Eti Na wewe ni Jembe la CCM online. Yaani wewe ni Bonge la Pimbi maana ungesoma Post ya Kitila Mkumbo usingeuliza huu Ushuzi wako

" Ritz ni Jembe la CCM Online " by Mutuz Le Baharia, Big Show 23/11/2012
 
Last edited by a moderator:

Sasa kwanini asingesimamia kauli yake?
 
Hakuna anayekataa kama Ukimwi sio janga hapa tunazungumzia swali alilouliza Dr wenu!

Chama
Gongo la mboto DSM
swali lake ni relevant mno

you just dont know impact ya mbeki kudharau ukimwi kwa nchi kama swaziland, lesotho na botswana

Kitila hit the nail in the head

BTW, Kitila is my secondary school class mate sio Dr. Wangu

he did the right question

myopia yako itakuua
 
Ninamsoma sana mkumbo na bahati mzuri namuelewaga sana. Kwa kumuuliza swali hilo Mbeki ambalo kusema kweli alistahili kwa mtazamo wake kwamba ugonjwa wa Ukimwi unasababishwa na umaskini. Sasa kitila alitaka kujua kama msimamo wake unaendelea hivyo kufuatia kifo cha mtoto wake,ambaye kwa kulingana hali yake ya kipato huwezi kumuweka sawa na maskini wa kawaida ,manake kwa mtazamo wa mojakwa moja wa mbeki kama ambavyo na mimi nilivyomuelewa ni kwamba ukimwi unasababishwa na umasikini na wala sio virusi vya ukimwi. Sasa imetokeaje mtoto wa mtu ambaye sio masikini(Mbeki) afariki kwa ugonjwa wa kimasikini. Namtakia maisha marefu mzee madiba ambaye alikiri hazarani kwenye msiba wa kijana wake mkubwa kwa kutamka kwamba amefariki kwa ukimwi manake ingekuwa huku kwetu tungeambiwa sijui presha ooh kisukari. Hongera Kitila Mkumbo kwa kummpich mzee mzima huo ndio ugreat thinker wenyewe, wengi tunakufuatilia kaka hongera sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…