Sorry Mh J.K ameenda kama nani hapa?
JK ni mwenyekiti wa kamisheni ya Elimu ya AU. He has a report to present to the head of states meeting!
Sorry Mh J.K ameenda kama nani hapa?
Basi mjomba hana kujipendekeza kwa lolote bali wanamuelewa wenyewekuna mwaliko mkuu huwezi kwenda tu kwa matakwa yako wewe.
Mmeanza kumkumbuka? Si mlimtukana mpaka msikitini nyie au si ninyi?Katiba ifanyiwe mchakato huyu mzee arudi, ninampenda bure!
We Jamaa unaonekana ni usalama wa taifa, ila mambo yetu ya JF utuachie wenyeweMkutano wa Umoja wa Afrika.
Kali!Kuna kitu hapa, natamani wataalam wa saikolojia watusaidie ili nasisi ambao bado tupo kwenye vibarua vya watu yasitufike. Babu yangu alikuwa mzee wa mahakama kila siku huwa namuona anaenda mahakamani wakati alishasitaafishwa kitambo....
Duh kaaazi kweli kweliKawakilisha Msoga mkuu
Yan kuna watu wana vichwa vizito, Daktari wa Filosofia kiingereza ndo kimemkataa hivi hivi mwaka wa 3 huu? daaahView attachment 686929
Dr Kikwete kulia,Rais wa Zimbabwe Mnangagwa na Waziri Mkuu Tz Kassim Majaliwa
Rais mstaafu wa awamu ya nne Dr Jakaya Kikwete amekuwa muhudhuriaji mzuri wa mikutano ya kimataifa popote duniani na amekuwa akisaidia kutoa mada mbalimbali katika program za afya ,elimu,haki za binadamu,usuluhishi na amani bila kusahau demokrasia kwa viongozi na wadau mbalimbali wa maendeleo duniani.
MTU smart na mwenye kujali sana jk tutazidi tu kumkumbuka. Mungu ampe maisha marefu ili siku katiba tukiifanyia marekebisho arudi mkwele wetu.Sijui kwa nini sijawahi kumchukia JK kabisa
Hii haitakuja kutokeaYan kuna watu wana vichwa vizito, Daktari wa Filosofia kiingereza ndo kimemkataa hivi hivi mwaka wa 3 huu? daaah
ukiwa unamfollow twitter utaona anavyokula MWEWE kila mara yupo kwenye forumsNakumbuka maneno ya JK kabla ya kustaafu alikuwa anasema yeye atakuwa mtu maarufu duniani na nikiangalia kwa jinsi anavyosafiri na kuhudhuria mikutano au forum mbalimbali duniani may be ndo umaarufu wenyewe huo unaanza.
asije akasahu fukuto la miaka sabaView attachment 686929
Dr Kikwete kulia,Rais wa Zimbabwe Mnangagwa na Waziri Mkuu Tz Kassim Majaliwa
Rais mstaafu wa awamu ya nne Dr Jakaya Kikwete amekuwa muhudhuriaji mzuri wa mikutano ya kimataifa popote duniani na amekuwa akisaidia kutoa mada mbalimbali katika program za afya ,elimu,haki za binadamu,usuluhishi na amani bila kusahau demokrasia kwa viongozi na wadau mbalimbali wa maendeleo duniani.
View attachment 686929

Nakumbuka maneno ya JK kabla ya kustaafu alikuwa anasema yeye atakuwa mtu maarufu duniani na nikiangalia kwa jinsi anavyosafiri na kuhudhuria mikutano au forum mbalimbali duniani may be ndo umaarufu wenyewe huo unaanza.
ila KUNALIJITU analifumbia macho.Rais mstaafu wa awamu ya nne Dr Jakaya Kikwete amekuwa muhudhuriaji mzuri wa mikutano ya kimataifa popote duniani na amekuwa akisaidia kutoa mada mbalimbali katika program za afya ,elimu,haki za binadamu,usuluhishi na amani bila kusahau demokrasia kwa viongozi na wadau mbalimbali wa maendeleo duniani.