Dr. Kikwete katika mkutano wa Umoja wa Afrika

Dr. Kikwete katika mkutano wa Umoja wa Afrika

Kuna kitu hapa, natamani wataalam wa saikolojia watusaidie ili nasisi ambao bado tupo kwenye vibarua vya watu yasitufike. Babu yangu alikuwa mzee wa mahakama kila siku huwa namuona anaenda mahakamani wakati alishasitaafishwa kitambo....
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Itategemea kama kuna jambo linamuhusu nadhani atakwenda tu mfano amealikwa kuwa mgeni rasmi katika mkutano fulani?
Kwa ile akili kuna taasisi ya maana inaweza kumualika mahali?
 
View attachment 686929
Dr Kikwete kulia,Rais wa Zimbabwe Mnangagwa na Waziri Mkuu Tz Kassim Majaliwa

Rais mstaafu wa awamu ya nne Dr Jakaya Kikwete amekuwa muhudhuriaji mzuri wa mikutano ya kimataifa popote duniani na amekuwa akisaidia kutoa mada mbalimbali katika program za afya ,elimu,haki za binadamu,usuluhishi na amani bila kusahau demokrasia kwa viongozi na wadau mbalimbali wa maendeleo duniani.
Swali mkuu kwani kushiriki hii mikutano kuna mualiko wowote au mtu anaenda tu??
 
Bravo jk

Mh rais mstaafu dr.jakaya kikwete amekuwa akihudhuria mikutano kadhaa ya AU na amekuwa akialikwa kwa kuwa yeye ni mwakilishi wa umoja huo (AU) kwenye mgogoro wa libya.

Naam khaswaaa kwa kazi hii na nuingine nyingi alizonazo dk.kikwete ndio maana amekuwa akialikwa kwenye mikutano mikubwa kadhaa afrika na duniani.

Ana vyeo vingiii na lukuki kuanzia

Nyumbani TZ- rais mstaafu na chancellor wa udsm/mwenyekiti wa taasisi ya jakaya kikwete JMKF.

Afrika/AU-mwakilishi wa AU kwenye mgogoro wa libya.

Duniani-commisioner wa maswala ya elimu
-mwenyekiti mwenza wa baraza la linashughulikia wakimbizi ulimwenguni
-nk

kwa hiyo itoshe kusema kwa kazi hizi jakaya utamuona sana huko duniani.

Long live stateman of our times and our own diplomatic giant HE.prof.Dr.Jakaya Mrisho Khalfani Kikwete Mizega.
 
Unajua ninapoangalia hizi comment za watu nahisi wengi wao wana choyo na wengine chuki zimewajaa. Kikwete akienda pale siyo kama anaiwakilisha Tanzania au Rasi mstaafu wa Tanzania anaenda pale kwa majukumu alikabidhiwa na AU pamoja na United nation sasa kama wanahisi hafai kuwepo pale wapitishe petition online ya kutaka aondolewe. Lakini mwisho wa siku ataendelea kusafiri na kuhutubiwa mikutano tofauti na bahati nzuri gharama zake hazilipiwi na Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania.. Sasa nawauliza kinawauma nini? au kuleni pilipili basi!
Poleni sana
 
Naona hapo Majaliwa anaonesha ana amani kuwa na JK kuliko anapokuwaga na vitu vingine.
Huyo ndiye aliyemuibua huko Lindi na mpaka kujulikana bila JK hata huo uwaziri mkuu angeusikia.Kama Magufuli anavyomheshimu Mkapa maana ndiye aliyemtoa Chato mpaka Baraza la Mawaziri.
 
Ule mkutano una wadau wengi sana ndugu marais wengi tu wastaafu huwa wanakwenda mfano mzuri Rais mstaafu Olusegun Obasanjo wa Nigeria naye alikuwepo na mara nyingi tu anakwenda katika mkutano wa AU.
View attachment 686942

Kutoka kushoto Gen Muhammadu Buhari, Gen Olusegun Obasanjo na Gen Abdusalami Abubakar, former generals.
 
Unajua ninapoangalia hizi comment za watu nahisi wengi wao wana choyo na wengine chuki zimewajaa. Kikwete akienda pale siyo kama anaiwakilisha Tanzania au Rasi mstaafu wa Tanzania anaenda pale kwa majukumu alikabidhiwa na AU pamoja na United nation sasa kama wanahisi hafai kuwepo pale wapitishe petition online ya kutaka aondolewe. Lakini mwisho wa siku ataendelea kusafiri na kuhutubiwa mikutano tofauti na bahati nzuri gharama zake hazilipiwi na Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania.. Sasa nawauliza kinawauma nini? au kuleni pilipili basi!
Poleni sana
mi nilichofurahia ni confidence aliyonayo JK kwenye interantional forums siyo huyu tulie Naye ana inferiority complex , anahangaika kuwaumiza akina Sugu
 
Kutoka kushoto Gen Muhammadu Buhari, Gen Olusegun Obasanjo na Gen Abdusalami Abubakar, former generals.
Wote ni marais wa Nigeria na huyo Gen Abdusalami Abubakar kama mkuu wa majeshi aliapishwa kuwa Rais mwaka 1998 kufuatia kifo cha ghafla cha Rais Sani Abacha na kufanya uchaguzi wa uhuru na uwazi mwaka 1999 na kumkabidhi Gen Olusegun Obasanjo baada ya kubadili katiba kitu ambacho hakikutegemewa na wengi.Amehusika na kuleta amani ya Liberia chini ya Charles Taylor mwaka 2003
 
Back
Top Bottom