tatum
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 5,786
- 4,494
Dr Kikwete kulia,Rais wa Zimbabwe Mnangagwa na Waziri Mkuu Tz Kassim Majaliwa
Rais mstaafu wa awamu ya nne Dr Jakaya Kikwete amekuwa muhudhuriaji mzuri wa mikutano ya kimataifa popote duniani na amekuwa akisaidia kutoa mada mbalimbali katika program za afya ,elimu,haki za binadamu,usuluhishi na amani bila kusahau demokrasia kwa viongozi na wadau mbalimbali wa maendeleo duniani.