Nina amini JK kuna kitu anakutafuta, kama sio uongozi wa juu kwenyw umoja wakumataifa basi ni umaarufu kama ulivyosema.
sidhani kashindwa nchi yake ataweza ktk umoja?
Nina amini JK kuna kitu anakutafuta, kama sio uongozi wa juu kwenyw umoja wakumataifa basi ni umaarufu kama ulivyosema.
kweli madawa na wizi serikalini ndio tunachohitaji watanzania . hongera jkJK akigombea tena urais uwezekano wa kushinda kwa kishindo waweza kuwa mkubwa, ccm fikirieni hilo, maana siku hizi mpk wapinzani wanamsifia kila kukicha
anampeti peti cheupe dawaMzee wa phd feki Yeye anaelekeaga pale kwa dikiteta mkuu ist afurika
GENTAMYCINE Mkuu maoni yako tafadhali. Maoni ya wazoefu kama ninyi ni muhimu
Nashukuru kwa kuutambua umuhimu wangu Mkuu ila labda tu ungeweka wazi unataka nitoe mchango wangu wa Kimaoni katika jambo / suala gani ili nikutiririkie na nikusererekie vizuri hadi utosheke Kimaarifa na Kiufahamu.
talented thief, who lacks leadership & mgt skills. he only managed our country using traditional leadership shit
i do not careTafadhali ulichonijibu kinahusiana 100% na nilichokiandika?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]kweli madawa na wizi serikalini ndio tunachohitaji watanzania . hongera jk
Mpaka mtanyooka tu bado miaka 8 na chuki zenu.Rais kipenzi chetu hatoki nje ya nchi. Nchi itajitangaza yenyewe kwa upigaji kazi wa wananchi. Nadhani umeona riport ya World bank Tanzania inaongoza kwa nchi za afrika kwa kuwa na uchumi mtawanyiko achana na GDP zao, hesabu za leo ni ALL INCLUSIVE ECONOMY ndiyo zinatoa taswira ya uchumi imara wa nchi .VIVA JPM tuko pamojami nilichofurahia ni confidence aliyonayo JK kwenye interantional forums siyo huyu tulie Naye ana inferiority complex , anahangaika kuwaumiza akina Sugu
Tiririka na uwepo wa JK kwenye mikutano ya AU.Nashukuru kwa kuutambua umuhimu wangu Mkuu ila labda tu ungeweka wazi unataka nitoe mchango wangu wa Kimaoni katika jambo / suala gani ili nikutiririkie na nikusererekie vizuri hadi utosheke Kimaarifa na Kiufahamu.
Kama sijakosea yuko kwenye panels mbalimbali za masuala ya kidunia. Pia maraisi wastaafu hua wanaalikwa.View attachment 686929
Dr Kikwete kulia,Rais wa Zimbabwe Mnangagwa na Waziri Mkuu Tz Kassim Majaliwa
Rais mstaafu wa awamu ya nne Dr Jakaya Kikwete amekuwa muhudhuriaji mzuri wa mikutano ya kimataifa popote duniani na amekuwa akisaidia kutoa mada mbalimbali katika program za afya ,elimu,haki za binadamu,usuluhishi na amani bila kusahau demokrasia kwa viongozi na wadau mbalimbali wa maendeleo duniani.
Tiririka na uwepo wa JK kwenye mikutano ya AU.
Nimekuelewa mkuu ahsante kwa ufafanuzi.Rais Mstaafu Kikwete bado ana ' nyadhifa ' fulani fulani ndani ya ' Sekretarieti ' kadhaa za AU na hata kule UN hivyo siyo ajabu Yeye kuonekana kila mara katika mojawapo ya Mikutano ambayo huandaliwa na moja ya hivyo Vyombo vya Kimataifa na nashangaa hadi kusikitika kwamba jambo dogo tu na jepesi kama hili linawasumbueni ' Mibichwa ' yenu Watanzania kulielewa. Mwisho hakuna ' dhambi ' wala ' laana ' kwa Rais wa nchi fulani kutokuwa 'mhudhuriaji ' mzuri wa Mikutano hiyo ya Kimataifa na ndiyo maana hata wale Waalikwa katika Barua zao za Mialiko huwa wanasema kama hatoweza kwenda Yeye basi anaweza kumtuma ' Mwakilishi ' wake ila ambaye pia ni high profile figure katika nchi hivyo asipoenda Rais na badala yake akaenda Makamu wake au Premier ( Waziri Mkuu ) hakuna ubaya na bado uzito wa uwakilishwaji upo pale pale.
Ombi langu Kwenu sometimes jaribuni basi kufikiri outside the box halafu jiimarisheni sana katika kuwa ' Knowledgeable ' na kuachana na tabia yenu iliyozoeleka ya kupenda Kuzoza / Kupayuka hovyo.
Cc: mngony
wazimbabwe wanavyojua kingereza (ni namba mbili bada ya ghana) hapa sijui jk anaongea nini ? angalia body language ya bodyguard wa raisi wa zimbabwe anavyomwangalia jK... UMEGUNDUA NINI?