Dr. Kikwete katika mkutano wa Umoja wa Afrika

View attachment 686929
Dr Kikwete kulia,Rais wa Zimbabwe Mnangagwa na Waziri Mkuu Tz Kassim Majaliwa

Rais mstaafu wa awamu ya nne Dr Jakaya Kikwete amekuwa muhudhuriaji mzuri wa mikutano ya kimataifa popote duniani na amekuwa akisaidia kutoa mada mbalimbali katika program za afya ,elimu,haki za binadamu,usuluhishi na amani bila kusahau demokrasia kwa viongozi na wadau mbalimbali wa maendeleo duniani.
Mh Magufuli sio mchoyo. Anakula na wenzake sio kila kitu mimi.
 
Nafasi ya Dr Magufuli na Dr Kikwete katika forum za kimataifa haziingiliani wala mmoja hawezi kwenda kwa niaba ya mwingine
 
View attachment 686929
Dr Kikwete kulia,Rais wa Zimbabwe Mnangagwa na Waziri Mkuu Tz Kassim Majaliwa

Rais mstaafu wa awamu ya nne Dr Jakaya Kikwete amekuwa muhudhuriaji mzuri wa mikutano ya kimataifa popote duniani na amekuwa akisaidia kutoa mada mbalimbali katika program za afya ,elimu,haki za binadamu,usuluhishi na amani bila kusahau demokrasia kwa viongozi na wadau mbalimbali wa maendeleo duniani.
Hamna cha ajabu hapo kwake kuwa huko kwa sababu yeye ndiye AU high commissioner anayesimamia masuala ya AMANI na UTENGAMANO /

Political Transition and Restoration of Peace and stability in Libya. ALIOPATIWA January 31/2016 mara baada ya KUSTAAFU. Alipewa na aliyekuwa mwenyekitu wa Umoja huo Dr,Nkosazana Dlamini-Zuma.
Hivyo tusishangae sana na kujenga dhana ambazo hazipo.
 
Back
Top Bottom