Dr. Kigwangalla hapa umechemka! Huku sio kufikiria hata kidogo

Kusema ukweli sasa hii ni zaidi ya siasa kali...ahakikishe tatizo la damu hakuna?
Akachukue ya ng'ombe basi...
Yaani na elimu yote anashindwa kutofautisha matatizo ya kibinadamu na kiutaalamu?
Ha ha haaa...sasa viongozi wetu hawafanyi kazi kuleta mabadiliko ila kwa kuogopa kutumbuliwa tu..
 
Bila kusahau kesi lukuki za watumishi wa umma kusimamishwa kuanzia Masamaki. Na wote waliotumbuliwa majipu...ni rahisi sana kucheza na akili za watanzania...

Yaani jamaa ni wasanii sana, lakini tunahitaji kuwa na vyombo vya habari ambavyo vingekuwa vinafanya hizi tracking za "Ninatoa siku 7, 30 au 60 jambo flani liwe limefanyika". Kuanzia kwa Rais mpaka mawaziri wake.
 
Uhamasihaji wa Damu yeye Kigwangara alipaswa kuwa msari wa mbeli ile siku ya kuchangia dama watu wahamasishwe saaana
 
Kigwangala hajawahi kufanya kazi ya tiba na wala hospitali za serikali. Alijiunga na vi NGOs mara tu baada ya mafunzo yake ya internship. Hivyo hana uzoefu wo wote kwenye nyanja hiyo na ni layman. Hajui hizo damu zinapatikanaje huko zonal blood banks, hajui kazi za hao waganga wakuu wake, hajui mamlaka yake kwa akina Dr. Mwaka etc etc
ndomana anaongea asiyo yajua
 
kwa kuwa mbuga ya wanyama iko hapo jirani si angetoa tu amri askari wa wanyamapori waingie na kugema damu ya wanyama humo? mbona angepata tenki la semitrela la damu?hasa damu ya simba na faru weee!
 
Kigwangala, Bashe, Nape, Mwigulu, Nyalandu, kisesera Mulugo, Mongella, Makonda wote ni mitambo ya awamu ya 5 dakika tatu mbele.
 
Huyu Kigwangala kuna mambo ambayo huwa anashindwa kutumia" common sense"

Hao ndio wanasiasa wetu; wameingia siasa si kwa sababu wanao uwezo bali ni kwa sababu inalipa na wao wanataka hizo pesa. Hivi kuska damu ndiyo kazi ya RMO? Bora ubuniwe mfumo wa hili suala lakini mimi naona hii haiowezi kuwa kazi ya RMO.
 
Back
Top Bottom