OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,816
- 117,355
Maafisa wa Serikali na viongozi wa kisiasa huwa ni lazima kufanyika vetting kabla ya kupewa madaraka/vyeo.Utaratibu huu huwa ni muhimu ili kuepuka kumpa cheo fulani mtu asiye na Ethics au mwenye hulka fulani ambazo zinaweza kuvuruga utendaji wake.Nimeeleza huo utaratibu ili sote tuweze kupima kama hayo yalifanyika kwa Kingwangala.
Binafsi nataka kuamini hayo hayakufanyika.Katika kipindi cha 2010-2015 Kigwangala amejizolea sifa mbaya katika jamii.Ni yeye aliyeshikiana bastola na Hussein Bashe katika ofisi za CCM Nzega.
Ni yeye aliyewahi kutaka kupigana na kumtusi Ndugu Matobela katika kikao cha Madiwani Nzega,Matobela alikuwa afisa kilimo Nzega.Ni yeye aliyewahi kukamatwa akigawa rushwa ya Vitumbua huko Nzega.
Katika vikao vya baraza lililopita Nzega Dr.Kigwa amekuwa ni mwenye hulka ya kukashfu na kofekea wataalamu wa Halmashauri. Katika ripoti ya CAG Wilaya ya Nzega Dr.Kigwa pamoja na madiwani kadhaa wametajwa kupokea posho za vikao pasipo kuhudhuria vikao(aje akanushe nimwanike fasta)...Kama mambo madogo tu,cheo kidogo tu kilimshinda atawezaje uwaziri?
Dalili ya mvua ni mawingu