Dr. Kigwala amtaka Mbatia kujiuzuru ubunge

Dr. Kigwala amtaka Mbatia kujiuzuru ubunge

Huyu nae amshukuru Salma alimbeba. Asubiri anguko lake linakuja, maana mwenye jimbo alikuwa ni Bashe.

ukweli ndo huo,2015 hapati kitu huyu kwanza ashatuboa sana wana nzg,hakuna alilofanya hadi muda huu....maji shida,umeme ndo usiseme mbaya zaidi mji hauna ht sehem ya kutupia taka ngumu yaaan shida tupu,ukigusa stand ni balaa tupu ni pachafu as if ndo dumping place....
 
Vitu vya maana wanachukulia mzaha mzaha tu, kwa kuwa limeletwa na mpinzani ni baya....wamekata kujadili suala la maji dar ...kisa hoja ya mpinzania! sijua kama tuna jua maana ya vyama vingi?

Nimeshiriki kuandaa mitaa mingi, siami hivi tuvijatabu tunaweza kuwa mitaala ya chekechea mpaka form six, haswa kwa CEBET system. Hataaaaaa. Kitabu hicho kimoja kinaweza kuwa mtaala wa chekechea, na cha pili labda kwa darasa la kwanza. Nahisi tunachanganya kati ya Curriculum na Syllabus. Watanzania tuwe makini na hili suala.

Situation analysis (though this may a separate document)
Principal learning out come

Sub enabling outcome
Related tasks
Assessment methods
Assessment instrument
Bench-marking of assessment criteria
Assessment criteria
Marks distribution
Description of courses
Reference materials


I find it hard to have less than forty pages for each class
Kama mnataka kuona mfano nendeni VETA au NACTE, mtaikuta. Na hifichwi kabatini, inatakiwa itumike na walimu na wakaguzi
Ohhh my Gog bless this country.
 
kwa hiyo mbatia kakubali kuwa alichemsha!!haya mambo ya kujiapiza bila ushahidi..lakini mbatia haaminiki inawezekana ilikuwa dili na ccm ionekane waziri yupo makini na ccm yake!!!

hilo nalo neno,lolote laweza kutokea maana hawa wabunge wetu nao hawatabiriki wala hawaeleweki.
 
Yeye ndie anaeongoza kwa kudanganya, hata jina analotumia siyo lake, na walitumia matokeo ya mtu mwingine kujiunga na sekondari. haifai kabisa huyu. Siyo mwadilifu tangu akiwa mtoto.

tena hafai sana tu,keshatudanganya mno wana nzg yaan km ni hadhi basi hadhi yake ni ndala stahili yake chooni tu.
 
Jamani naomba kuuliza, kigwangwala ni Dr wa kitu gani? manake kuna madaktariwa kila design Tz huyu ni wa kitu gani?
 
Kigwangala, najua anaongea sana hi yote ni kutafuta umaarufu, ccm si ya ivo utongea sana na hutapata kitu wapo wengi wamekuwemo ccm kabla ya uhuru lakini wameishia kusulubiwa muulize jirani yako mzee wa kasi na viwango atakupa jibu, sikumbuki vzur wana JF wanikumbushe huyu Dr. NEC ya ccm alichaguliwa na-kabastola kake?
Mm na wacwac na elimu ya Kigwangala wana sayansi c waongeaj sana huyu bwana kaipataje iyo Dr?
 
james mbatia yuko sahihi kabisa.tanzania haikuwa na mtaala ulioandikwa ,huwezi kuja na sylabus ya chekechea na.s/msing. Na sekondar na kutuambia ndo mtaala.uongo mtupu,wameenda wameangalia hali tete wakakopi mihtasar na kusema ndo mitaala,curiculum is the broad term which conduct educational aim,goal,objective basis in national policy ie the education for self reliance.
 
Dr Vitumbua anatafuta umaarufu wa bure.....
hehehehehe,Dr nani?
vitumbuaVyaKuku.jpg
 
kigwangala, najua anaongea sana hi yote ni kutafuta umaarufu, ccm si ya ivo utongea sana na hutapata kitu wapo wengi wamekuwemo ccm kabla ya uhuru lakini wameishia kusulubiwa muulize jirani yako mzee wa kasi na viwango atakupa jibu, sikumbuki vzur wana jf wanikumbushe huyu dr. Nec ya ccm alichaguliwa na-kabastola kake?
Mm na wacwac na elimu ya kigwangala wana sayansi c waongeaj sana huyu bwana kaipataje iyo dr?
amuulize seleliii
 
Kigwa should be the last man to open his hole and say anything

mbatia, just do the needful
 
Jamaa harudi Bungeni 2015, Hussein Bashe anachukua jimbo hata kama ni kupitia mgombea binafsi!
 
Mbatia wala hajaongopa ila Wadanganyika tumedanganywa tena kwa kuletewa Mitaala ya kichina.Kielimu tuhesabu watoto wetu wamekwisha labda tuwapate akina Mbatia kama kumi hivi wakusimamia tatizo la Elimu yetu.
 
Back
Top Bottom