Fitinamwiko
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 4,803
- 1,419
Dr K hana hadhi ya kujifaharisha na udaktari wake, kwani tangu amalize Muhimbili, haja practice hardcore medicine for over 10 yrs. Kuna wabunge madaktari waliobobea katika fani hiyo kwa zaidi ya miaka 25, then walienda bungeni, hawakuwa domo kaya kama Dr.K. (mfano Prof Mwakyusa, Prof Sarungi, Pro Mtulia nk) Dr. K anastahili kufungwa kwa kumtishia bastola Bashe.