Dr. Kigwala amtaka Mbatia kujiuzuru ubunge

Dr. Kigwala amtaka Mbatia kujiuzuru ubunge

Alafu huyu bwana mbona ni Bogus sana yaani kweli Ccm ilimwondoa Serelii pale Nzega na kumwega mwendawazimu huyu...Kweli Chama Cha Majambazi kinaanguka sasa eti huyu ndio kijana kwenye chama cha mashetani anayeonekana ana upeo...Wakati ni Buyu tuuuu!Ptuuu Kigwangala huna lolote wewe ni mwizi kama wenzio tu hapo CCM
 
Dr Maandazi Katumia sana miemko kuongea kuliko kutumia akili nimemsikiliza sijahadithiwa.
 
kingwangala aka said bangile anakera sana bungeni,sijui ndio kutafuta umaarufu,ila naona Mwenyekiti kamtuliza kiherehere

So leo mwenyekiti wa bunge amefanya kazi nzuri......hajabagua? anajua kanuni?
 
Khamis kigwangala na mwigulu mchemba walifeli darasa la 7.....wanatumia majina ya watu waliofaulu STD 7 ila walikosa ada ya kuendelea na masomo.
Ina maana waliiba haki ya kimsingi ya raia wengine. Na walaaniwe. Kabla awajafa, wateseke kwa dhambi hiyo
 
This Hon Member is a disgrace to the House and an embarrassment to the good people of Nzega constituency, though they are known for their hard work but sending this chap to the House is a colossal mistake
Ben anza kumtafuta Selelii tumpime kama anafaa kwa M4C. Kwa mwigulu tumeshapata mmoja. Yeye Ngwalwa ameshasoma huo mtaala na kuona contex yake, na je is it still relevant for our childred, je kwanini inakaa kabatini, dodoma ilikuwepo, afisa elimu wa dodoma na kongwa wanayo? walimu wanayo? Ilitengenezwa kwa ajili ya nani?
 
kweli kama alisema ajiuzulu sasa mnashabikia nini,kama mitaala imeletwa na iko sawa kwa nini huyu Mteuliwa wa Raisi asijiuzulu??
 
Nampongeza sanaa Mh. Machali alivyo mjibu vizuri..... na ata jessica muhaga pia asante kwa kumkata nishayi mtu huyu

1. Kimsingi dogo anatafuta umaalufu tu

2. Swala la mbatia ni kubwa linaloatalisha ata nafasi ya waziri ( kilichofanyika na kamati teule ni kuzima hoja hii kwa kusema uongo tu)

3. Kama chapa ya kwanza imechapwa 2012 alafu chapa ya pili 2005. nawakati waziri anasema mitaala imeanza 2005, nasikuile mbatia alimuomba waziri mtaala na kusema ameucholachola wakati wakiwa hapo karibu kwanini mpaka ifike tarehe 06/02/13 ndio ziletwe..... ( WAMECHAKACHUA)

Kikubwa nzega kuna umuhimu wa kupeleka M4C kila kona...

V
SENGEREMA
 
Kigwala ndio nini? au unamzungumzia Nassoro bagaire

hawa wabunge wa sisiem ni vilaza sana na huyu ni mmoja wapo tena eti mbunge kijana utasikia nina MBA nasoma DR

lakin anayosema na level yake ya elimu tofauti kabisa ebu jengeni hoja
 
Anadai mbunge James Mbatia ajiuzuru na ubunge wake wa kupewa kwa kuwa mitaala imedhibitishwa kuwa mitaala ipo na aadhibiwe vikali na aombe radhi kwa Watanzania kwa kusema uwongo

Huyo ni Dr. Njaa tuu, hana lolote. Wasomi huwa na upeo wa kufikiri mambo kabla ya kusema. Hata hivyo, mitaala iliyoletwa ni feki, kuna thread inaendelea humu ndani kuthibitisha ufeki wa hiyo mitaala iliyowasilishwa na serikali.
 
Nimeshiriki kuandaa mitaa mingi, siami hivi tuvijatabu tunaweza kuwa mitaala ya chekechea mpaka form six, haswa kwa CEBET system. Hataaaaaa. Kitabu hicho kimoja kinaweza kuwa mtaala wa chekechea, na cha pili labda kwa darasa la kwanza. Nahisi tunachanganya kati ya Curriculum na Syllabus. Watanzania tuwe makini na hili suala.

Situation analysis (though this may a separate document)
Principal learning out come

Sub enabling outcome
Related tasks
Assessment methods
Assessment instrument
Bench-marking of assessment criteria
Assessment criteria
Marks distribution
Description of courses
Reference materials


I find it hard to have less than forty pages for each class
Kama mnataka kuona mfano nendeni VETA au NACTE, mtaikuta. Na hifichwi kabatini, inatakiwa itumike na walimu na wakaguzi
Ohhh my Gog bless this country.
 
Mkuu ni Ngumi au Ngumu? Au ulikuwa na maana ya kitu kingine cha kumpiga nacho!

Mkuu, hebu test neno "NGUMI" halafu ujaribu kuweka kwenye muktadha wa mazungumzo/mchango wake utaona kuwa alimaanisha neno "NGUMI" na sio "NGUMU".
 
kweli kama alisema ajiuzulu sasa mnashabikia nini,kama mitaala imeletwa na iko sawa kwa nini huyu Mteuliwa wa Raisi asijiuzulu??

Wewe kweli jitu jiwe.....mawazo magumu na hayana faida.
 
Huyu jamaa is a junk,yaani anakurupuka tuu.anataka aonekane the most active backbencher,ajui kwamba anajimaliza.
 
Atujibu kwanza kuwa aliwahonga wananchi wake vitumbua vingapi?
 
Atuambia ziko shule gani? maana kesi ya nyani kapelekewa ngedere

Anadai mbunge James Mbatia ajiuzuru na ubunge wake wa kupewa kwa kuwa mitaala imedhibitishwa kuwa mitaala ipo na aadhibiwe vikali na aombe radhi kwa Watanzania kwa kusema uwongo
 
Back
Top Bottom