rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 17,272
- 24,123
Kuna watu na hakika wamesafiri toka Dar kwa ajili ya hukumu naomba watujuze nini kinaendelea hili jimbo si ndio tuliambiwa Ra amelipaisha kwa maendeleo badala ya kupata up to date post nyingi ni za kujua nini kinaendelea