Mkuu dudus wacha hiyo!!!Ha ha ha ha ha ha! Shangali? Hawakawii kusema mchaga huyo! Just a joke.
thanks for correction..nafikiri ni court of appeal(mahakama ya rufaa)..wengine wahasibu sisi jamani tulisoma business law!!!Kesi iliyosikilizwa mahakama kuu Tabora, rufaa inaenda tena mahakama kuu? Du!
Kwanza kipekee namshukuru Mungu kwa kumwongo Jaji ktk hali ya hekima na busara na kuweza kusimamia haki. Pili Mungu amekuwa akiiyonekania Tanzania kila kukichwa kwakutufunulia maovu ya viongoz wetu na kuwaweka wazi na hata kuwashusha chini. Napenda kusema mwisho wa CCM a.k.a wazee wa kijan umefika. Siku zao zinahesabika. Mungu ibarik Tanzania Mungu ibarik Africa
waiti kidogo tuko safarini twaenda ethiopia kwenye msiba.....HIVI ni lini MAHAKAMA zitaenda online, ili hukumu kama hiyo tubofye kwenye Web yao na kusoma?
Usiwe mbaguzi wewe wengine hatunywi ila soda na vikuku zinatosha au vipi???Pakajimmy,Rutashubanyuma na bila kumsahau dada yangu wa ukweli Preta leo nitakua maeneo ya Arusha Night Park AKA !!!!!! Baa kwa ushindi huu huru kutoka mahakami! Karibuni wote Samaki wa Foil na bia Barrrrrrrrrriiiiiid!
Pakajimmy,Rutashubanyuma na bila kumsahau dada yangu wa ukweli Preta leo nitakua maeneo ya Arusha Night Park AKA !!!!!! Baa kwa ushindi huu huru kutoka mahakami! Karibuni wote Samaki wa Foil na bia Barrrrrrrrrriiiiiid!
Ndallo muzee ya Maprado, ni mzee wa sound huyu!...Jana tumemsubiri pale RIP hadi saa 5.00 za usiku hajatokea. Preta aliishia kugombezwa bure na Mr. wake mtarajiwa bana!...wakati ndoa yao ni Jumamosi kuamkia sensa!Usiwe mbaguzi wewe wengine hatunywi ila soda na vikuku zinatosha au vipi???
Huyo si walikuwa wanalipa fadhira kwani mikataba ya Buzwagi na Tulawaka na Geita mines hayumo wakati akiwa commissioner of minerals???? Kama si kesi za Igunga ilikuwa apewe uwaziri!!!Peter Kafumu atajutia uamuzi wake wa kuacha kazi aliyoisomea kitaaluma na kujiingiza kwenye siasa za kifisadi. Pia inawezekana mahakama imemvua ubunge ili kumrejesha Rostam.