Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,993
Daraja la MBUTU mpaka leo halijajengwa! Wakati wa kampeni za Arumeru Mashariki waliamua kutafuta Mkandarasi, wakamsaundisha ili ionekane kuwa amechukua kazi na angeanza kujenga!
Picha nyingi zikapigwa na Waandishi wa habari wakafanya kazi yao...kumbe ni KAPUTI.
UWONGO HAUDUMU!
Kandarasi ya daraja la mbutu walipewa wakandarasi wazawa (group of companies 10 plus)
Mmoja wao nilimuuzia machine ya kufanyia kazi lakini hadi sasa ameshindwa kuichukua kwa kushindwa kufanya down payment, Magufuli bado hajasomeka!
Sidhani kama sasa litajengwa baada ya hiki kichapo cha mahakama kuu.
ni kumshukuru mungu kwamba amesimama mwenyewe na haki imepatikana igunga ccm wameangukuia pua poleni sasa sijui kwa haya nape nauye atasemaje.daima ppls powerrrrrrrrrrrrrrr
Mkuu Tumbiri, PhD. Ni wakati sasa umefika walioko madarakani wajue kuwa watanzania wa leo jioni si wale wa jana asubuhi. Saa ya mabadiliko, yaja. Saa ya ukombozi na matumaini yaja. Tumenyonywa vya kutosha kupitia wachache waliovunja Azimio la Arusha na kuleta la kwao la Zanzibar ambalo limeleta madaraja ya watu Tanzania. Maskini wa kutupwa (kwa sasa 67.9% wanaishi below 1.25 a dollar per day, in average maana wening hata dola robo hawana kwa siku as per the Poverty and Human Development Report, 2011) na wachache wananeema ambao like 0.001% na waliobaki hawaeleweki middle income or what? It is done, and changes must!!
Haha! Inanikumbusha ile hadithi ya "sizitaki, mbichi hizi!"
wapi huko mkuu? HahhahahaaHaya tamaa zake zimemponza alikuwa kwenye position nzuri akataka aongeze nyingine, badala yake amezikosa zote
aje uku nimbuluze atabeba mabegi ya vifaa mpaka apinde mgongo uku tunakwenda pori kwa pori