matongo manawa
JF-Expert Member
- Apr 6, 2011
- 336
- 79
Karibu sana ila huku ni kazi kwa kwenda mbele hakuna longolongo.Naombeni nami kuja CHADEMA kama ndo hivyo wanaaccm watakaobaki waitwe mababu na mabibi....naingia CDM KIMYA KIMYA...NAOMBENI UKARIBISHOOOOOOOOOOO K
kwa sasa mkuu mahakimu na majaji wameanza KUSOMA ALAMA ZA NYAKATI, 2015 sio mbali sana wataweka wapi nyuso zao?.Hii ni taarifa niliyoiona ITV mda huu, taarifa kamili zitapatikana mda si mrefu. Nathubutu kusema kua mahakama imefanya jambo la kishujaa sana, sikutegemea kama ingeweza kuwakatili hawa magamba maana mara nyingi wao ndio wamekua juu ya sheria.
first eleven aliomfumua Kamfum na kumponza Kamfumu ni-:
1. Mwigulu
2.
Lusinde
3. Nape
4. Magufuli
5.Mkapa
6.DC Hawa
7. Bakwata Igunga
8.Wassira
9. Ester Bulaya
10. aliekuwa mbunge wa Sumbawanga...
11......
Pole sana Dkt Dalaly Peter Kafumu. Sasa sijui utaenda wapi maana kule kwenye Ukamishna wa Madini tayali yupo Mhandisi Ally Samaje
Pakajimmy,Rutashubanyuma na bila kumsahau dada yangu wa ukweli Preta leo nitakua maeneo ya Arusha Night Park AKA !!!!!! Baa kwa ushindi huu huru kutoka mahakami! Karibuni wote Samaki wa Foil na bia Barrrrrrrrrriiiiiid!