Dr. Kafumu (CCM) avuliwa ubunge Igunga!

Dr. Kafumu (CCM) avuliwa ubunge Igunga!

Dah hukumu gani ya masaa manne jamani..kweli hakuna reporter yoyote pande za huko Igunga atupe updates??


hukumu imeshatoka na kashindye ameshinda....nilichelewa kuwaupdate maana mtu wangu aliyekuwa ndani ya mahakama tulikuwa hatusikilzani sababu ya kelele......CHADEMA JUUU
 
Kama ni kweli basi poa sana. Huyu jamaa anahusika kwa karibu mno na mikataba ya uchimbaji wa dhahabu ambayo haina maslahi kwa Watanzania.
 
Ni kweli jamani? siamini bado maana nitafurahi hadi chakula cha usiku nisikile
 
Kwa upande mmoja naona haki imetendeka, lakini kwa upande wa pili ni danganya toto kuwahadaa watanzania kuwa Chadema hoja zao ni waongo (kuwa mahakama zimetekwa na mhimili wa dola na hivyo kupendelea CCM).
But simply, ni kuwa imechangiwa sana na pressure waliyoweka Chadema, pamoja na hoja za akina Tundu Lissu.
Hongera Chadema
 
Nilikwishasema kuwa kwa hali ya nchi hii ilivyo, ikitokea mwanathithiemu akashinda, basi ujue kuna kizengwe mingi imechezwa. Kashafumuliwa huyu. Ila kama wengine walivyoomba, nami pia naomba kama kuna mwenye mtiririiko wa hoja zilivyopanguliwa mahakamani atuwekee.
 
Kauli ya Lema tafadhali na hili anasemaje? nani aliyetoa maelekezo ya kutenguliwa ubunge wa KAFUMU?
Hivi ungekuwa wewe ndiyo jaji na kamasi lako kichwani ungethubutu kusema lema ameshindwa kwenye kesi hiyo? ulifatilia kesi hiyo au unaweka ushabiki mandazi tu hapa....
 
Kamishna wa madini ni mwingine, acha sheria ichukue mkondo wake. Mukama na kofia yake sijui yupo wapi? Jamaa bingwa wa kufumaniwa yeye atapitia njia gani? Hayo ni malipo kwa udhalimu wao walioutenda, DC KIMARO, AIBU TUPU.
 
Back
Top Bottom