Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania

mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
46,928
2,000
Salaam ndugu wana jukwaa.
siku ya jumapili tr 25.10.2015 ni siku ya kihistoria katika nchi yetu ambapo Nchi itaingia kwenye tukio kubwa na kipekee la kidemokrasia kuchagua utawala mpya utaounda serikali ya awamu ya tano.

NDUGU MTANZANIA. USIFANYE MAKOSA. TAFAKARI KWA MAKINI DAKIKA HIZI ZILIZOBAKI. NAOMBA KURA YAKO YA NDIO KWA JOHN JOSEPH MAGUFULI aka JEMBE aka TINGA TINGA. ILI AWEZE KULIONGOZA TAIFA LETU.

HAPA KAZI TUUUUUUUUUUUU!!!!!!!!!!!!!!
Uzi wa kipuuz
 

Penal

Senior Member
Jun 17, 2015
179
170
rais lazima aajionyeshe kama yuko fiti kiafyaaaaa.... lasivyo hata fanya kazi kkwa ufanisi
 

Penal

Senior Member
Jun 17, 2015
179
170
UKAWA hawana hoja , kazi yao ni matusi tuuuuuu.....wenye akili timamu hawawezi kuchagua UKAWAAAA
 

SHIEKA

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,262
2,000
Hapa zika tu. Huyo mpiga pushup wa Kebby's simpi kura ng'oo!Kura ni Lowassa tu.
 

Mwamba Usemao Kweli

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
745
225
Huu ni unabiii unaotimia: -

Akizungumza na wasaidizi wake jana jioni nyumbani kwake Lagos Nigeria, Nabii T. B. Joshwa anasema

"Naiona nchi ya africa mashariki ikipata rais mpya kutoka ndani yha chama kikongwe barani afrika mwaka huu 2015. Lakini atakuwa ni rais atakayekuja kupendwa na watu wa nchi yake, mwenye uwezo mkubwa wa kiutawala na atakaebadilisha maisha ya watu wake".

Kutoka kwa mtu wa karibu na SCON Lagos Nigeria.

My take : UKAWA tulieni mnyolewe.
 

marryan

Senior Member
Feb 6, 2015
108
0
Hii ni mara baada ya mh, John Pombe Magfuli kuhaidi kufanyia mabadiliko mishahara ya wafanyakazi wote nchini ni kauli aliyoitoa jana kwenye mikutano yake. Hili ni jambo jema na halijawai kutokea katika taifa letu, kwakweli wewe ni Nyerere wa pili Baba Magufuli.
 

okyo

JF-Expert Member
Mar 16, 2013
2,009
2,000
Hivi wew unatupigia kura sisi wote we kweli mwehu sema wewe umemkubali magufuli sio watz
 

Mkamba Mmasai

JF-Expert Member
Apr 18, 2015
384
0
Huu ni unabiii unaotimia: -

Akizungumza na wasaidizi wake jana jioni nyumbani kwake Lagos Nigeria, Nabii T. B. Joshwa anasema

"Naiona nchi ya africa mashariki ikipata rais mpya kutoka ndani yha chama kikongwe barani afrika mwaka huu 2015. Lakini atakuwa ni rais atakayekuja kupendwa na watu wa nchi yake, mwenye uwezo mkubwa wa kiutawala na atakaebadilisha maisha ya watu wake".

Kutoka kwa mtu wa karibu na SCON Lagos Nigeria.

My take : UKAWA tulieni mnyolewe.
Safi sana Mtumishi wa Mungu TB Joshua. Hakika amelenga penyewe kabisa.

Mungu mbariki sana Rais wetu wa Tano Magufuli.

Lowassa bai bai.
 

Pelekaroho

JF-Expert Member
Sep 15, 2010
1,580
1,500
Mimi sijamkubali bado, sijui wewe unawazungumzia waTanzania wa wapi? Mimi, na watu wa nyumba yangu kura zetu ni kwa Lowassa.
 
Top Bottom