Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania

isambe

isambe

JF-Expert Member
Feb 14, 2008
2,163
2,000
Nyie mnaongea huku chini lakini wale match makers wanaombea lowassa achukue lakini sio huyu , kitu nilichoona anafaa ni kuwa sio mwanasiasa na nina imani hata huo uenyekiti wao hatautaka , pia kile kitendo cha mabosi wake FaizaFoxy kuanza kuhara pia kimenipa faraja kwake .
 
Last edited by a moderator:
P

peace 22

Member
Oct 21, 2015
14
20
Hapa kazi tu.🔐👍🏽💪🏻✅
 
Mondoros

Mondoros

JF-Expert Member
Aug 29, 2015
630
500
nimetizama na kfuatilia kampeni za takriban siku 57, nimegundua yafuatayo

1. Magufuli anayo afya makini kuliko lowassa,hata ongea na changamka zao kwa kusisitiza inadhihirisha magufuli yuko imara.
2. Magufuli anazo hoja madhubuti kuliko lowassa ambayue hata hasikiki anabaki kubwawajika tu,hajielewi.
3. Magufuli amekutana na wananchi wengi sana kuliko lowassa na hiyo inadhihirisha kuwa magufuli anajali sana wananchi wa tanzania kuliko lowassa.
4. Magufuli amezunguka kwa gari kila mkoa na wilaya za tanzania wakati lowassa amezunguka kwa chopa maeneo machache sana sana.
5. Magufuli amepiga vita ufisadi na rushwa kila alikoenda wakati lowassa anaogopa hata kutamka rushwa na ufisadi kwa yeye ndie baba wa ufisadi na rushwa.
6. Magufuli anaonekana kabisa kuwa na dhamira na nia njema kwa taifa lake, wakati lowassa anaonekana kuwa na nia chafu na ovu kwa taifa

mwisho tumchague mtu makini magufuli kwa maendeleo ya tanzania yetu.
 
nani rais??????????? Ni magufuli tu, wengine wasindikizaji
 
kijani Massawe

kijani Massawe

Member
Oct 18, 2015
67
0
huyo ndio rais wetu,bado kuapishwa tuu.hapa kaz tuu
 
hugochavez

hugochavez

JF-Expert Member
Mar 1, 2013
1,909
2,000
Salaam ndugu wana jukwaa.
siku ya jumapili tr 25.10.2015 ni siku ya kihistoria katika nchi yetu ambapo Nchi itaingia kwenye tukio kubwa na kipekee la kidemokrasia kuchagua utawala mpya utaounda serikali ya awamu ya tano.

NDUGU MTANZANIA. USIFANYE MAKOSA. TAFAKARI KWA MAKINI DAKIKA HIZI ZILIZOBAKI. NAOMBA KURA YAKO YA NDIO KWA JOHN JOSEPH MAGUFULI aka JEMBE aka TINGA TINGA. ILI AWEZE KULIONGOZA TAIFA LETU.

HAPA KAZI TUUUUUUUUUUUU!!!!!!!!!!!!!!
 
P

Penal

Senior Member
Jun 17, 2015
179
170
lazma magufui ashindeeeee......jamaa hawana hoja zaidi ya matusi tuuuuu
 
G

gumegume

JF-Expert Member
Jun 29, 2011
1,063
1,225
Siwezi kumpa kura huyo Mpiga Push-up anayetoka kwenye gari kupitia kwenye dirisha, sijarogwa!!!
 
D

droidwallmail

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
274
170
kamuombe mama ako anakupenda sana mwanae lazima akupe, hawezi kukuangusha!!
 
Top Bottom