Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania

L

lizon

Senior Member
Jul 29, 2015
126
225
Ili kuleta maendeleo na amani lazima kuwepo na umoja,na ili kuleta maendeleo lazma awepo mtu mchapakazi,mwadilifu na asiyekuwa mwoga.
ili kuleta umoja na amani lazma awepo mtu asiyefungamana na upande wowote,mtu asiyekuwa na makundi nyuma yake...

Mtu asiyekuwa na roho ya kulipiza visasi na kupendelea kikundi fulani cha watu..

Mtu asiye na element yeyote ya ukabila...

Dr.magufuli hana kundi lolote nyuma,hatumii fedha katka kusaka uongozi kama jinsi wafanyavyo wengne..
Hana uchu wa madaraka,Ana political torelance,

Dr. Magufuli katka kila wizara aliyoiongoza performance yake imekuwa kubwa maradufu..

Kama jinsi waswahili wanavyosema"kila anayetenda mema hulipwa kwa wema"Mungu ameona utendaji na roho ya kujitolea ya Magufuli dhidi ya taifa hili..

Ameona anafaa kabsa kuwaletea Watanzania maendeleo kupitia uchapakazi wake,Mungu ameamua kumlipa kwa wema Dr.magufuli amempa nafasi muhimu na ya kipekee kabsa ya wakuwaongoza watanzania,no one knew that magufuli will become.

The president..its GOD..LET US ALL STAND TOGETHER AND SUPPORT THIS GOOD WISH FROM OUR ALMIGHTY ALLAH..!!REGARDLESS OF OUR IDEOLOGIES & PARTIES..

DR. MAGUFULI THE BEST CHOICE OF TANZANIANS.
 
Freedom tommorrow

Freedom tommorrow

JF-Expert Member
Jan 31, 2015
1,788
2,000
Hapo unapoishi jaribu kufanya utafiti kwa watu wa kima cha chini alafu utapata majibu.

viva ukawa:
 
L

lizon

Senior Member
Jul 29, 2015
126
225
Hata awe mzuri vipi mfumo wa ccm Hata umlete malaika, akirudi lazima aitwe ibilisi!
Wizara alizoziongoza alikuwa nje ya mfumo au..?mbona ameperfom vizr sana...bahati nzur saiz atakuwa juu ya mfumo hivyo Ana nafas kubwa ya kuboresha to the maximum....
MAGUFULI THE BEST CHOICE OF TANZANIANS
 
K

katusyo

JF-Expert Member
Oct 31, 2013
1,456
0
Mtalaaum Wa Kukalili Na Kuongopa, Utasikia Ziwa Tanganyika Lina Samaki Wenye Mimba Tilion Tisa Sabini Na Nne Elfu Mianane Sitini Na Mbili, Kanzania Inakondoo Milioni Kumi Na Saba Na Laki Mbili Mianne Sabini, Kuku, Mbuzi, Ng'ombe, Vipepeo. Watu Sisimizi, Watu Pwapwapwapwapwa,
 
E

ESI

JF-Expert Member
Dec 15, 2012
738
195
Hiv ile nyumba ya serikali alio muhonga Dem wake nayo CCM wameshindwa kumnyanganya? Pombe kwa Andasi za kukgegeda noma sanaa. UKAWA ndio Sisi Pamoja sana Kamanda Lowassa.
 
MGuccI

MGuccI

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
1,446

Teh teh teh umenifanya nicheke sanaa.. Atafunga club zote za mjini huyoo,, shule itakua kuanzia saa kumi na mojaa asubuhi mpaka saa moja usiku ...
Tutaishi ki dictator aiseeee
 
mchambuzixx

mchambuzixx

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
1,292
1,225
fisadi muuza nyumba za serikali huyooo .......kamuuzia nduguye nyumba kwa bei ya kutupwa
 
Mgirik

Mgirik

JF-Expert Member
Apr 27, 2013
12,414
2,000
Hiv ile nyumba ya serikali alio muhonga Dem wake nayo CCM wameshindwa kumnyanganya? Pombe kwa Andasi za kukgegeda noma sanaa. UKAWA ndio Sisi Pamoja sana Kamanda Lowassa.
kwahyo magufuli ni fisadi ila lowasa sio fisadi..
Tuonane oct
 
S

saramy

Senior Member
Jun 19, 2015
139
0
.......Eti kauza nyumba za serikali na ile ya Msasani aliohonga mchepuko wake! chezea "KIDEVU" wewe!
hafai hafai hata kuwa mwenyekiti wa mtaa...
 
MGuccI

MGuccI

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
1,446
2,000
kwahyo magufuli ni fisadi ila lowasa sio fisadi..
Tuonane oct
Tuonane october mkuu... Utarudi ugiriki aiseee teh,, ni kweli tanzania tunahitaji mabadiliko,, na kiongozi mpya mwenye msimamo na mchapakazi lakini sio pombe teh..
 
popo1986

popo1986

JF-Expert Member
Jul 30, 2014
1,123
1,250
Ili kuleta maendeleo na amani lazima kuwepo na umoja,na ili kuleta maendeleo lazma awepo mtu mchapakazi,mwadilifu na asiyekuwa mwoga.
ili kuleta umoja na amani lazma awepo mtu asiyefungamana na upande wowote,mtu asiyekuwa na makundi nyuma yake...

Mtu asiyekuwa na roho ya kulipiza visasi na kupendelea kikundi fulani cha watu..

Mtu asiye na element yeyote ya ukabila...

Dr.magufuli hana kundi lolote nyuma,hatumii fedha katka kusaka uongozi kama jinsi wafanyavyo wengne..
Hana uchu wa madaraka,Ana political torelance,

Dr. Magufuli katka kila wizara aliyoiongoza performance yake imekuwa kubwa maradufu..

Kama jinsi waswahili wanavyosema"kila anayetenda mema hulipwa kwa wema"Mungu ameona utendaji na roho ya kujitolea ya Magufuli dhidi ya taifa hili..

Ameona anafaa kabsa kuwaletea Watanzania maendeleo kupitia uchapakazi wake,Mungu ameamua kumlipa kwa wema Dr.magufuli amempa nafasi muhimu na ya kipekee kabsa ya wakuwaongoza watanzania,no one knew that magufuli will become.

The president..its GOD..LET US ALL STAND TOGETHER AND SUPPORT THIS GOOD WISH FROM OUR ALMIGHTY ALLAH..!!REGARDLESS OF OUR IDEOLOGIES & PARTIES..

DR. MAGUFULI THE BEST CHOICE OF TANZANIANS.
Kaka hujui hata kufananisha raisi na mtu wa kawaida? Hivi kweli huyo magufuli anavigezo gani mbelw ya lowassa?acha utani ww mlimkata jina sasa subirini na nyie kukatwa
 
Lisa Rina

Lisa Rina

JF-Expert Member
Dec 3, 2010
1,989
2,000
Kama anafaa bora mumfanye awe balozi wa mtaani kwenu.hatumtaki
 
MGuccI

MGuccI

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
1,446
2,000
.......Eti kauza nyumba za serikali na ile ya Msasani aliohonga mchepuko wake! chezea "KIDEVU" wewe!
hafai hafai hata kuwa mwenyekiti wa mtaa...
Hehehehe tumpe ubalozi mkuu.. Nyumba kumi kumi.. Ataanza nyumba ya mzee mwalubalu ina watoto sita,, wazee wawili,, hakuna mfugo,, ina vyombo viwili teh teh teh
 
Mbulu

Mbulu

JF-Expert Member
Apr 15, 2015
5,435
2,000
Mpiga tumba huyo anafaa kua rais wa mpoto band
 
M

mzee wa misele

JF-Expert Member
May 17, 2015
366
0
Wizara alizoziongoza alikuwa nje ya mfumo au..?mbona ameperfom vizr sana...bahati nzur saiz atakuwa juu ya mfumo hivyo Ana nafas kubwa ya kuboresha to the maximum....
MAGUFULI THE BEST CHOICE OF TANZANIANS[/QUOTE
mfumo wa kutetea na kuwalinda wala rushwa
 
M

mzee wa misele

JF-Expert Member
May 17, 2015
366
0
kweli watu wanaichukia CCM bola naisi Niko peke yangu kesho nakabidhi kadi nahamia chadema
 
lotonja

lotonja

Member
Jan 11, 2014
35
95
Ili kuleta maendeleo na amani lazima kuwepo na umoja,na ili kuleta maendeleo lazma awepo mtu mchapakazi,mwadilifu na asiyekuwa mwoga.
ili kuleta umoja na amani lazma awepo mtu asiyefungamana na upande wowote,mtu asiyekuwa na makundi nyuma yake...

Mtu asiyekuwa na roho ya kulipiza visasi na kupendelea kikundi fulani cha watu..

Mtu asiye na element yeyote ya ukabila...

Dr.magufuli hana kundi lolote nyuma,hatumii fedha katka kusaka uongozi kama jinsi wafanyavyo wengne..
Hana uchu wa madaraka,Ana political torelance,

Dr. Magufuli katka kila wizara aliyoiongoza performance yake imekuwa kubwa maradufu..

Kama jinsi waswahili wanavyosema"kila anayetenda mema hulipwa kwa wema"Mungu ameona utendaji na roho ya kujitolea ya Magufuli dhidi ya taifa hili..

Ameona anafaa kabsa kuwaletea Watanzania maendeleo kupitia uchapakazi wake,Mungu ameamua kumlipa kwa wema Dr.magufuli amempa nafasi muhimu na ya kipekee kabsa ya wakuwaongoza watanzania,no one knew that magufuli will become.

The president..its GOD..LET US ALL STAND TOGETHER AND SUPPORT THIS GOOD WISH FROM OUR ALMIGHTY ALLAH..!!REGARDLESS OF OUR IDEOLOGIES & PARTIES..

DR. MAGUFULI THE BEST CHOICE OF TANZANIANS.
Majibu yote October.....
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,289
2,000
SI mbaya tukiingia ktk hoja na kuanza pata fikra za watz ktk matamko mbalimbai ya wanasiasa ktk hiki kipindi cha cha kuelekea uchaguzi mkuu wa nchi hii.NIngependa kujua watz wanatafsiri vipi ...MAGUFULI KUITWA MTIIFU NA MNYENYEKEVU NA WATU KM MKAPA,MWINYI,JK,KINANA,WASSIRA, etc?
 
Top Bottom